Ally Kessy apinge Mahakamani matokeo ya Uchaguzi yaliyomnyima ushindi

Naunga mkono hoja, haiwezekani atolewe kafara kitoto hivi, wenzake walikatwa na wakawekwa waliowataka wakamsahau.

Sasa wamekumbuka kumekucha wanataka kupindua meza?!

Ally kessy akate rufaa na mkatiwa rufaa akubali kila kitu na Ally Kessy arejeshewe ubunge wake.
 
😂😂

Daah nimeumia kweli.

Swahiba Wangu Ally Kessi,sijui itakuwaje ile "hoja yetu kuntu?

Hoja Yetu ya "kumlazimisha...'"atake asitake....daah sijui ni mbunge gani ataivalia NJUGA kwa uzito uleule wa Mh.Kessy ili nasi TUMUUNGE MKONO huku nje?

Naunga Mkono Hoja!!
 
Ally Kessy ana mswada wake aliuacha pending, ni ule wa kumuongezea mtu miaka saba. Akate rufaa apewe ubunge na NEC, akauendeleze mswada wake. Naunga mkonyo
 
Nooo siyo Kesi aende yeye mahakamani kinachopaswa ni wananchi wa jimbo hilo waende wao tena kwa wingi wao na maandamano juu wakilindwa na polisi huku wakiimba “tunamtaka mbunge wetu wa CCM upinzani wametuibia kura ili tukose kupewa maendeleo na Magufuli”.

Hawakumsikia akiwatisha wenzao mpaka wakachagua upinzani,ni kusema ndani ya miaka hii mitano hakuna barabara itakayojengwa Nkasi,miradi yote kama ni ya maji madaraja zahanati itasimama kwa kuwa wamemchagua mpinzani.

Hii idea itumike maana nawaona wakiwa ktk hali mbaya sana miaka mitatu ijayo
 
Kufuatia matokeo ya uchaguzi mkuu 2020 jimbo la Nkasi yaliyomnyima ubunge Bw. Ally Keissy, namshauri aende mahakamani kupinga matokeo...
Hakika maana itakuwa kaibiwa kura yeye pia mama Ghasia maana hii haiwezekan. WAMEKOSEA WAPI HATA WADHALILIKE KIASI HIKI?
 
Kufuatia matokeo ya uchaguzi mkuu 2020 jimbo la Nkasi yaliyomnyima ubunge Bw. Ally Keissy, namshauri aende mahakamani kupinga matokeo...
Tulia ndugu,usiku wa Giza,kulikua hakuna namna kabisa ,rejea kauli zake bungeni we ulifurahi tuzingatie mapokeo ya kikatiba kaka
 
Kufuatia matokeo ya uchaguzi mkuu 2020 jimbo la Nkasi yaliyomnyima ubunge Bw. Ally Keissy, namshauri aende mahakamani kupinga matokeo...
Usichojua ni kua kushindwa kwa Ally kumepangwa na CCM (+Tume) wenyewe. Yaan hawa walikua wanaangalia au wanachagua wapi washinde na wapi wasishinde.
 
Bi Hawa na Bwana Kessy ndiyo wagombea walio telekezwa na kuachwa 'wapambane' na hali zao kwa kuwa wao ni masalia ya 'team mkwere'
Ghasia ametelekezwa kutokana na issue ya team Korosho. Nape na January waliona mbali wakajua hatatoboa kwenye sanduku la kura wakacheza mchezo waliocheza wa kupita bila kupingwa
 
Naunga mkono hoja, haiwezekani atolewe kafara kitoto hivi, wenzake walikatwa na wakawekwa waliowataka wakamsahau.

Sasa wamekumbuka kumekucha wanataka kupindua meza?!

Ally kessy akate rufaa na mkatiwa rufaa akubali kila kitu na Ally Kessy arejeshewe ubunge wake.
Hata mimi nitamchangia hela ya kufungua kesi
 
Ghasia ametelekezwa kutokana na issue ya team Korosho. Nape na January waliona mbali wakajua hatatoboa kwenye sanduku la kura wakacheza mchezo waliocheza wa kupita bila kupingwa
Kwa nini wampotezee muda wake? Kama walikuwa na tatizo na Keissy wasingerejesha jina lake. Hata kama ni kutaka kuwaadaa watu lakini siyo kwa kupitia mgongo wa wana Nkasi
 
Kufuatia matokeo ya uchaguzi mkuu 2020 jimbo la Nkasi yaliyomnyima ubunge Bw. Ally Keissy, namshauri aende mahakamani kupinga matokeo.

Kwa kuwa nia ya Mh. Rais ni kuona CCM inashinda majimbo yote ili aweze kupeleka maendeleo kwa usawa kwa nchi nzima, ni wakati muafaka kwenda mahakamani ili kurudisha jimbo la Nkasi mikononi mwa CCM. Mwenye nafasi ya kuwasaidia ni Mh. Kessy.

Akae na wanasheria nguli wa Chama kama Bw. Alberto Msando watengeneze ground za kisheria ili jimbo lirudi CCM. Vinginevyo huyo mbunge wa CHADEMA afanye kile kinachoitwa kuunga mkono juhudi ili uchaguzi ufanyike ili awe mbunge wa CCM.

Tofauti na hapo watu wa Nkasi watapata matatizo wasiyostahili.

Note: Maendeleo hayana chama na chama hakina maendeleo.
Mbona unajitekenya na kucheka mwenyewe???
 
Wala asihangaike yule mama atajitoa a waache CCm wenyewe bungeni
 
Back
Top Bottom