mbeyakwetu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 723
- 394
wamepoteza conection watu wa nkasi πππππππππ wanacheza na conection wataona hakuna maji,barabara,umeme πππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatma ya huyu jamaa aliyekuwa anaropoka bila kutumia akili haijulikani,lakini Jana baada ya matokeo inasemekana alimrukia chakubanga ili ampigie debe japo apate hata u-DC maana yule mama wa kule kwa kina konde boy wamempooza machungu kwa kumuahidi u-RC,,Sijui Kama kweli itatokea maana hii ni story nilikuwa napiga na chakubanga pale lumumba.,tulipokuwa tunazungumzia swala la kumpa unaibu waziri yule kijana wa Kule mpakani mwa Tanzania na Zambia baada ya kuunga mkono juhudi.Kufuatia matokeo ya uchaguzi mkuu 2020 jimbo la Nkasi yaliyomnyima ubunge Bw. Ally Keissy, namshauri aende mahakamani kupinga matokeo.
Kwa kuwa nia ya Mh. Rais ni kuona CCM inashinda majimbo yote ili aweze kupeleka maendeleo kwa usawa kwa nchi nzima, ni wakati muafaka kwenda mahakamani ili kurudisha jimbo la Nkasi mikononi mwa CCM. Mwenye nafasi ya kuwasaidia ni Mh. Kessy.
Akae na wanasheria nguli wa Chama kama Bw. Alberto Msando watengeneze ground za kisheria ili jimbo lirudi CCM. Vinginevyo huyo mbunge wa CHADEMA afanye kile kinachoitwa kuunga mkono juhudi ili uchaguzi ufanyike ili awe mbunge wa CCM.
Tofauti na hapo watu wa Nkasi watapata matatizo wasiyostahili.
Note: Maendeleo hayana chama na chama hakina maendeleo.
Lkn kumbuka mbunge wa Chadema ni mweupe (amabo ndiyo ugonjwa wa jiwe). Akiwaona wanawake weupe anawapa kipaumbele kuwasikiliza.Tofauti na hapo watu wa Nkasi watapata matatizo wasiyostahili.
Koroshow. Settling old scores.Ukiona Mbunge wa CCM ameshindwa ujue kuwa Bwana mkubwa hamtaki.
Kessy atakuwa na kesi na MaguKwanini CCM haikumsaidia Kessy kama ilivyofanya nchi nzima...Wamemtelekeza na Mama Hawa Ghasia