Msma hawa wamemfanyia kusudi maana mmewe kashinda ubungeKwanini CCM haikumsaidia Kessy kama ilivyofanya nchi nzima...Wamemtelekeza na Mama Hawa Ghasia
Hao wawili watakuwa wameadhibiwa kwa namna moja au nyingineKwanini CCM haikumsaidia Kessy kama ilivyofanya nchi nzima...Wamemtelekeza na Mama Hawa Ghasia
Akiakata rufaa, uchaguzi ukarudiwa hapitishwi kabisa kugombeaAlly Kessy ana mswada wake aliuacha pending, ni ule wa kumuongezea mtu miaka saba. Akate rufaa apewe ubunge na NEC, akauendeleze mswada wake. Naunga mkonyo
Ataroga mtu nakwambiaAkiakata rufaa, uchaguzi ukarudiwa hapitishwi kabisa kugombea
Mzee Nje ya mada kidogo,,idegenda n jina la Kijiji?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Vipi mkuu mbona umekuwa mpole ghafla? Zile ngebe zako ziko wapi sasa?
Hakika maana itakuwa kaibiwa kura yeye pia mama Ghasia maana hii haiwezekan. WAMEKOSEA WAPI HATA WADHALILIKE KIASI HIKI?Kufuatia matokeo ya uchaguzi mkuu 2020 jimbo la Nkasi yaliyomnyima ubunge Bw. Ally Keissy, namshauri aende mahakamani kupinga matokeo...
Tulia ndugu,usiku wa Giza,kulikua hakuna namna kabisa ,rejea kauli zake bungeni we ulifurahi tuzingatie mapokeo ya kikatiba kakaKufuatia matokeo ya uchaguzi mkuu 2020 jimbo la Nkasi yaliyomnyima ubunge Bw. Ally Keissy, namshauri aende mahakamani kupinga matokeo...
Usichojua ni kua kushindwa kwa Ally kumepangwa na CCM (+Tume) wenyewe. Yaan hawa walikua wanaangalia au wanachagua wapi washinde na wapi wasishinde.Kufuatia matokeo ya uchaguzi mkuu 2020 jimbo la Nkasi yaliyomnyima ubunge Bw. Ally Keissy, namshauri aende mahakamani kupinga matokeo...
Ghasia ametelekezwa kutokana na issue ya team Korosho. Nape na January waliona mbali wakajua hatatoboa kwenye sanduku la kura wakacheza mchezo waliocheza wa kupita bila kupingwaBi Hawa na Bwana Kessy ndiyo wagombea walio telekezwa na kuachwa 'wapambane' na hali zao kwa kuwa wao ni masalia ya 'team mkwere'
Kuna kessy wengi unyamwezini ambao sio wachagga. Inawezekana ana damu tu ya kichagga ila siyo mchaggaHivi huyu Kessy ni mchaga au ni majina tu.
Hata mimi nitamchangia hela ya kufungua kesiNaunga mkono hoja, haiwezekani atolewe kafara kitoto hivi, wenzake walikatwa na wakawekwa waliowataka wakamsahau.
Sasa wamekumbuka kumekucha wanataka kupindua meza?!
Ally kessy akate rufaa na mkatiwa rufaa akubali kila kitu na Ally Kessy arejeshewe ubunge wake.
Kwa nini wampotezee muda wake? Kama walikuwa na tatizo na Keissy wasingerejesha jina lake. Hata kama ni kutaka kuwaadaa watu lakini siyo kwa kupitia mgongo wa wana NkasiGhasia ametelekezwa kutokana na issue ya team Korosho. Nape na January waliona mbali wakajua hatatoboa kwenye sanduku la kura wakacheza mchezo waliocheza wa kupita bila kupingwa
Mbona unajitekenya na kucheka mwenyewe???Kufuatia matokeo ya uchaguzi mkuu 2020 jimbo la Nkasi yaliyomnyima ubunge Bw. Ally Keissy, namshauri aende mahakamani kupinga matokeo.
Kwa kuwa nia ya Mh. Rais ni kuona CCM inashinda majimbo yote ili aweze kupeleka maendeleo kwa usawa kwa nchi nzima, ni wakati muafaka kwenda mahakamani ili kurudisha jimbo la Nkasi mikononi mwa CCM. Mwenye nafasi ya kuwasaidia ni Mh. Kessy.
Akae na wanasheria nguli wa Chama kama Bw. Alberto Msando watengeneze ground za kisheria ili jimbo lirudi CCM. Vinginevyo huyo mbunge wa CHADEMA afanye kile kinachoitwa kuunga mkono juhudi ili uchaguzi ufanyike ili awe mbunge wa CCM.
Tofauti na hapo watu wa Nkasi watapata matatizo wasiyostahili.
Note: Maendeleo hayana chama na chama hakina maendeleo.
Wala asihangaike yule mama atajitoa a waache CCm wenyewe bungeniKufuatia matokeo ya uchaguzi mkuu 2020 jimbo la Nkasi yaliyomnyima ubunge Bw. Ally Keissy, namshauri aende mahakamani kupinga matokeo.
Kwa kuwa nia ya Mh. Rais ni kuona CCM inashinda majimbo yote ili aweze kupeleka maendeleo kwa usawa kwa nchi nzima, ni wakati muafaka kwenda mahakamani ili kurudisha jimbo la Nkasi mikononi mwa CCM. Mwenye nafasi ya kuwasaidia ni Mh. Kessy.
Akae na wanasheria nguli wa Chama kama Bw. Alberto Msando watengeneze ground za kisheria ili jimbo lirudi CCM. Vinginevyo huyo mbunge wa CHADEMA afanye kile kinachoitwa kuunga mkono juhudi ili uchaguzi ufanyike ili awe mbunge wa CCM.
Tofauti na hapo watu wa Nkasi watapata matatizo wasiyostahili.
Note: Maendeleo hayana chama na chama hakina maendeleo.