Ally Kessy awashukia Zanzibar, Awataka Wabunge wa Zanzibar watoke nje kwa mambo yasiyo ya Muungano

Huyu Mbunge alishawahi kusema unaweza kuizunguka Zanzibar yote kwa kutumia Baiskeli..


Hawa Wabunge kwanini wasitulie kwao????
Hapo ndio ukomo wa akili wabunge wa CCM ulipo ishia
 
Afadhali wametokea jasiri wa kuzungumzia kero halisi za muungano. Ukiona jirani ananyemelea kwako kila saa ya chakula ujue hana haya. Zanzibar sawia. Wakihamia Bara wanakuwa Wazanzibara hawarudi kwao, waTz hao. Wakiwa kwao hata bili za umeme WANAGOMA kulipa, hawana hela ya kumpa TANESCO, waTz hao. Ukiwagusa Muungano waZenj hao wana Serikali na Bunge na KMKM. Kessy wee Mchaga nini???!!!.
 
Waachiwe huru kama kweli mumechoka kuwabeba. Acheni kulialia kama kuku anaetaka kutaga.
We mZenj nini?!! Unafaidi mazao ya Bara huku ukingoja uachiee huru! Kuna mtu kakushikilia ktk Muungano? Ondoka Bunge la Jamhuri, chukua na Vuai na Rukhsa na akina ----- peleka kwenu. Kuna atakayewalilia? Kwanza wengine majambazi wanauza hata unga bara. Aibu kubwa!
Waachiwe huru kama kweli mumechoka kuwabeba. Acheni kulialia kama kuku anaetaka kutaga.
 
Ngoja niende Nkasi nikamtembelee huyu mheshimiwa sana,tena naenda na filimbi.
 
Msimamo wake ulikuwa ni upi kwenye Katiba ya Warioba.?
alinusurika kupigwa na wabunge wa zenji baada ya kusema wanalialia wakati serikali ya muungano inawatunza wao na wake zao, kwanza kanchi kenyewe kadogo kiasi mbunge unawaita wananchi kwa filimbi.
Akamaliza kwa kusema anataka serikali tatu.
 
OIC hata Comorro ni mwanachama lakini hadi leo hajafaidika... au bado unamawazo ya Chakupewa kama Mwanamke anayeombea kupata bwana mwenye Pesa...
 
Huyu mzee anaongea kama yuko ktk vijiwe vya kahawa au chimpumu.
Hili ndio tatizo la sheria ya mgombea sheria inaruhusu watu waina ya kesy kuchaguliwa. Watu wasio na elimu wasio ijua mchi yao watu wasio jua katiba za vyama vyo wala itikadi za vyama vyo. Ivi kesy anatamka haya maneno hajui mikakati ya chama chake na katiba pia.

CCM ndio inawafanya wazanzibari kudai kila wanacho tamani aidha kiwemo ndani ya katiba au kisiwemo. Leo kesy kaongea utadhani hakutokea CCM lakini ktk bunge la katiba alikuwa na misimamo ya CCM.
Kama sio umbumbu wa kesy ninini mm sioni kama yuko sahihi hasa ktk falsafa ya CCM dhidi ya muungano.
 
Msimamo wake ulikuwa ni upi kwenye Katiba ya Warioba.?

Msimamo wake miaka yote ni Zanzibar ituache tupumue. Aliita mpaka media kwenye mchakato wa katiba kutangaza hakubaliani na wenzake kuhusu Zanzibar anataka tujitenge.
 
Hiyo ni kweli unaweza kuzunguka kwa baiskeli isipokuwa utatumia muda mrefu, mimi na rafiki yangu tulizunguka zanzibar yote kwa gari tulitumia saa mbili na robo tukamalizia kwenda Tumbatu na boti
Duuh! kumbe wilaya ya Kisarawe ni kubwa kuliko Zenj.
 
Wazanzibari mtaendelea Kuwa Koloni la La Tanganyika mpaka Mtakapojitambua.
 
Kessy anawaambia ukweli, ahsante sana. Tumechoka

Huyu mbunge ana asili ya Tipu Tipu. Hivyo ana ona uchungu nduguze wa Znz kuijidhalilisha na Tanganyika. Anafahamu vizuri sana kuwa hawa wamedhibitiwa.
Anacho fanya ni kujaribu kuwamsha hawa CCM Znz ambao ni hawana hisia na znz zaidi ya kulinda maslahi ya matumbo yao.
Hii njia ani tumia kwa ujanja ..anawatia hasira dhidi ya Tanganyika...ili waaamke wadai chao...hivyo anafanya kwa ustadi kuwasaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…