Macos
JF-Expert Member
- May 12, 2008
- 1,979
- 1,416
N kweli na si baiskel hata kwa miguuu
Mtatulipa tu mishahara , mtatulinda , umeme mtatupa na hatulipi na tuta waolea tu dada zenu...
[emoji3][emoji851][emoji41]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
N kweli na si baiskel hata kwa miguuu
Nusu kwa nusu!
Jeshi mtaweza kulihudumia hata siku tatu
Mtaweza kuendesha wizara ya mambo ya ndani kwa wiki
Mtaweza kuendesha ubalozi hata mmoja
n.k
Hawawezi kulipia mgonjwa iwe nusu kwa nusu.
Hawawezi bili ya umeme iwe nusu kwa nusu.
Hawawezi kudumia hata balozi moja, leo nusu kwa nusu
Hawawezi kulipia wabunge wao, halafu iwe nusu kwa nusu
Hawawezi kulipia wanafunzi wao, leo wanataka nusu kwa nusu
Ni watu milioni 1 na nusu wanaishi Tanganyika
Unachekesha sana, ndio maana unasema znz inachangia kupitia vocha za simu
Weka namba kwa bajeti ya bilioni 900, znz itatoa nini.
Kwa makusanyo ya bilioni 300 kwa mwaka znz itatoa nini
utoe 0 nitoe 10 halafu useme tumechanga! tugawane nusu kwa nusu! tehe tehe
Kwaheri
Alafu bado mnalilia [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Mtatulipa tu mishahara , mtatulinda , umeme mtatupa na hatulipi na tuta waolea tu dada zenu...
[emoji3][emoji851][emoji41]
Afadhali mumeanza kuelewa, nina uhakika mtaacha hoja za mabalozi, mtajua hakuna uonevu, na mchango wa znz si kupitia vocha za simu!!! mbavu zangu jamaniKwa heri karibu lakini ndio hivo mnatoa mnatulinda , umeme tunatumia hatulipi, wabunge 100 mnawalipa na mawaziri wapo wanaongoza wizara. Zenu za muungano....mapolisi wapo wana tulinda...na sie tunaoa tu dada zenu...mna cha kufanya ? Hamna na bado tutadai zaidi kila siku..itabaki kelele tu
Hapana, siku hizi watu wananena bila kificho"Wajinga ndio waliwao"
Muungano kwa sasa hauna faida kwa Tanganyika bali umekuwa ni mzigo mkubwa na mzito, kule Zanzibar wamelundika Utitiri wa wabunge, madiwani na watumishi wa umma, yaani wengi kupita kiasi huku pato lao la Zanzibar likiwa Dogo sana haliwezi hata kuwalipa mishahara nusu ya Watumishi wao, Tanganyika inabeba mzigo wa kuwalipa mishahara, kuwalipia Bill za Umeme, maji na Kodi za nyumba za viongozi pia kuwalinda na majeshi kwa gharama kubwa, Ally kessy katema nyongo, Ukweli unauma na hii itawauma kweli kweli na huenda ikaleta migogoro mikubwa kati ya wabunge wa Zanzibar na Ally kesi.

tena atasema mmem nukuu vibayaNikimtafakari Kessy kiundani naona ana hoja tena nzito kuhusu serikali tatu ila ukimuuliza atakuruka 100m
ila ukimwambia katiba ya warioba ilipendekeza hayo atakuruka mita miaTunarudi kule kule tulikopakataa. Zanzibar ni nchi au sio nchi? katiba ya Warioba? Serikali mbili au tatu?......na kadhalika, na kadhalika!
Atakuvurumushia maneno hutaaminitena atasema mmem nukuu vibaya
Pia na Wabunge wawe wanalipwa kutokana na uchangiaji wao wa hoja kuliko ilivyo sasa kulipwa kwa kusema tu ndiyoMkuu,unafikiri c.c.cm watakubali?