Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Angalia usije kuwa unapigana vita ambayo haipo, kwasasa vaa barakoa, wavalishe na watoto, na mama yao.
Eeenh.
Wewe ni jasiri sana. Unapingana na serikali inayosema hakuna corona?
Lakini hapa hapa kwenye swala hilo la corona; inakuwaje ujitese kiasi hiki wakati mheshimiwa alishatoa mwelekeo juu ya ugonjwa huo?
Ina maana huamini asemacho, na iweje iwe rahisi usiamini kwa hili na hilo jingine uweke "matumaini" yote?
 
Wana mitandao ndio mnaolikoleza hili, Msimamo wa JPM uko wazi!!

Jaya mamboz yanatoka wapi?

Au nyinyi wandishi mnalipwa kuja kutest zali? Mnakuja kwa mtindo ambao ni kama sio washirika wa huu mpango kumbe mnalenu Jambo

Tanzania ni kubwa kuliko mtu bhana
 
Huyu ASKOFU NI WA KIPEKEE SANA amejivisha mabomu kwa ajili ya jamii ya WATZ walioshindwa kusema.
 
Mwelekeo ni uleule. Ulianzia uchafuzi wa serikali za mitaa. Ukafuatiwa na uchafuzi mkuu. Na unahitimishwa na kubadili katiba kuhusu ukomo wa rais. Atake asitake, ila mhusika anataka sana. Penye nia kuna njia.
ndugu yako ni bingwa wa maigizo FO FO TWO ya kuongezewa muda wa utawala ameipanga yeye mwenyewe
 
Champion ni nani
 
Ally aje kulazimisha watu huku,Nape alisema kwamba munaweza kumlazimisha mtu,mukamuingezea muda lakini HAMJUI MUNGU AMEPANGA NINI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…