Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Kesi anasema lazima rais Magufuli alazimishwe kuongezwa muda wa kutawala.

Anasema katiba siyo msahafu lazima inadilishwe ili Magufuli aongezewe muda wa kutawala.

Ndugaye anasema nimekusikia mh Kessy lazima tumuongezee muda mh Magufuli.
Your browser is not able to display this video.
 
Aongezewe muda, Atake Asitake.
Atawale hadi Kifo chake.
Na ndivyo ilivyokuwa. Ni Raisi wa kwanza wa JMT kutawala katika cheo chake hadi Umauti ulipomwita.
Huyu Israeli Huyu ni Noma Sana
 
JF bhana! We acha tu!
Wale zumari kwa sasa wanasemaje?
 
Aongezewe muda, Atake Asitake.
Atawale hadi Kifo chake.
Na ndivyo ilivyokuwa. Ni Raisi wa kwanza wa JMT kutawala katika cheo chake hadi Umauti ulipomwita.
Huyu Israeli Huyu ni Noma Sana
.... hatari sana.
 
Aione
Ndugai
Kessy
Nkamia
Jah People
Wana Ccm
 
Waione wote wanaopinga Katiba Mpya
 
Hii ndio mizee mijinga isiyojitambua. Namshukuru Mungu alimfukuza huyu babu hata ubunge hakupata
 
Wote watatu wako wapi leo? Muacheni Mungu apange maisha ya waja wake msimuingilie kwenye mipango yake
 
Demokrasia yetu ina matobo kweli Mh Kessy anaongea kwa kujiamini "sisi wabunge ndio tuna mamlaka ya kubadili katiba kuwezesha Rais kuongezewa muda" yaani wananchi si lolote si chochote but wao.
Wewe ni mbunge wa wapi?
 
Kwa hiyo wewe una akili sana!
 
Swali lalo ni la msingi sana.

Haiwezekani kupata tume huru bila mabadiliko ya Katiba( Katiba Mpya)
Tupe mapendekezo ya kupata wajum e wa tume huru. Wanapatikana kwa njia gani ili wasiegamie Yanga au Simba.
 
Mmh
 
Katika mambo mengi yaliyotawala mitandao ya jamii na Bunge mwaka 2020 ilikuwa ni kuongeza ukomo wa utawala kwenye katiba ili kumuwezesha Magufuli aende beyond 2025. Alisikika Ally Kesi mbunge wa Nkasi wa wakati huo akisema "apende asipende lazima tumuongeze muda". Na Spika Ndugai akamhakikishia Ally Kesi kurudi Bungeni na kuipokea hoja yake.

Angalieni hapa picha za aliyekuwa anapigiwa debe.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…