Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

This is too much!!!
 

Mlikuwa wapi kipindi yeye anatesa watu mkawa mnashangilia hamkujua kuwa kuna katiba mpya? Katiba mpya ndo mwaijua sasa?

Magufuli atasemwa tu mpaka hasira za watu zitakapoisha, watu bado wana machungu naye sana,
 


Hakuna namna atasemwa kwa ubaya wake, na maovu mengi aliyotenda, hakuna kupumzishwa!!

Kwa nn Mwinyi, Mkapa au Kikwete asisemwe! Ubaya aliofanya kwa watu ndo umefanya watu hasira zisiishe,
 
This is too much!!!
Vipi kuhusu kumwambia mungu aje amshukuru kwa kazi nzuri? Vipi kuhusu mlivyo muita Mh. Mungu, vipi yule shehe aliyesema ni zaidi ya mungu, vipi yule rofa mwenzenu aliyetwambia ni yesu wa Watanzani......

Nendeni zenu huko na unafiki usiokuwa na maana, leo mnajifanya ndo mnamuona alikuwa ni mtu baada ya kugundua ni marehemu, sio mungu au yesu au zaidi ya mungu... endeleeni kulialia na lisanamu lenu mlilolitengeneza, halipo tena imekwisha hiyo. Tunawapasha nyinyi mliogeuzwa mazuzu kiasi cha kumwabudu. Msirudie tena kufanywa mazuzu
 
Basi wewe tukupe unajimu wa kuwaona marehemu watarajiwa au wewe ni marehemu mhukumu marehemu watarajiwa. Cheo chako ni kipi katika hivyo viwili
Wote ni marehemu watarajiwa, hakuna atakayeishi milele. There is no point kumsengenya marehemu kila saa wakati hayupo.
Ameshakufa, what is done is done!
 
Wanakua Kama wapumbavu
 
Wote ni marehemu watarajiwa, hakuna atakayeishi milele. There is no point kumsengenya marehemu kila saa wakati hayupo.
Ameshakufa, what is done is done!
Ni burudani unapoona mtu aliyekuwa anajiita JIWE na watu wengine wanamuabudu kama mungu (herufi ndogo) anakufa kabla yetu. Hiyo tu lazima TUSHEREHEKEE
 
Wote ni marehemu watarajiwa, hakuna atakayeishi milele. There is no point kumsengenya marehemu kila saa wakati hayupo.
Ameshakufa, what is done is done!
Ufahamu wako unakomea kwenye kusengenya, kwa hiyo tunapoongelea maisha ya Mtume Mohamad, Musa, Ibrahim n.k. tunawasengenya?

Fikra duni sana nyinyi watu, tusoma hadi mashuleni akina Kinjekitile Ngwale, Mzee Karume, Mwl. Nyerere tunawaengenya? Juzi mlipokusanyana Chato kumkumbuka mungu na yesu wenu mlikuwa mnamsengenya? Hata uelewa wa kutofautisha mambo ni dhaifu ndio maana mmejibanza kwenye hoja dhaifu za ni marehemu. Semeni maneno yenu ya atawale milele, atake asitake, semeni tuwasikie. Kiburi chenu chote, jeuri, dharau na kuwatukana watu kwisheni. Jufunzeni kuheshimu watu, acheni kutukuza viburi vya kijinga

Come on......!!!
 
Halaf Sukumagang eti watuambie kauawa wakati hata kampeni zilimshinda kufanya huyu!
 
Twende tu hivi hivi mpaka tukubaliane tuandike katiba mpya
 
Wote ni marehemu watarajiwa, hakuna atakayeishi milele. There is no point kumsengenya marehemu kila saa wakati hayupo.
Ameshakufa, what is done is done!
Come on!

Nothing is done yet🤫

Tell us

Yuko wapi Azory Gwanda?

Nani alimteka Mo na wengine wengi?

Watu waliopotea wote, walipoteaje?

Sababu za uvamizi wa clouds?

Viroba vya maiti kwenye fukwe zilikuwa za nani?
Nape alitishiwa na bastola mchana kweupe?

Watu walinyanganywa pesa zao kwenye akaunti kwa lazima na wengine kufilisiwa, na nani na kwa nini?

n.k. n.k.

Unless one is an idiot, she can dare to say it is done🤔 All is fresh, nothing is done at all......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…