Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Kama Mbowe wa chama kinachojinasibu cha demokrasia mwenyekiti amedumu miaka 21 wakati ni msanii na mbadhirifu, Magufuli, Rais wa nchi aliyejitoa kwa maendeleo ya wananchi wote anastahili miaka mingi zaidi
 
Kuna nchi moja iko huko bara la Asia, wananchi na viongozi wao wote ni wehu.
Kauli kama hii inawezekanaje kutamkwa kwenye nchi inayoyoitwa ya kidemokrasia na wananchi wakae kimya?
 
Yaani ajui kwamba kurunziza amekufa kwa corona,haya maneno yasubirie corona ipite kwanza
 
Hivi huyu mtu nilini aliwahi kuongea neno lenye logic kwa taifa zaidi ya mipasho?
 
Yaani wanawadharau sana wapiga kura wao, nadhani anatakiwa akapimwe akili
Demokrasia yetu ina matobo kweli Mh Kessy anaongea kwa kujiamini "sisi wabunge ndio tuna mamlaka ya kubadili katiba kuwezesha Rais kuongezewa muda" wananchi si lolote si chochote but wao.
 
Hata nkurunzinza aliongezewa,nipo Burundi lakini
 
Ndiyo maana povu lina mtoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…