Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Bora hata tungekuwa nae tu hata kwa miaka 20. Tunakukumbuka sana Rais wetu MzaRendo.
 
Amini hii mission ilikua real! Wala haikua maigizo, tushukuru MUNGU kwa kila jambo 🙏
Mkuu, hii nchi ina watu ni vituko na vituko hasa.


Key words:

"Inshallah, Mwenyezi Mungu atuweke......." - Speaker Job Ndugai

🤔Mungu kawa mwaminifu, ametuweka, tumeenda na sote tukarudi pamoja. Tumeona🤔

"Kila siku napigiwa simu, nani baada ya Magufuli" - Mbunge Kessy
🤔Nani baada ya Magufuli. Tumeona🤔

"Jibu langu nawaambia naongeza muda" - Mbunge Kessy
🤔Naongeza muda. Tumeona🤔


Inabidi uwe mjinga zaidi ya Shetani ili ubaki kipofu aliye gizani, haoni japo ana macho lakini hata akisikia haamini maana haoni, giza limetanda. Tudharauni sisi na sauti zetu, tunakubali lakini basi mheshimuni Mungu wetu aliyethibitika kuwa mkuu juu ya mungu wenu ambaye Taifa na Dunia nzima ilishuhudia akilazwa chato. Sio mungu wenu tena mmebaki na kuwatisha watu eti kuna mzimu wake, huo mzimu mnaishi nao nyinyi mliomwabudu na kumsujudia. Na sio zaidi ya mitume, manabii, na Mungu wetu sisi kama mlivyotangaziwa na mlivyo vipofu mkaendelea kuitukuza sanamu isiyoishi wala kufanya chochote mkiamini hata muda wenu mnaweza kuumega mkaiongezea.

Sanamu yenu imekwenda, hamuwezi kuiongezea muda kamwe. Rudini kwa Mwenyezi Mungu wetu mkatubu na kuwa watu mpate heshima na sifa ya uumbaji kwani mko kama vituko nyinyi, tunawashangaa, ardhi inawashangaa, dunia inawashangaa, mbingu zinawashangaa hata ibilisi anawashanga, naye amejitenga nanyi maana mmemzidi kwani yeye hakuwahi hata kusema ni zaidi ya Mungu. Nyie mlikuwa na sanamu ati mkaiona ni zaidi ya Mungu🤔
 
Alikuwa anajua sn ndiyo maana alikuwa katili kupita kiasi
 
Kwa lugha uliyotumia psentence ya mwisho hauna tofauti na unaowasema hata huyo magufuli wako maana nae alikuwa na lugha za hovyo sana.
 
See, that’s why I don’t even bother anymore to be as active as I was before.

The level of discourse in these forums nowadays is very subpar.

A lot of people here can’t process nuance.

Their brains seem incapable of operating outside the confines of dichotomous thinking.

They push the envelope when it comes to stupidity.

The few of us in here who dare to stand as beacons of reason against armies of insanity, are the last of a dying breed!

Nowadays I can count on one hand the number of people with whom I can have a decent conversation with [whether we agree or disagree] in these forums.

It was never like that in the good ‘ol days.
 
Kiranga tangu nimeanza kumsoma hajawahi kuwa mfuasi wa Magufuli.

Hebu jaribu kumsoma uelewe basi,acha mambo ya kiwaki,mimi ni mtu wa Mbeya na siyo msukuma.
Huyo ana tofauti gani na wanaosemaga mimi nilimuunga mkono Magufuli kwenye kila kitu kwa 💯 %?

Halafu ukimwonyesha mambo uliyokuwa hukubaliani na Magufuli, anakula kona!!

Wenye akili JF ni wachache mno.
 
Wengi wa sisi watz tunaakili mateka hatujui maana ya nchi na umuhimu wake tunafikiri nchi zilizoendelea wanauchawa wa aina hii always kuattack personalities Kwanzaa tujaribu kuelimishana kuwa mifumo sahihi na imara ndo chanzo cha nchi imara na uchumi ila # KATIBA mpya ni sasa
 
Hahaha chuki imekufanya uwe ndondocha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…