Libertatem Pugnator
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 1,005
- 1,377
Watashangaa ya 2015 yanajirudia tenaPiganeni na maiti hivihivi.
2025 mnapigwa bao tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watashangaa ya 2015 yanajirudia tenaPiganeni na maiti hivihivi.
2025 mnapigwa bao tena.
Hii ni project maalumu bwashee!
Wiki ijayo mafuta yanapanda tena bei hivyo Zitto anaanzisha mijadala ya " danganya toto"
Mkuu, hii nchi ina watu ni vituko na vituko hasa.Amini hii mission ilikua real! Wala haikua maigizo, tushukuru MUNGU kwa kila jambo 🙏
Alikuwa anajua sn ndiyo maana alikuwa katili kupita kiasiKatika mambo mengi yaliyotawala mitandao ya jamii na Bunge mwaka 2020 ilikuwa ni kuongeza ukomo wa utawala kwenye katiba ili kumuwezesha Magufuli aende beyond 2025. Alisikika Ally Kesi mbunge wa Nkasi wa wakati huo akisema "apende asipende lazima tumuongeze muda". Na Spika Ndugai akamhakikishia Ally Kesi kurudi Bungeni na kuipokea hoja yake.
Angalieni hapa picha za aliyekuwa anapigiwa debe, namuona kama kwa mwaka 2020 alikuwa tayari ni walking carcass;
View attachment 2197587
Bashite mkubwa weweBora hata tungekuwa nae tu hata kwa miaka 20. Tunakukumbuka sana Rais wetu MzaRendo.
Kwa nini mnamuandama sana mtu kashajifia zake?
Sina hakika kama hata huo ubongo anao huyu jamaaInaonyesha huwa unaweka ubongo wako pembeni mkuu wakati wa kuongea
🤣🤣Sina hakika kama hata huo ubongo anao huyu jamaa
Most Tanzanians political discussions, at least on JF, are crude, tribal and unsophisticated.
Hatujavuka maongezi ya mavi mavi tu.
Nuance is a rare commodity.
Yani kujua kwamba unaweza kutokubaliana na Magufuli na wapambe wake, lakini kumuita mtu "walking carcass" ni lack of savoir faire ni mtihani.
We ona mpaka kiongozi wa kitaifa wa upinzani Zitto Kabwe anasema wafuasi wa Magufuli wakazikwe naye Chato.
I am asking, did Magufuli frustrate you guys this much? If yes, what does that say about your mental fortitude? If no, why the stupid vitriolic bile?
Huyo Zitto ndiye kiongozi wa chama wa taifa.
Hawa vifulambute na vinukamkojo wa JF unategemea nini?
Ustoke nje ya hoja. Kama una ubongo Jibu hizo AC zina kazi gani?Inaonyesha huwa unaweka ubongo wako pembeni mkuu wakati wa kuongea.
Amepumzika vyakutosha, mwaka mzima!Mngemuacha mzee wa watu apumzike kwa amani
See, that’s why I don’t even bother anymore to be as active as I was before.Jamani mbona hivi?
Kwa nini mnamuandama sana mtu kashajifia zake?
Mimi mwenyewe sikuupenda utawala wa Magufuli, lakini kwa nini kuna obsession hii?
Hamuwezi kufikiria mambo ya sasa na yanayokuja ?
Hata kama mnamsema, hamuwezi kumsema kwa mambo ya msingi?
What is this crude and ignoble talk about "walking carcass"?
We have to be careful to not become what we despise.
Mimi sikumpenda Magufuli kwa maneno ya ovyo.
Naona na wewe umerithi maneno hayohayo.
Kwani hatuwezi kusema kwamba ni vibaya kutukuza mtu mmoja kiasi cha kutaka kuvunja katiba, bila kudhalilisha mtu kwamba alikuwa "walking carcass"?
Huyo ana tofauti gani na wanaosemaga mimi nilimuunga mkono Magufuli kwenye kila kitu kwa 💯 %?Kiranga tangu nimeanza kumsoma hajawahi kuwa mfuasi wa Magufuli.
Hebu jaribu kumsoma uelewe basi,acha mambo ya kiwaki,mimi ni mtu wa Mbeya na siyo msukuma.
Wengi wa sisi watz tunaakili mateka hatujui maana ya nchi na umuhimu wake tunafikiri nchi zilizoendelea wanauchawa wa aina hii always kuattack personalities Kwanzaa tujaribu kuelimishana kuwa mifumo sahihi na imara ndo chanzo cha nchi imara na uchumi ila # KATIBA mpya ni sasaAjabu sana, watu wamezubaishwa na wamekubali kuzubaa haswaa, kila siku wanapigiwa ngoma ya ukabila wao ni kukata viuno tu, wakija kushtuka close to 2025 ndio waanze kuimba Katiba Mpya.
Ukiwagusa watakwambia ni kweli Magufuli alikuwa dikteta wacha asemwe, ok till when? na haya ya leo yatasemwa lini? the truth is huo ni ukweli uliopita; sasa kwanini wasijadili ukweli uliopo na ujao? I dont know.
Hahaha chuki imekufanya uwe ndondochaKama wa ovyo waliotamba na kusimanga uhai wakidhani wanamkomesha jirani kwa kumtusi dignity yake ati hawataki kupeleka mtu wa kufia Ikulu. Mungu hadhihakiwi, jirudini na kutubu la sivyo nanyi mtaangamia hivyo hivyo.
Leo ndo mnajifanya mna utu na ubinaadam. Mfateni kiongozi wa malaika wenu aliyejitamba atawafanya watu waishi kama mashetani, sasa sijui yeye na nyinyi wafuasi wake tuwaite nani kama mna uwezo wa kuwageuza wengine mashetani [emoji848][emoji848]
Lengo Lao ni kuhujumu fikra zake mioyoni mwa wazalendo.Bado sijaelewa sana kwanini watu wanahangaika sana na siyekuwepo na hatakuwepo tena.