Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Kuna stahiki inaitwa "heshima zote kama first lady"? Kwenye hili wanaompinga hawana hoja, lakini ndio hivyo ana jina la Kikwete maana yake awe treated differently
 
Kuna stahiki inaitwa "heshima zote kama first lady"? Kwenye hili wanaompinga hawana hoja, lakini ndio hivyo ana jina la Kikwete maana yake awe treated differently

Stahiki lazima iwe hela? Kwenye nchi ambayo vijana wengi hawana ajira, huduma nyingi ni duni, mwenza wa rais ambaye mume/mkewe ataendelea kulipwa hadi anaingia kaburini, huoni ni ubinafsi wa hali ya juu kutaka zaidi ya wanachopata. Au alitaka kumuanika mumewe kuwa hamsaidii kwa lolote? Au na ww ni sehemu ya wanaotarajia kufaidika na upendeleo huo iwapo sheria hiyo itapita nini?
 
Sina faida yoyote na mtu yoyote, lakini ubaguzi haufai.
 
Nani anae amua kuwa kumsema inatosha ?? baado tutamsema hadi 2050 ,oo hasikii ooh haina maana sasa si mtuache tumseme mnaumia nini kama hasikii na haina maana
hakuna anaeumia. Mimi nilikuwa mmoja wa wapingaji wakuu wa Magufuli enzi za uhai wake. Lakini kumpinga kwake kulikuwa kwasababu ya Uraisi wake. Sasa si raisi tena na hayuko hai sasa ina maana gani kuendelea kupinga mtu ambae hawezi hata kujitetea.

Baada ya yote yeye pia ni binadamu na ana watu wake wa karibu ambao hawana hatia katika maovu yake lakini kupitia masimango ya watu ambayo baadhi yanakwenda mbali zaidi na kudhalilisha yanawaathiri na wao pia.

Weka mbali uraisi wake na uangalie uungwana wa kibinadamu na uchukulie mathalan ingekuwa ni mzazi wako marehemu anasemwa hivyo, ungechukulia poa pia?
 
Sasa kati ya mwendazake na shangazi aliepo sasa wapi tumenata pabaya? Unafikiri angekuwepo huyu mwamba mafuta ya kula yangetoka 4000 mpaka 7500?
Sikuwahi kumchukia wala kumpenda Magu kwa 100% ila ana mambo aliyafanya nikayakubali kwa 100% ukiachilia mbali maroroso yanayofanyika sasa.
 
Binadamu tuna uelewa tofauti and that's the beauty of our common humanity. JPM kama kiongozi wa nchi lazma ataongelewa tuu. Tuliobaki ni kujitahidi tukiondoka duniani tuongelewe kwa mazuri.
 
Sina faida yoyote na mtu yoyote, lakini ubaguzi haufai.

Ni kweli, ila sio kwa wake wa hao viongozi maana huo ni ubinafsi, wakati kuna vijana wengi hawana ajira, wala hawajui hatima yao, kisha kikundi kidogo kisichotosheka kudai kupita maelezo.
 
Forgive,forgive,forgive.
 
I feel you, si kwamba sielewi kuna mkono wa chuma wa kitaasisi ulioharibu sana mambo na kutisha, naelewa hilo.

Ila.

Sasa watu mamilioni wameumizwa sana wanashindwaje na watu wachache?

Kwani huko walikowatoa madikteta wao si immortals?
 
Bora mimi Fisi Maji.

Wewe guluguja usiye na ubongo wala uti wa wa mgongo.

Huelewi kwamba hata mchakato wa kutafuta katiba tu ni vuguvugu la maendeleo.
 
Rais Samia hawezi kusema bila kuchemka hata kidogo.

Kwa hivyo, ukinipa clip yoyote ya dakika 30 ya rais Samia anahutubia mwenyewe bila kusoma, siwezi kukosa cha kukosoa.

Ila, tunakosoa kipi na kuacha kipi? Maana si kila kosa ni la kukosoa, kuna mengine yako below threshold ya kukosoa

Na katika kukosoa, wapinzani inabidi wajue kipi kidogo, kipi kikubwa.

Jana nilikuwa nasoma watu wanabishana Rais Samia kaingilia mlango wa nyuma wa hotelini kwenye mkutano na wabongo.

Nikasema haya mambo mengine unakosoa inaonekana kama una "cry wolf".

Hata siku nyingine ukija na ukosoaji w amaana unaonekana huyu mlalamishi wa kila siku tushamzoea!
 
Mwenza wa Rais anapoacha majukumu (kazi) yake baada ya mumewe kuwa mkuu wa nchi unadhani ni vyema abaki bila kazi ?
 
Mitandaoni does not count, kama mtu ni coward mtandaoni ndiyo mahala pake kupiga kelele.

Tunahitaji watu watoke mtandaoni na kufanya mambo on the ground.
 
Jana kwenye shughuri yetu baba mchungaji alituambia kuwa kila mtu ni marehemu mtarajiwa (mfu atembeaye) kama ambavyo pua zetu zinavyoelekea zikiinusa ardhi! Je, tuanze kuwakemea hawa wachungaji?
Muktadha.

If that is the case, then saying Magufuli was a walking carcass is pointless, because we all die in the end.
 
Si kupangiana, ni kubadilishana mawazo tu.

Kumsema mtu kwamba alikuwa ni "walking carcass" wakati wote tutakufa ni ujinga.
 
Sawa.

Jipoangeni hilo lisijirudie.

Kumtusi kwamba alikuwa maiti inayotembea wakati wote tutakufa hakusaidii kitu.
 
Unaposema hamkuwahi kuongea unakusudia nani?

Una hakika mimi sikuwahi kuongea?

Unanifuatilia?

Unaelewa kwamba mimi siongelei kumtetea Magufuli naongelea way forward beyond Magufuli hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…