MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Kuna stahiki inaitwa "heshima zote kama first lady"? Kwenye hili wanaompinga hawana hoja, lakini ndio hivyo ana jina la Kikwete maana yake awe treated differentlySitaki kukubishia kwenye mtazamo wako, ingekuwa amepata hiyo nafasi kwa uwezo hapo nisingekuwa na tatizo sana, lakini hii ya kupata nafasi kwa upendeleo, na chaguzi za kihuni hiyo haikai vizuri. Kuangalia yeye ni nani hiyo haikwepeki, maana hata aliyempa hiyo nafasi ameangalia yeye ni nani. Stahiki anazopata mume wake sio zake wakati alikuwa anapewa heshima zote kama first lady?! Mkuu au umeamua kubishana tu nini? Kwa mtazamo huu hata kwenye huo mjadala ndio maana uliishia kupata tabu.