Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Hakuna sheria inayoruhusu raisi kwa katiba kuua ,kama akifanya hivo kaua yy sio uraisi ,so masuala yake ya kuua na kutuma watu walawitiwe ,kuteka ,kutesa tunamdeal yy na likifo lake ,usiuingeze urais hapa .
Ooh ndugu zake wanaathilika kuliko wa ben saa nane ile maiti tunakazi nayo kwanza .
 
Hii ni zamu yake kusemwa mpaka mizimu huko aliko ishangae kulikoni bwana wewe?
 
. Kama utapata tofauti yoyote ni kwa sababu huyu asiyedunda alipambana kuhakikisha maelfu ya watanzania wanapata huduma bora za afya hapa hapa nchini badala ya kujijali binafsi. Matokeo yake anaishi kwenye mioyo ya watu kuliko hata huyo anayeishi.
Anaishi kwenye mioyo ya wapumbavu kama ya zimmerman tu wakati ki uhalisia amezikwa Chato na analiwa na minyoo
 
Hufahamu mioyo ya watu ina nini ndani. Ongelea nafsi yako. Ingawa sina tatizo na JPM, apumzike kwa amani.
 
Mkuu naona umekerwa mno na hiyo " walking carcass" pole sana. Ila kwa upande wangu naona kama umechemka. Post #5 aliyesema hivyo alikuwa katika kumuonya mtoa mada kwamba asijisahau kwamba naye pia atakufa na sio kwamba amemuita Marehemu "walking carcass". So take a deep breath and relax!
 
Sasa hayo ma Air Condition ya nini kwenye mkutano wa wazi? Tumezowea kuyakuta maofsini kule kwenye majengo ya TRA, PSSSF na Bandari.

Hakika huyu alikuwa trip shamba trip garage. Asingekatiza kwa COVID 19

Lete proof kuwa Magufuli alikufa kwa Covid.
 
Kiranga nakukubali sana upande huu ila mambo ya imani, hoja zako sizikubali.
Si lazima tukubaliane kila kitu, halafu hata unapofikiri unakubaliana nami, inawezekana hujakubaliana.
 
Huwezi kunielewa, wewe unapigana na maiti, mimi nakueleza kuipita hali hiyo ya kupigana na maiti.
 
Yaani tunakoelekea tunakuwa spitting image ya Yule tuliyemchukia,
Maneno ya kijinga ya kashfa,

Ni hao hao Sukuma gang. Keeping his name alive, Kwa kuanzisha nyuzi za kujifanya wanamponda, ili wabakie nyuzi na kumsifia!

Wengi hatuna interest naye kabisaaaah!
Ukiiangalia Kwa jicho la 3, hawa ni walinda legacy hawataki tuache kumzungumzia!
 
Wwapi nimepinga kuweka ubaya wa Magu?

Mkuu, unajua kusoma kwa ufahamu?

Unaelewa mimi ni mmoja wa watu walio mstari wa mbele kupinga ubaya wa Magu? Kuanzia alivyokuwa hai mpaka kesho?

Unaelewa nuanced conversation ni nini?
 
DNA ya Magufuli umeipimaje na kujua nina 100% yake?

Unaelewa ukishasema mtu ana DNA ya mtu mwingine kwa 100 ushajionesha hujui hata vipimo vya DNA vinaweza kufikia asilimia ngapi?
 
Mitandaoni ni sehemu ya kumobilize watu. Kisha wataingia ground baada ya somo kueleweka.
Mna mobilize watu miaka mingapi? Karne ngapi?

Mna mobilize watu kwa kuwaambia "Magufuli was a walking carcass"?

Mna mobilize watu kwa kuwaambia wanaompenda Magufuli waende kuzikwa naye Chato?

Do you know how many well meaning people that alienates?
 
Hapana,
Habari iliyowekwa hapa ni kwamba Magufuli was a walking carcass.

Do not try to spin that.

In any case, kama wote tutakufa, that statement is pointless.
 
Hapana,
Habari iliyowekwa hapa ni kwamba Magufuli was a walking carcass.

Do not try to spin that.

In any case, kama wote tutakufa, that statement is pointless.
Hujajibu swali la msingi, nimekuuliza tena yale ma Air conditioner yalikuwa na kazi gani kwenye mkutano wa kampeni unaofanyika nje?

Still the self anointed narcissist you are beating around the bush. Answer my question
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…