Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Wasithubutu kufanya huo upuuzi wanaofikiria
lolote linawezekana, we unategemea kitu gani tangible kutoka ktk bonge DHAIFU?!.

bora mawazo ya watu wa vijiweni kutoka ktk hilo kundi linatotutia hasara kwa kutafuna tu kodi zetu


walaaniwe kwa kula dhulma!.
 
kuna kila dalili Tanzania soon itakuwa Zimbabwe.

USA & EU hawapendezewi na yanayoendelea nchini.... tunaenda kupigwa pini kwa sababu ya dizaini ya viongozi tulio nao ambao wanawazia zaidi maslahi yao binafsi na genge lao la kihalifu dhidi ya ubinadamu.

Mugabe alifanya uasi dhidi ya mataifa ya magharibi akidhani uhusiano na China na Russia ungemsaidia. alichokuwa hajui ni kwamba China na Russia ni wabinafsi kupindukia.

ushauri kwa serekali ya awamu ya 5.... sumu haijaribiwi makali yake kwa kuionja.
 
Sijawahi kushuhudia bunge kuwa na mambo ya ajabu kama hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…