Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Corona ita tingisha tu lakini haitaondoa tatizo. Tatizo ni utawala mzima na dawa ni kuuondoa madarakani.
Wewe fisadi papa unanichekeshaga sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni kujiandaa na civil war!
Nyinyi mafisadi tatizo lenu nadhani war ni kubeba Pesa kwenye rumbesa kama mlivyo zoea ,mtapata tabu sana hadi miaka 20 ya magu kumalizika kizazi chenu mafisadi kitakuwa marehemu
 
Wanadamu mnapanga .Ila Mungu ndo kiboko yenu. Huyo mnaetaka aongonze maisha. Organs zake zikiacha kufanya kazi kabla hata ya uchaguzi,bado jeneza lake mtalipigigia kura. Idiots. Mungu sio mwanadamu.
 
Wasithubutu kufanya huo upuuzi wanaofikiria
Litapita Hilo yupo Hadi 2040 then anamuachia bashite Hadi 2070.Ikulu mpya, Kinga ya kutoshtakiwa, manunuzi ya kuunga juhudi, kuwashughulikia wapinzani ili kuhakikisha waimba kwaya tu ndo watarudi kusema ndiooo sababu ya kujali pesa na sio uhai wa taifa connect dot upate jibu.
 
Kuuza nchi kwa mabeberu na mafisadi ni kuacha nchi salama jinga kabisa wewe ,tulikuwa tunaambiwa ni mchanga kumbe ni madini ya zaidi ya $360mil yanatoroshwa na uchafu wa IPTL
 
Wanadamu mnapanga .Ila Mungu ndo kiboko yenu. Huyo mnaetaka aongonze maisha. Organs zake zikiacha kufanya kazi kabla hata ya uchaguzi,bado jeneza lake mtalipigigia kura. Idiots. Mungu sio mwanadamu.
Hata kurunziza aliongezewa muda, watawala wa kiafrica ufanana
 
Kuuza nchi kwa mabeberu na mafisadi ni kuacha nchi salama jinga kabisa wewe ,tulikuwa tunaambiwa ni mchanga kumbe ni madini ya zaidi ya $360mil yanatoroshwa na uchafu wa IPTL
Hayo makinikia yameenda wapi
 
Spika wetu anamaono sana kama watanzania wengi, Mungu ambariki sana
Kila siku unalaani Mbowe kukaaa mda mrefu kumbe ni halali mwenyekiti wa chama cha familia kuongezewa mda sie Kama wapinzani tumemuongezea miaka 100 kabisa bila chenji,atuletee maendeleo lkn sio kutuletea wasiojulikana, maana tukiisha wote nani atafaidi maendeleo.
 
Vipi dalili za ukamilifu upo.
 
Mkuu kwa kweli huyu Raisi ni mwamba tena inapaswa tumlinde kweli kila mwenye uwezo wa kumlinda huyu Rasi kwa namna yeyote ile hamlinde.

Nimepita juzi pale Busisi Mwanza nimekuta material yamemwagwa pale ya kutosha, wa China wanapiga kazi usiku na mchana kujenga daraja la Busisi ambalo ndio litakuwa kubwa kuliko yote Africa mashariki na litagharimu takriban bilion 200. Hili daraja litakuwa mkombozi kwa wakazi wa kanda ya ziwa na nchi za maziwa makuu. Wakati huo huo SGR ya kutoka Dodoma-Tabora-Isaka-Mwanza hadi Rwanda nayo ipo mbioni kuanza, Mungu atupe nini zaidi Watanzania.
 
Majitu yamefumbwa haya kwa hyo lenyew litakua spika la milele.Hapa najua matumbo joto ya uchaguz maana jiwe ndo anayeteua hvyo kila got litapigwa kwa hakuna mtu anayempenda wengi wanaishi kwa hofu
 
Kama ambavyo jiwe alivyomhakikishia jimbo la kongwa,analipa fadhila
Bila hivo hawezi Rudi jimboni kwa box la kura ni lzm amuangukie mwenyekiti,but spika ajae ni Daudi awahi tu kumuomba msamaha Kama alimkosea
 
Nyinyi mafisadi tatizo lenu nadhani war ni kubeba Pesa kwenye rumbesa kama mlivyo zoea ,mtapata tabu sana hadi miaka 20 ya magu kumalizika kizazi chenu mafisadi kitakuwa marehemu
Wewe na yeye mnaweza mkazimika kama Nkurunzinza, na kweli Mungu mtazimika ghafla kama kibatali
 
Kutoka demokrasia teketeke hadi demokrasia mfu kabisa.
Poor Tanzania.
 
Kama mchakato halali wa kisheria/kikatiba utafuatwa haina shida.

Hiyo ndo demokrasia yenyewe,hata hiyo mihula miwili iliwekwa na watu tu.

Wanaoona haifai watapigia HAPANA na wanaoona inafaa watapigia NDIYO.

Tuliwaambia, upinzani usiodhibiti chombo chochote cha maamuzi ni upinzani mfu.
 
Hujui kwamba kisukari kikipanda kichwani "unapata ukichaa taratibu"?
Kisukari huenda kinampanda
 
Majitu yamefumbwa haya kwa hyo lenyew litakua spika la milele.Hapa najua matumbo joto ya uchaguz maana jiwe ndo anayeteua hvyo kila got litapigwa kwa hakuna mtu anayempenda wengi wanaishi kwa hofu
Hawana uwezo wa kuishi nje ya siasa,na teuzi zote kipaumbele Cha kwanza ni waimba kwaya,
 
Ni mpango mkakati wa muda mrefu sana
 
Habari nzuri sana ila umeiandika hovyo hovyo...
 
Mbele ya pesa litapita.Ukiwafanya watu wawe masikini ni rahisi kuwatawala unawapa pesa nao sababu ni wanufaika ni lzm waunge mkono.Mwafrika ni dhaifu Sana mbele ya pesa sababu kiasili sisi ni wabinafsi,pia kumbuka Hakuna mwanasiasa awezae ishi nje ya siasa kupitia pesa za bure.Hakuna kazi inayolipa na yenye pesa Kama siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…