mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Sawa ila kwa Gari namba A wacha wakae tuuKazi kama kiti cha bus ukishuka wezio wanakaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa ila kwa Gari namba A wacha wakae tuuKazi kama kiti cha bus ukishuka wezio wanakaa
Wewe ni nani labda unayejipa mamlaka ya kuwasemea watanzania?Tuseme mapaka natural coz ndo aje mwingine ila kwa sasa Cjamuona wa kuthubutu labda baadae
Mimi ni mtanzaniaWewe ni nani labda unayejipa mamlaka ya kuwasemea watanzania?
Mimi ni mtanzania
Mpeni chochote mnachotaka atawale hadi mwisho wa dunia Ila uzuri ALLAH huwa achezewi tunawatakia kila la kheriLisemwalo lipo kama halipo laja ndugu watanzania tujipinge kisaikolojia kuwa muda wowote sheria inaweza badilishwa na kuongezewa muda wa uongozi wa Mh JPM. Mimi binafsi naunga hoja kwani kwa kipindi cha miaka mitano aliyokaa madarakani amefanya makubwa sana kwa hiyo naamini akipita muda wa kutosha atabadilisha sura ya tanzania na na nchi ya maziwa na asali wa watz wote sio watz wachache kama miaka iliyopita.
Kwani odinga ni rais wa Kenyayan huyo jamaa akiongezewa muda nahamia Kenya kwa odinga yan hii mitano imekuwa kama miaka 300
🤪🤪🤪Mafisadi wanaumia sana wakisikia magu kuongezewa muda ,sisi wengine tunao penda kuwaona mafisadi wakilia tunafarijika
Tatizo ni kwamba tulio wengi tunataka hilo litokee, so wengi vs wachache kazi kwelikweli.Ujinga wote huu anauleta Ndugai ila Kuna watu wanamchora tu, afanye ujinga wake wote ila kuongeza muda wa uraisi hilo asahau kabisa wala asijidanganye