Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwasababu ya kumsema magufuli?Utakuwa baba/ mama wa hovyo saana kwenye familia kama unayo.
Kwasababu ya kumsema binadamu....hii ndiyo tofauti yangu na wewe...hata angemsema baba yako au adui wa baba yako ningeandika hivyo tu.Kwasababu ya kumsema magufuli?
Most Tanzanians political discussions, at least on JF, are crude, tribal and unsophisticated.Kwasababu ya kumsemar binadamu....hii ndiyo tofauti yangu na wewe...hata angemsema baba yako au adui wa baba yako ningeandika hivyo tu.
Ajabu sana, watu wamezubaishwa na wamekubali kuzubaa haswaa, kila siku wanapigiwa ngoma ya ukabila wao ni kukata viuno tu, wakija kushtuka close to 2025 ndio waanze kuimba Katiba Mpya.Jamani mbona hivi?
Kwa nini mnamuandama sana mtu kashajifia zake?
Mimi mwenyewe sikuupenda utawala wa Magufuli, lakini kwa nini kuna obsession hii?
Hamuwezi kufikiria mambo ya sasa na yanayokuja ?
Hata kama mnamsema, hamuwezi kumsema kwa mambo ya msingi?
What is this crude and ignoble talk about "walking carcass"?
We have to be careful to not become what we despise.
Mimi sikumpenda Magufuli kwa maneno ya ovyo.
Naona na wewe umerithi maneno hayohayo.
Kwani hatuwezi kusema kwamba ni vibaya kutukuza mtu mmoja kiasi cha kutaka kuvunja katiba, bila kudhalilisha mtu kwamba alikuwa "walking carcass"?
Hii ni project maalumu bwashee!Jamani mbona hivi?

Kama wa ovyo waliotamba na kusimanga uhai wakidhani wanamkomesha jirani kwa kumtusi dignity yake ati hawataki kupeleka mtu wa kufia Ikulu. Mungu hadhihakiwi, jirudini na kutubu la sivyo nanyi mtaangamia hivyo hivyo.Utakuwa baba/ mama wa hovyo saana kwenye familia kama unayo.
Mimi pia sijaelewa picha atupe ufafanuzi.Aliyeelewa tusaidiane kueleweshana kwa maslahi mapana ya taifa!
Sasa hayo ma Air Condition ya nini kwenye mkutano wa wazi? Tumezowea kuyakuta maofsini kule kwenye majengo ya TRA, PSSSF na Bandari.Utakuwa baba/ mama wa hovyo saana kwenye familia kama unayo.
I don't buy that.Hii ni project maalumu bwashee!
Wiki ijayo mafuta yanapanda tena bei hivyo Zitto anaanzisha mijadala ya " danganya toto"
Nami namuunga mkono Zitto, wote mnaomtetea mkazikwe naye Chato including wewe KirangaMost Tanzanians political discussions, at least on JF, are crude, tribal and unsophisticated.
Hatujavuka maongezi ya mavi mavi tu.
Nuance is a rare commodity.
Yani kujua kwamba unaweza kutokubaliana na Magufuli na wapambe wake, lakini kumuita mtu "walking carcass" ni lack of savoir faire ni mtihani.
We ona mpaka kiongozi wa kitaifa wa upinzani Zitto Kabwe anasema wafuasi wa Magufuli wakazikwe naye Chato.
I am asking, did Magufuli frustrate you guys this much? If yes, what does that say about your mental fortitude? If no, why the stupid vitriolic bile?
Huyo Zitto ndiye kiongozi wa chama wa taifa.
Hawa vifulambute na vinukamkojo wa JF unategemea nini?
Bado sijaelewa sana kwanini watu wanahangaika sana na siyekuwepo na hatakuwepo tena.Utakuwa baba/ mama wa hovyo saana kwenye familia kama unayo.
Jamaa alikuwa anawekewa feni kumpuliza hata akiwa nje kwenye kampeni,alikuwa ameishaoza kabisa ndaniAliyeelewa tusaidiane kueleweshana kwa maslahi mapana ya taifa!
Muunge na hiyo naniliu!Nami namuunga mkono Zitto, wote mnaomtetea mkazikwe naye Chato including wewe Kiranga
Mkuu,Kama wa ovyo waliotamba na kusimanga uhai wakidhani wanamkomesha jirani kwa kumtusi dignity yake ati hawataki kupeleka mtu wa kufia Ikulu. Mungu hadhihakiwi, jirudini na kutubu la sivyo nanyi mtaangamia hivyo hivyo.
Leo ndo mnajifanya mna utu na ubinaadam. Mfateni kiongozi wa malaika wenu aliyejitamba atawafanya watu waishi kama mashetani, sasa sijui yeye na nyinyi wafuasi wake tuwaite nani kama mna uwezo wa kuwageuza wengine mashetani [emoji848][emoji848]
Hatuna shida na Magufuli lakini malofa wafuasi wa praise team ambao leo wanataka kuendeleza kasumba ile ile ya Mzalendo wao ya kufumba watu midomo. Pia Magufuli alikuwa kiongozi alivyoendesha tasisi ya urais ni jambo la kuendelea kujadiliwa hata kama hayupo. Kuna funzo endelevu kwa pande zake mbili za uzuri na ubaya bahati mbaya ni kuwa mabaya yake kijamii yananuka sana hadi kunajisi mazuri yake akiwa kwenye taasisi yetu hivyo wafuasi kujisikia vibaya inapotibukiwa hiyo harufu chafu.Jamani mbona hivi?