Yeye aliposema kama huwezi lipa Tsh 500 kwenye choo cha TANROADS Kaa na mavi yako nyumbani, je ulimkanya?
Hivi alipokuwa anaminya uhuru wa habari na kusaka wakosoaji na kuwabambika kesi za kutakatisha fedha ulitegemea nini? Tulikaa kimya kwa kuwa tuliogopa kuuliwa kama alivyomuua Ben saanane na Azory Gwanda. Au alivyomshambulia Tundu Lissu kwa risasi.
Huu ndiyo wakati wetu wa kumsema na HATUPOI kamwe Wala siyo FRUSTRATION kama unavyodai.
Hivi kweli wewe kwa akili yako
Kiranga kweli Magufuli anatuibia kura mwaka 2020 halafu anaweka wabunge wa kuja kubadili ukomo wa utawala kwa Afya ile kweli ilikuwa sawa?