Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Aliyeelewa tusaidiane kueleweshana kwa maslahi mapana ya taifa!
Magufuli alikuwa walking carcass. Yaani ngozi ilikuwa na mabaka kama mtu mwenye herpes zoster, huku akiwa na UKIMWI halafu mentally disturbed. Angeponaje na COVID-19?? Angalia alivyozungukwa na ma ACs hapo
 
Nami namuunga mkono Zitto, wote mnaomtetea mkazikwe naye Chato including wewe Kiranga
Kwanza kabisa, miminsijamt3tea Magufuli.

Ila, wewe una tatizo la kusoma kwa ufahamu.

Wewe ni ng7mbaru.

Watu kama wewe ndio niliowasema nilioiandika kwamba you are crude, unspophisticated and medievally tribal.

Huwezi kuelewa ninachoandika.

Nikiandika in defense of civility na kusema huyu Magufuli kashakufa, hakuna point kumdhalilisha, unaona namtetea Magufuli.

I have always been saying "Magufuli is a country bumpkin" hapa alivyokuwa hai.

Sasa utasemaje mimi namtetea Magufuli?

Tatizo lenu hamna nuance.

You are like apes.

Hatuwezi kuelewana.

I might as well write in Greek.
 
Mkuu,

Hata mimi Magufuli sikumpenda, utawala wake sikuupenda.

Na bado naweza kuwa nuanced enough kuona habari za kumuita Magufuli "walking carcass" si tu hazina tija, bali pia zinaonesha frustrations. Ni kama habari za mtu ana hasira halafu hajui cha kufanya zaidi ya kuitukana maiti.

Hivyo, si kika anay3k3mea lugha hizi ni mfuasi wa Magufuli. Tuch3 hizi siasa simplistic za kukisa n8ance za kusema mtu akikemea ujinga wa lugha chafu dhidi ya Magufuki, basi ni mfuasi wa Magufuli.

Mimi naweza kuwa sijamkubali Magufuli na sikubali lugha chafu zisizo na tija dhidi yake, hususan sasa ambapo ameshafariki.

Ningewaona hawa watu wa maana sana kama wangejikita kuwa na katiba mpya itakayopunguza madaraka ya rais ili ujinga wa utawala wa Magufuli usijirudie.

Kumtukana mtu aliyekwishajifia zake hakusaidii kitu.

Zaidi, kunatupa maswali tu kwa nini huyu mtu anamtukana mtu ambaye hana influence mpya tena katika jamii?

Unataka kupigana na maiti ya Magufuli?
Tunapigana na mawazo ya kijinga aliyowaachia wajinga waliofikia wakati wakaamini hawana wanachoweza kuwaza zaidi ya kumsikiliza huyo waliyeaminishwa nchi nzima hakuna mtu mwingine bora isipokuwa yeye. Naye ati anawaambia akiangalia miradi na mambo aliyofanya haoni mwingine wa kuyafanya hivyo inabidi yeye tu andelee. Mkuu samahani kama unakwazwa lakini hakuna lugha nyepesi na laini zaidi ya kuwakaripia hawa mamluki wapuuzi kabisa walioamini wao na Magufuli ndio raia halisi na wazalendo. Wajifunze wasirudie ujinga na upumbavu wa kiwango hiki ambao sidhani kama upo mahali popote pale kwingineko duniani.
 
Hatuna shida na Magufuli lakini malofa wafuasi wa praise team ambao leo wanataka kuendeleza kasumba ile ile ya Mzalendo wao ya kufumba watu midomo. Pia Magufuli alikuwa kiongozi alivyoendesha tasisi ya urais ni jambo la kuendelea kujadiliwa hata kama hayupo. Kuna funzo endelevu kwa pande zake mbili za uzuri na ubaya bahati mbaya ni kuwa mabaya yake kijamii yananuka sana hadi kunajisi mazuri yake akiwa kwenye taasisi yetu hivyo wafuasi kujisikia vibaya inapotibukiwa hiyo harufu chafu.

Hakuna kosa wala haramu yoyote kumsema hata kama kafa, amekufa yeye sio taasisi yetu ya Urais aliyoiachia najisi, tukiusema unajisi huu ili usuguliwe na kufutwa kabisa na waliochangia najisi hii wachunguzwe msituzibe midomo kwa kisingizio cha kasha jifia. Wajibu haufi, wajibu unabaki kuishi milele.

Alitunyamazisha kwa mateka, risasi na kutuwekea tiss wa ovyo mitaani tusinongone, aki-record watu, akisambaza wasiojulikana, akipoteza watu, akihujumu bunge, chaguzi n.k. mkamuinua kama sanamu yenu akawa juu akajisahau mkamuaminisha atatawala milele kumbe mnamdamganya na kudanganyika, sasa hawezi na nyie hamuwezi tena kutupumbaza na kutanya mazezeta kama mlivyofanywa nyinyi, acheni tumsema kama mnaumia saaaana kwa mapenzi mlio nayo kwake anaposemwa basi "......nendeni Chato mkazikwe naye mkaa pamoja naye....." By ZZK.

Huko huko mnaweza kubadili hata katiba ili aendelee kuwaongoza maana huko hatutaweza kuwaingilia wala kuwasema.
Kwanza sina shida na kumjadili Magufuli, but why this ignoble "walking carcass" talk? Tena kwa mtu aliyekwishajifia zake huko.

Pili, ikiwa mnajificha online tu na mnasubiri mtu afe ndiyo mumseme, you guys are a bunch of cowards.

Ilitakiwa mtu amtukane Magufuli to his face, tujue kweli you mean business.

Otherwise, you are just a bunch of keyboard warriors, a bunch of bitches getting online feel good high without any real work.

Mnamshambulia mfu wakati mpaka rais wa sasa serikali yake inateka watu.

What are you doing about that?

And by doing, I don't mean social media posts.

What are you actually doing to change the system?
 
Jamani mbona hivi?

Kwa nini mnamuandama sana mtu kashajifia zake?

Mimi mwenyewe sikuupenda utawala wa Magufuli, lakini kwa nini kuna obsession hii?

Hamuwezi kufikiria mambo ya sasa na yanayokuja ?

Hata kama mnamsema, hamuwezi kumsema kwa mambo ya msingi?

What is this crude and ignoble talk about "walking carcass"?

We have to be careful to not become what we despise.

Mimi sikumpenda Magufuli kwa maneno ya ovyo.

Naona na wewe umerithi maneno hayohayo.

Kwani hatuwezi kusema kwamba ni vibaya kutukuza mtu mmoja kiasi cha kutaka kuvunja katiba, bila kudhalilisha mtu kwamba alikuwa "walking carcass"?
Mkuu, wengine haya mambo tulianza kuyapigia kelele toka mwanzo lakini tukaambiwa ni Sukuma Gang ilhali tulipinga mambo mengi sana yaliyokuwa yakitendeka chini ya Hayati Magufuli. After his demise tuliamua kukaa kimya maana tulijua there's nothing could be undone after he was gone. Tukaamua kumtetea akiwa mfu maana tulijua hata tukishupaza shingo kumsimanga hawezi kubadili lolote.
Lakini amini nakuambia, hawa wanaofanya haya si kwamba wanayafanya kwa bahati mbaya. Kuna a well organised syndicate with intent to tarnish the image of Magufuli. Sijui hii inawasaidia nini!? Lakini time will sooner or later turn against them
 
Mkuu,

Hata mimi Magufuli sikumpenda, utawala wake sikuupenda.

Na bado naweza kuwa nuanced enough kuona habari za kumuita Magufuli "walking carcass" si tu hazina tija, bali pia zinaonesha frustrations. Ni kama habari za mtu ana hasira halafu hajui cha kufanya zaidi ya kuitukana maiti.

Hivyo, si kika anay3k3mea lugha hizi ni mfuasi wa Magufuli. Tuch3 hizi siasa simplistic za kukisa n8ance za kusema mtu akikemea ujinga wa lugha chafu dhidi ya Magufuki, basi ni mfuasi wa Magufuli.

Mimi naweza kuwa sijamkubali Magufuli na sikubali lugha chafu zisizo na tija dhidi yake, hususan sasa ambapo ameshafariki.

Ningewaona hawa watu wa maana sana kama wangejikita kuwa na katiba mpya itakayopunguza madaraka ya rais ili ujinga wa utawala wa Magufuli usijirudie.

Kumtukana mtu aliyekwishajifia zake hakusaidii kitu.

Zaidi, kunatupa maswali tu kwa nini huyu mtu anamtukana mtu ambaye hana influence mpya tena katika jamii?

Unataka kupigana na maiti ya Magufuli?
Yeye aliposema kama huwezi lipa Tsh 500 kwenye choo cha TANROADS Kaa na mavi yako nyumbani, je ulimkanya?

Hivi alipokuwa anaminya uhuru wa habari na kusaka wakosoaji na kuwabambika kesi za kutakatisha fedha ulitegemea nini? Tulikaa kimya kwa kuwa tuliogopa kuuliwa kama alivyomuua Ben saanane na Azory Gwanda. Au alivyomshambulia Tundu Lissu kwa risasi.

Huu ndiyo wakati wetu wa kumsema na HATUPOI kamwe Wala siyo FRUSTRATION kama unavyodai.

Hivi kweli wewe kwa akili yako Kiranga kweli Magufuli anatuibia kura mwaka 2020 halafu anaweka wabunge wa kuja kubadili ukomo wa utawala kwa Afya ile kweli ilikuwa sawa?
 
Kwasababu ya kumsemar binadamu....hii ndiyo tofauti yangu na wewe...hata angemsema baba yako au adui wa baba yako ningeandika hivyo tu.
Basi mkuu acha iwe hivyo
 
Mkuu, wengine haya mambo tulianza kuyapigia kelele toka mwanzo lakini tukaambiwa ni Sukuma Gang ilhali tulipinga mambo mengi sana yaliyokuwa yakitendeka chini ya Hayati Magufuli. After his demise tuliamua kukaa kimya maana tulijua there's nothing could be undone after he was gone. Tukaamua kumtetea akiwa mfu maana tulijua hata tukishupaza shingo kumsimanga hawezi kubadili lolote.
Lakini amini nakuambia, hawa wanaofanya haya si kwamba wanayafanya kwa bahati mbaya. Kuna a well organised syndicate with intent to tarnish the image of Magufuli. Sijui hii inawasaidia nini!? Lakini time will sooner or later turn against them
Tatizo mimi naona labda kuna watu wengi wamechotwa akili na propaganda za Magufuki, wanampenda Magufuli, na wapinzani hawapendi hilo, wanaona bado kuna vita na mfu ambaye ana influnce watu bado.

Na katikanm kufanya vita hivyo, wanamfufua Magufuli, wanampa nguvu zaidi, wanampa uhai hata baada ya kufa.

The law of unintended consequences ina apply hapa.

Mtu anaona anamsema vibaya Magufuli, anamtukana, kumbe kwa kumtukana vile mfu, ndiyo anajionesha hana hoja, anajionesha Magufuli kamkera sana, anajiinesha kwamba he can't get over Magufuli even when Magufuli is dead for over a year. Anajionesha asivyo na mental fortitude. Anajionesha asivyo na mental fortitude.

Watu wasio wa sophistication wanaona huyu Magufuli ana nguvu kama jini.

Hata baada ya kufa wapinzani wake hawaishi kumtaja.

Watu walio na sophistication wanaona hawa wapinzani wanashindwa ku focus kwenye mambo ya kitaasisi kama katiba mpya, wanaangalia mtu bado mpaka leo.

In the final analysis, matusi dhidi ya Magufuli yana backfire.

Yanampandisha chart Magufuli, na kuwashusha wanaomtukana.
 
Yeye aliposema kama huwezi lipa Tsh 500 kwenye choo cha TANROADS Kaa na mavi yako nyumbani, je ulimkanya?

Hivi alipokuwa anaminya uhuru wa habari na kusaka wakosoaji na kuwabambika kesi za kutakatisha fedha ulitegemea nini? Tulikaa kimya kwa kuwa tuliogopa kuuliwa kama alivyomuua Ben saanane na Azory Gwanda. Au alivyomshambulia Tundu Lissu kwa risasi.

Huu ndiyo wakati wetu wa kumsema na HATUPOI kamwe Wala siyo FRUSTRATION kama unavyodai.

Hivi kweli wewe kwa akili yako Kiranga kweli Magufuli anatuibia kura mwaka 2020 halafu anaweka wabunge wa kuja kubadili ukomo wa utawala kwa Afya ile kweli ilikuwa sawa?
Sasa unamsema mtu kashakufa hata hakusikii mkuu?

Vipi tukijipanga tuwe na katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ili tupate demokrasia nzuri zaidi?

Huoni hilo litakuwa na tija zaidi kuliko kumsema mfu ambaye hata hatusikii?

Wanasema simple minds discuss people, average minds discuss events, great minds discuss ideas.

Are we using great minds by discussing Magufuli the person, tena kimipasho mipasho tu kuwa alikuwa "walking carcass" au "wanaompenda wakazikwe naye Chato"?
 
Katika mambo mengi yaliyotawala mitandao ya jamii na Bunge mwaka 2020 ilikuwa ni kuongeza ukomo wa utawala kwenye katiba ili kumuwezesha Magufuli aende beyond 2025. Alisikika Ally Kesi mbunge wa Nkasi wa wakati huo akisema "apende asipende lazima tumuongeze muda". Na Spika Ndugai akamhakikishia Ally Kesi kurudi Bungeni na kuipokea hoja yake.

Angalieni hapa picha za aliyekuwa anapigiwa debe, namuona kama kwa mwaka 2020 alikuwa tayari ni walking carcass;
View attachment 2197587
Amini hii mission ilikua real! Wala haikua maigizo, tushukuru MUNGU kwa kila jambo 🙏
 
Attachments

  • twitter_20211231_173516.mp4
    2.9 MB
Most Tanzanians political discussions, at least on JF, are crude, tribal and unsophisticated.

Hatujavuka maongezi ya mavi mavi tu.

Nuance is a rare commodity.

Yani kujua kwamba unaweza kutokubaliana na Magufuli na wapambe wake, lakini kumuita mtu "walking carcass" ni lack of savoir faire ni mtihani.

We ona mpaka kiongozi wa kitaifa wa upinzani Zitto Kabwe anasema wafuasi wa Magufuli wakazikwe naye Chato.

I am asking, did Magufuli frustrate you guys this much? If yes, what does that say about your mental fortitude? If no, why the stupid vitriolic bile?

Huyo Zitto ndiye kiongozi wa chama wa taifa.

Hawa vifulambute na vinukamkojo wa JF unategemea nini?
Umeupiga mwingi Kiranga[emoji23][emoji119]
Sema wewe jamaa genius sana.
 
Kwanza sina shida na kumjadili Magufuli, but why this ignoble "walking carcass" talk? Tena kwa mtu aliyekwishajifia zake huko.

Pili, ikiwa mnajificha online tu na mnasubiri mtu afe ndiyo mumseme, you guys are a bunch of cowards.

Ilitakiwa mtu amtukane Magufuli to his face, tujue kweli you mean business.

Otherwise, you are just a bunch of keyboard warriors, a bunch of bitches getting online feel good high without any real work.

Mnamshambulia mfu wakati mpaka rais wa sasa serikali yake inateka watu.

What are you doing about that?

And by doing, I don't mean social media posts.

What are you actually doing to change the system?
You are an imbecile twat for such crooked reasoning. So you wanted us to criticize the ruthless autocratic dictator so that we be targeted like what happened to Tundu Lissu.

He created hate to our county, let him reap the fruits of what he created through you his followers and worshipers.

When I put up this post I expected the like of you, if it hurts you it means I have met my expectations. The pain you get as Magufuli worshiper is similar to the pain that families of Ben Saanane, Azory Gwanda and many more were subjected to during the regime of terror. Let him continue to rot in hell
 
Katika mambo mengi yaliyotawala mitandao ya jamii na Bunge mwaka 2020 ilikuwa ni kuongeza ukomo wa utawala kwenye katiba ili kumuwezesha Magufuli aende beyond 2025. Alisikika Ally Kesi mbunge wa Nkasi wa wakati huo akisema "apende asipende lazima tumuongeze muda". Na Spika Ndugai akamhakikishia Ally Kesi kurudi Bungeni na kuipokea hoja yake.

Angalieni hapa picha za aliyekuwa anapigiwa debe, namuona kama kwa mwaka 2020 alikuwa tayari ni walking carcass;
View attachment 2197587
Bado nyongo ya hasira haijakuisha??
 
You are an imbecile twat for such crooked reasoning. So you wanted us to criticize the ruthless autocratic dictator so that we be targeted like what happened to Tundu Lissu.

He created hate to our county, let him reap the fruits of what he created through you his followers and worshipers.

When I put up this post expected the like of you, if it hurts you it means I have met my expectations. The pain you get as Magufuli worshiper is similar to the pain that families of Ben Saanane, Azory Gwanda and many more were subjected to during the regime of terror. Let him continue to rot in hell
You are exactly what I described in my post number 8 above.

No nuance, no sophistication, apish emotional instinctive vitriol.
 
Yeye aliposema kama huwezi lipa Tsh 500 kwenye choo cha TANROADS Kaa na mavi yako nyumbani, je ulimkanya?

Hivi alipokuwa anaminya uhuru wa habari na kusaka wakosoaji na kuwabambika kesi za kutakatisha fedha ulitegemea nini? Tulikaa kimya kwa kuwa tuliogopa kuuliwa kama alivyomuua Ben saanane na Azory Gwanda. Au alivyomshambulia Tundu Lissu kwa risasi.

Huu ndiyo wakati wetu wa kumsema na HATUPOI kamwe Wala siyo FRUSTRATION kama unavyodai.

Hivi kweli wewe kwa akili yako Kiranga kweli Magufuli anatuibia kura mwaka 2020 halafu anaweka wabunge wa kuja kubadili ukomo wa utawala kwa Afya ile kweli ilikuwa sawa?
Wapi amesema alikuwa sawa kufanya hayo???

Hivi nyie..kutokuwa sawa kwa magufuli ndiko kunakofanya watu waendelee kuwa wajinga kiasi hiki cha kuendelea kutukana marehemu??
Haya matusi yanasaidia nini sasa??
Mtu alishakufa!
 
Mkuu, wengine haya mambo tulianza kuyapigia kelele toka mwanzo lakini tukaambiwa ni Sukuma Gang ilhali tulipinga mambo mengi sana yaliyokuwa yakitendeka chini ya Hayati Magufuli. After his demise tuliamua kukaa kimya maana tulijua there's nothing could be undone after he was gone. Tukaamua kumtetea akiwa mfu maana tulijua hata tukishupaza shingo kumsimanga hawezi kubadili lolote.
Lakini amini nakuambia, hawa wanaofanya haya si kwamba wanayafanya kwa bahati mbaya. Kuna a well organised syndicate with intent to tarnish the image of Magufuli. Sijui hii inawasaidia nini!? Lakini time will sooner or later turn against them
False/misleading ideologideologies and evil criminal actions committed against humanity can never be ignored by simply saying the person is dead.

Yes, he/she is dead but his/her ideologies and criminal doings with their aftermath are and will stay for ever. This has to be discussed and totally rebuked in such a way that allows reference has to be made to the person who promoted and influenced it.

That is the right way of professionalism when one maked reference to the source of the idea, knowledge, action etc. Reference is not only professionalism but also the sign of devoting respect and recognition to that person.

The Hon. Late Dr. JPM deserves to be honoured at that level of undiminished respect in anyway for both the right and the wrong.

Each citezen has a right to choose her side of reference about our national leader, if one chooses the right, no body complains. Why should one feel unhappy and or offended for those choosing to refer to him for the wrong???🤔
 
Wapi amesema alikuwa sawa kufanya hayo???

Hivi nyie..kutokuwa sawa kwa magufuli ndiko kunakofanya watu waendelee kuwa wajinga kiasi hiki cha kuendelea kutukana marehemu??
Haya matusi yanasaidia nini sasa??
Mtu alishakufa!
Hawa ngumbaru wengine hawajui hata kusoma kwa ufahamu.

Sitegemei wakuelewe wewe au mimi.

Halafu wakiwa online kelele nyiingi.

Wakiambiwa waandamane wote wanafyata mikia.

Bado wako kwenye kumshambulia Magufuli mfu, wakati Samia anawapiga mpaka kesho!

Stupid cowards.
 
Back
Top Bottom