Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Mtu anamsema Magufuli sadist, kwa kumtukana kwa kutumia sadism.Ni kweli Magufuli alikuwa Sadist kiuhalisia. Na tunaomfahamu tangu ujana wake tulishangaa kupewa nafasi kubwa ya kuamua hatima ya maisha ya watu. Tulijua lazima ataumiza, ataua, atafunga, atapoteza watu. Lakini ya kwake yameisha hawezi kufanya tena.
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Huyo kamrithi mikoba Magufuli bila kujijua.
We must be careful to not become what we despise.