Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Ni kweli Magufuli alikuwa Sadist kiuhalisia. Na tunaomfahamu tangu ujana wake tulishangaa kupewa nafasi kubwa ya kuamua hatima ya maisha ya watu. Tulijua lazima ataumiza, ataua, atafunga, atapoteza watu. Lakini ya kwake yameisha hawezi kufanya tena.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Mtu anamsema Magufuli sadist, kwa kumtukana kwa kutumia sadism.

Huyo kamrithi mikoba Magufuli bila kujijua.

We must be careful to not become what we despise.
 
False/misleading ideologideologies and evil criminal actions committed against humanity can never be ignored by simply saying the person is dead.

Yes, he/she is dead but his/her ideologies and criminal doings with their aftermath are and will stay for ever. This has to be discussed and totally rebuked in such a way that allows reference has to be made to the person who promoted and influenced it.

That is the right way of professionalism when one maked reference to the source of the idea, knowledge, action etc. Reference is not only professionalism but also the sign of devoting respect and recognition to that person.

The Hon. Late Dr. JPM deserves to be honoured at that level of undiminished respect in anyway for both the right and the wrong.

Each citezen has a right to choose her side of reference about our national leader, if one chooses the right, no body complains. Why should one feel unhappy and or offended for those choosing to refer to him for the wrong???🤔
So many words without any substantial argument. Just bluffing
 
Ukisema Magufuli was a walking carcass umemdiscuss Magufuli in connection with idea gani sasa hapo?

Vitriolic hate?
Sawa na kusema Archmedes was a Scientist. Neno moja fupi lenye kutambulisha sifa yake na kuvuta hisia za kujifunza. Nikisema wewe ni carcass natumia lugha ya picha kwa neno moja tu kukutambulisha sifa chafu mithili ya mzoga, haukufaa. Inavuta hisia za kuwajenga wengine wasioze kama wewe na kuwa harufu chafu na haribifu kwa jamii isiyo na ustawi wowote. Simply living with carcass characteristics
 
Sawa na kusema Archmedes was a Scientist. Neno moja fupi lenye kutambulisha sifa yake na kuvuta hisia za kujifunza. Nikisema wewe ni carcass natumia lugha ya picha kwa neno moja tu kukutambulisha sifa chafu mithili ya mzoga, haukufaa. Inavuta hisia za kuwajenga wengine wasioze kama wewe na kuwa harufu chafu na haribifu kwa jamii isiyo na ustawi wowote. Simply living with carcass characteristics
Piganeni na maiti hivihivi.

2025 mnapigwa bao tena.
 
Yes, reciprocally......

Kama kuna wanaopigana na maiti, kuna wanao benefit wakilindana na maiti.

Huyu anampiga, wewe unalinda, nyote mko kwa maiti yuleyule
So, what is the difference?? [emoji848]
Mimi silindi maiti.

Nakwambia wewe unayetaka mabadiliko acha kupigana na maiti.

Ukipigana na maiti unawaacha watu walio hai wakupige bao. Tena la mkono kama la Nape.

Mpaka sasa mikutano ya hadhara mmekataliwa.

Katiba mpya mmekataliwa.

Tume huru ya uchaguzi mmekataliwa.

Watu bado wanatekwa.

Tozo ndiyo kama oxygen yenu.

Salma.Kikwete naye anataka mafao zaidi.

Chini ya urais wa Samia, si Magufuli.

Nyie mmezubaa kupigana na maiti.

Lazima mchezewe siku zote kwa mtaji huu.

Mnampigia kampeni Samia bila kujijua.
 
Kwanza kabisa, miminsijamt3tea Magufuli.

Ila, wewe una tatizo la kusoma kwa ufahamu.

Wewe ni ng7mbaru.

Watu kama wewe ndio niliowasema nilioiandika kwamba you are crude, unspophisticated and medievally tribal.

Huwezi kuelewa ninachoandika.

Nikiandika in defense of civility na kusema huyu Magufuli kashakufa, hakuna point kumdhalilisha, unaona namtetea Magufuli.

I have always been saying "Magufuli is a country bumpkin" hapa alivyokuwa hai.

Sasa utasemaje mimi namtetea Magufuli?

Tatizo lenu hamna nuance.

You are like apes.

Hatuwezi kuelewana.

I might as well write in Greek.
Sasa unalialia nini? Anayeandikwa ni DIKTETA aliyetutesa. Mbona wanaomsifia hamuwaambii mwacheni apumzike msifie?

Tuko hapa 24/7 titaandika kuhusu huyu shetani wa Chato mpaka mtakapokufa na kuzikwa naye Chato
 
Sasa unalialia nini? Anayeandikwa ni DIKTETA aliyetutesa. Mbona wanaomsifia hamuwaambii mwacheni apumzike msifie?

Tuko hapa 24/7 titaandika kuhusu huyu shetani wa Chato mpaka mtakapokufa na kuzikwa naye Chato
Kati yenu mnayemlalamikia mfu na mimi ninayewaambia mambo ya kubadili taasisi nani analialia?

Endeleeni hivi hivi, CCM watawatawala mpaka mfe na watoto zenu nao wakiendelea hivi watatawaliwa hivyo hivyo.

Mark my words.
 
Amini hii mission ilikua real! Wala haikua maigizo, tushukuru MUNGU kwa kila jambo 🙏
Asante Pac the Don kwa hii clip ya Ally Kessy. Mimi nawashangaa Watu wasiojua nguvu ya Mungu wetu. Angalia Kesy aliyetoa hoja siyo mbunge tena, aliyepigiwa debe kuongezewa muda alirudisha namba tarehe 17/ 03/ 21na aliyepokea hoja siyo Spika wa Bunge tena.

Kama Kiranga huelewi matendo ya Mungu wetu endelea kumuabudu Magufuli huko aliko
 
Hii ni project maalumu bwashee!

Wiki ijayo mafuta yanapanda tena bei hivyo Zitto anaanzisha mijadala ya " danganya toto"
Yapande mara ngapi? Mimi nadhani issue yaweza kuwa ziara ya kifalme inayotiliwa shaka na baadhi ya watu na outputs zake!!
 
Wapi amesema alikuwa sawa kufanya hayo???

Hivi nyie..kutokuwa sawa kwa magufuli ndiko kunakofanya watu waendelee kuwa wajinga kiasi hiki cha kuendelea kutukana marehemu??
Haya matusi yanasaidia nini sasa??
Mtu alishakufa!
Tunataka afe tena mara ya pili huko huko kaburini. Hatumpumzishi DIKTETA ili iwe fundisho kwa kiongozi mwingine asije akafanya UHAYAWANI kama alioufanya huyu MRUNDI
 
Ukisema Magufuli was a walking carcass umemdiscuss Magufuli in connection with idea gani sasa hapo?

Vitriolic hate?
Magufuli was a walking cadaver basi kama carcass inakukera
 
Katika mambo mengi yaliyotawala mitandao ya jamii na Bunge mwaka 2020 ilikuwa ni kuongeza ukomo wa utawala kwenye katiba ili kumuwezesha Magufuli aende beyond 2025. Alisikika Ally Kesi mbunge wa Nkasi wa wakati huo akisema "apende asipende lazima tumuongeze muda". Na Spika Ndugai akamhakikishia Ally Kesi kurudi Bungeni na kuipokea hoja yake.

Angalieni hapa picha za aliyekuwa anapigiwa debe, namuona kama kwa mwaka 2020 alikuwa tayari ni walking carcass;
View attachment 2197587

Mengi yameandikwa kuhusu hii picha na kila mtu ametoa maoni yake. Mimi nina interpretation yangu tofauti na wengi waliochangia. Kwanza namshukuru mleta huu uzi kwasababu ameonesha mapungufu katika mfumo wetu wa uchaguzi ambao ni lazima urekekebishwe .
Picha zilizowekwa zinamuonesha mgombea wa URAIS kwa ticket ya ccm akiwa katika pilika pilika za kuomba kura kwa wananchi lakini muonekano wake unaonesha kuwa afya yake haikuwa nzuri na ndio maana iliwalazimu kumuwekea AIR CONDITIONERS kwenye jukwaa ambapo angehutubia!!
Hapo tunapata fundisho kuwa kuna umuhimu wa kukagua afya za wale tunaoowateua kugombea kuhakikisha kuwa sio wagonjwa/ afya zao zina mgogoro! Hilo ni muhimu Kwani iwapo watafanikiwa kuongoza nchi ili hali ni wagonjwa Taifa litaingia gharama nyingi na hata utendaji wao pia utakuwa wa mashaka!! Hivyo basi kama tunataka kuepukana na haya mapungufu hatuna budi kuyapatia ufumbuzi wa kudumu kwa kuyaingiza kwenye katiba ya nchi yetu maadam hivi sasa hayamo!!! Hapa ndio umuhimu wa kuwa na katiba mpya unapojitokeza. Hivyo hii picha inatukumbusha urgency ya kupata katiba mpya contrary to what others think!
 
Huihui2
mjlol (1).png
 
Back
Top Bottom