Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Post namba 8 ya uzi huu nilielezea Watanzania wengi walivyo na akili fupi na wasivyoweza mijadala yenye nuance.

Huyo uliyemnukuu ni mmoja wao.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mtoa mada ukute unaamini uwepo wa Mungu,aither wewe Ni Muislam au Mkristo,Ila andiko lako limejaa ukakasi na ukosefu wa utu na busara...Ila Nimeshangazwa na comments za Kiranga mtu mnaemshambulia kuwa Ni mpagani hamuamini Mungu Ila hoja zake zimejaa busara,heshima na Utu...Hebu sie waamini tujitafakari jamani
Kikubwa zaidi, mimi hata nikikosa busara, hekima na heshima, hilo halita contradict position yangu kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Kama Mungu huyo hayupo, kukosa busara, hekima na heshima kwangu si kitu cha kushangaza.

Ila, kama Mungu huyo yupo, kukosa busara, hekima na heshima kwa mtu yeyote ni kitu ambacho hakitakiwi kuwepo.

Kuna watu wengi hawana busara, hekima wala heshima.

Hilo linathibitisha Mungu huyo hayupo.

Lakini, nafikiri ni wachache sana wanaoweza kuelewa point hii.

Kwa hivyo, asiyeielewa namsamehe tangu awali.
 
Thibotisha uwepo wa msamaha kimwonekano.
 
Hawa atheists wametupiga gap parefu tu..
Kiwango Chao cha busara na ustaarabu kwenye mambo mengi kipo juu.

Ila sisi sasa tunaojidai tunamjua Mungu ndio tunaongoza kwa upumbavu humu duniani.
Hakika naamini usemayo,nimejionea kwenye huu uzi
 
Kikubwa zaidi, mimi hata nikikosa busara, hekima na heshima, hilo halita contradict position yangu kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Kama Mungu huyo hayupo, kukosa busara, hekima na heshima kwangu si kitu cha kushangaza.

Ila, kama Mungu huyo yupo, kukosa busara, hekima na heshima kwa mtu yeyote ni kitu ambacho hakitakiwi kuwepo.

Kuna watu wengi hawana busara, hekima wala heshima.

Hilo linathibitisha Mungu huyo hayupo.

Lakini, nafikiri ni wachache sana wanaoweza kuelewa point hii.

Kwa hivyo, asiyeielewa namsamehe tangu awali.
Nimerudia Mara tatu na nimekulewa vizuri ulichomaanisha...japo sifungamani na msimamo wako Ila tu una heshima zangu.
 
Most Tanzanians political discussions, at least on JF, are crude, tribal and unsophisticated.

Hatujavuka maongezi ya mavi mavi tu.

Nuance is a rare commodity.

Yani kujua kwamba unaweza kutokubaliana na Magufuli na wapambe wake, lakini kumuita mtu "walking carcass" ni lack of savoir faire ni mtihani.

We ona mpaka kiongozi wa kitaifa wa upinzani Zitto Kabwe anasema wafuasi wa Magufuli wakazikwe naye Chato.

I am asking, did Magufuli frustrate you guys this much? If yes, what does that say about your mental fortitude? If no, why the stupid vitriolic bile?

Huyo Zitto ndiye kiongozi wa chama wa taifa.

Hawa vifulambute na vinukamkojo wa JF unategemea nini?
Sasa kama aliamuru watu wapigwe risasi, wauawe na kuwekwa kwenye sandarusi, kufilisi watu, kufukuza watu kazi, kufunga watu midomo n.k kwanini watu wasifunguke baada ya yeye kutwaliwa kule kuzimu? Mfalme Herode na Filauni hadi leo wanatajwa kwa ukatili wao ingawa walishakufa maelfu ya miaka sembuse huyu aliyekufa juzi? Kwanini Mkapa, Nyarere ambao walitangulia kabla yake hawatajwi kama yeye? Ukifanya mabaya utayavuna hata kama umekufa ndiyo utaratibu wa dunia, kama wewe ulifaidi kipindi cha mwenda zake una kazi ngumu sana ya kumtetea mbele za watu walioumizwa nae.

Unadhani familia na wazazi wa Ben Saanane ambao hata maiti ya ndugu yao hawakuiona kwa ufedhuli wa huyu nduli wanajisikiaje wakilisikia jina la huyo mfalme wa chato? Familia ya Azori Gwanda nao unadhani watamfurahia? Ndundu Lissu aliyepigwa risasi kwenye nyumba za serikali zenye kila aina ya ulinzi camera zikachomolewa, walinzi wakapelekwa likizo bado wakamnyima haki za kutibiwa wakaona haitoshi wakamfukuza na ubunge n.k.

Hivi ingekuwa nawewe umepitiwa na risasi kwenye korodani kwa amri ya huyu mtukufu wa chato ungekuja na utetezi hapa wa kumtetea? Sasa kama kimekuuma nenda kachimbe kaburi karibu yake jifukie!
 
Muda mwingine naona hata mods wa hapa jf nao ni wajinga tu!

Imagine unaachaje mada kama hii?
Ina Mashiko sana tu hii mada. Kwa hiyo unataka zile mada zenu zinazomtukuza na kumuabudu DIKTETA wa Chato? Wewe Crimea ni hayawani
 
Maiti waheshimiwe mkuu, muache mwamba apumzike japo sikuwa fan wake mkubwa ila ni kiongozi wetu na amesharudi mavumbini uache kejeli .
Aliyehai aheshimiwe zaidi kuliko mfu, Lowasa akiwa hai hakustahili matusi yale toka kwa wanaccm aliyavumilia na angeyakataa wangemkamata, tuvumiliane kwani wanaccm ndio waliolianzisha.
 
Wote hao hawajawahi kusema "Magufuli was a walking carcass".

Mimi mwenyewe nampinga Magufuli.

Lakini, napinga kumpinga kijinga kwa kusema "Magufuli was a walking carcass".

First of all carcasses don't walk, so that shit is oxymoromic.
Umebwabwaja sana lakini mpaka sasa bado hujatoa hoja whether Magufuli wasn't a walking carcass.

Nijibu straightforward: zile Air conditioner zilikuwa za kazi gani akiwa mikutano ya nje ya kampeni?
 
Sawa.

Magufuli alikuwa na kiburi cha afya kuwasema wengine. Hiki ni kitu kibaya.

Sasa, na sisi tunajifunza nini kwa Magufuli kuwa na kiburi hicho cha afya?

Tunajifunza kwamba hili ni jambo baya na kuliacha?

Au tunakosa kujifunza kutokana na mabaya ya Magufuli, na tunarudia kiburi kile kile cha afya cha Magufuli kumsema kwamba "Magufuli was a walking carcass"?

Kwani kuna mtu ambaye hatakufa?
Sisi hatuna cha kujifunza kwa mtu mwenye kiburi zaidi ya ku REVENGE. Na revenge imefanikiwa hata kama yeye ameshakufa. Maana wafuasi wake wachache humu including Kiranga tunaona mlivyokasirika.

Kadri mnavyokasirika na sisi tunaongeza makali
 
Kiranga tangu nimeanza kumsoma hajawahi kuwa mfuasi wa Magufuli.

Hebu jaribu kumsoma uelewe basi,acha mambo ya kiwaki,mimi ni mtu wa Mbeya na siyo msukuma.
Kama Kiranga hajawahi kuwa mfuasi wa Magufuli, kwanini mishipa imemtoka kumtetea Magufuli?
Sisi kwetu Magufuli alikuwa adui, Kiranga ni nani atuchagulie maneno ya kumpamba.

Kila moja ashinde mechi zake
 
Bado sijaelewa sana kwanini watu wanahangaika sana na siyekuwepo na hatakuwepo tena.

Kwa sababu wanalazimisha kuondoa upendo kwa mtu ambaye ashakufa ila still watu bado wanataka bora angekuwepo!Wanajiuliza wanazidiwaje na Magufuri wakati tayari ni mtu,so wametengeneza mpka Royal tuwa rakini bado
 
Sasa kama aliamuru watu wapigwe risasi, wauawe na kuwekwa kwenye sandarusi, kufilisi watu, kufukuza watu kazi, kufunga watu midomo n.k kwanini watu wasifunguke baada ya yeye kutwaliwa kule kuzimu? Mfalme Herode na Filauni hadi leo wanatajwa kwa ukatili wao ingawa walishakufa maelfu ya miaka sembuse huyu aliyekufa juzi? Kwanini Mkapa, Nyarere ambao walitangulia kabla yake hawatajwi kama yeye? Ukifanya mabaya utayavuna hata kama umekufa ndiyo utaratibu wa dunia, kama wewe ulifaidi kipindi cha mwenda zake una kazi ngumu sana ya kumtetea mbele za watu walioumizwa nae.

Unadhani familia na wazazi wa Ben Saanane ambao hata maiti ya ndugu yao hawakuiona kwa ufedhuli wa huyu nduli wanajisikiaje wakilisikia jina la huyo mfalme wa chato? Familia ya Azori Gwanda nao unadhani watamfurahia? Ndundu Lissu aliyepigwa risasi kwenye nyumba za serikali zenye kila aina ya ulinzi camera zikachomolewa, walinzi wakapelekwa likizo bado wakamnyima haki za kutibiwa wakaona haitoshi wakamfukuza na ubunge n.k.

Hivi ingekuwa nawewe umepitiwa na risasi kwenye korodani kwa amri ya huyu mtukufu wa chato ungekuja na utetezi hapa wa kumtetea? Sasa kama kimekuuma nenda kachimbe kaburi karibu yake jifukie!
Mkuu konyola, you made my day kwa hii post yako. Yaani watu hawajiulizi kabisa kwa nini tunamshambulia mfu? Wanatukemea tu bila kuuliza sababu. Hasa huyu Kiranga. Magufuli was ruthless, amebomoa nyumba Kimara bila fidia watu wamekufa kwa shinikizo. Halafu za wasukuma Mwanza kaziacha kwa vile ni wasukuma. INSANE
 
Sio busara kumsema marehemu , acheni roho yake ipumzike
Kama alihangaisha roho za wengine kwa kuzilazimisha ziache miili yao atabaki vipi akiwa salama? Mbona roho za akina nyerere Mkapa hazilalamikiwi kama huyu mwenda kizimu? Kama kuna mtu anataka kumtetea awe mvumilivu vinginevyo atajihisi yupo ndani ya mtondoo wa mavi
 
Jamani mbona hivi?

Kwa nini mnamuandama sana mtu kashajifia zake?

Mimi mwenyewe sikuupenda utawala wa Magufuli, lakini kwa nini kuna obsession hii?

Hamuwezi kufikiria mambo ya sasa na yanayokuja ?

Hata kama mnamsema, hamuwezi kumsema kwa mambo ya msingi?

What is this crude and ignoble talk about "walking carcass"?

We have to be careful to not become what we despise.

Mimi sikumpenda Magufuli kwa maneno ya ovyo.

Naona na wewe umerithi maneno hayohayo.

Kwani hatuwezi kusema kwamba ni vibaya kutukuza mtu mmoja kiasi cha kutaka kuvunja katiba, bila kudhalilisha mtu kwamba alikuwa "walking carcass"?
Mkuu Kiranga watanzania ni wapuuzi kuzidi hata neno lenyewe. Tuna nongwa mno, kwa sababu ya uduni wa elimu na ukosefu wa exposure.
 
Back
Top Bottom