Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Wewe muongo.
Kama hujataja uongo uko wapi tutajuaje kwamba wewe si muongo zaidi yangu?

Tena wewe si muongo tu, ni muongo mvivu.

Unamsema mwingine muongo bila hata kujisumbua kuonesha uongo uko wapi.
 
Binadamu tuna uelewa tofauti and that's the beauty of our common humanity. JPM kama kiongozi wa nchi lazma ataongelewa tuu. Tuliobaki ni kujitahidi tukiondoka duniani tuongelewe kwa mazuri.
Kwani nani kasema asiongelewe?

How is that even a point to write about?
 
Kumbuka kuna msemo usemao "kutesa kwa zamu", hivyo hii ni zamu yake acha walio hai wajidai.
Kama kutesa kwa zamu, hii zamu ya SAMIA.

Na Samai kashasema yeye na Magufuli ni kitu kile kile.

N akweli, mikutano bado marufuku, katiba mpya bado njozi, katiba mpya danadana

Kwa hiyo usifikiri kifo cha Magufuli ndiyo kinakupa wewe zamu yako kutesa.

Yule mwingine alikuwa anapiga bila mafuta, huyu anapaka mafuta tu.
 
Kwanza kabisa, miminsijamt3tea Magufuli.

Ila, wewe una tatizo la kusoma kwa ufahamu.

Wewe ni ng7mbaru.

Watu kama wewe ndio niliowasema nilioiandika kwamba you are crude, unspophisticated and medievally tribal.

Huwezi kuelewa ninachoandika.

Nikiandika in defense of civility na kusema huyu Magufuli kashakufa, hakuna point kumdhalilisha, unaona namtetea Magufuli.

I have always been saying "Magufuli is a country bumpkin" hapa alivyokuwa hai.

Sasa utasemaje mimi namtetea Magufuli?

Tatizo lenu hamna nuance.

You are like apes.

Hatuwezi kuelewana.

I might as well write in Greek.
Kiranga nakukubali sana upande huu ila mambo ya imani, hoja zako sizikubali.
 
I feel you, si kwamba sielewi kuna mkono wa chuma wa kitaasisi ulioharibu sana mambo na kutisha, naelewa hilo.

Ila.

Sasa watu mamilioni wameumizwa sana wanashindwaje na watu wachache?

Kwani huko walikowatoa madikteta wao si immortals?
I got you.
Halafu kumbe jana nilisema immortals badala ya mortals.

Kwa wengine, sikumaanisha kuwa sarcastic asee. Bahati mbaya tu.
 
Na hao waliokuwa wanasema aongezewe muda,ni kenyewe ka magu kalikuwa kanawatuma maana kaliona kameanzisha mambo(miradi) mengi ambayo hakataweza kuimaliza kwa muda huo wa miaka 10
 
Sasa unamsema mtu kashakufa hata hakusikii mkuu?

Vipi tukijipanga tuwe na katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ili tupate demokrasia nzuri zaidi?

Huoni hilo litakuwa na tija zaidi kuliko kumsema mfu ambaye hata hatusikii?

Wanasema simple minds discuss people, average minds discuss events, great minds discuss ideas.

Are we using great minds by discussing Magufuli the person, tena kimipasho mipasho tu kuwa alikuwa "walking carcass" au "wanaompenda wakazikwe naye Chato"?
Vp, wale wanaomsifu mtu mbaya aliyekufa. Ungeanza na hao! Maana huwezi kupata katiba bora usipoweka wazi ubaya wa Magu. Ni lazima kuondoa ujinga kwa wafuasi wake. Maana mambo aliyokuwa anayakiuka wanaona ni sahihi. Sasa hapo utaingiza vp katiba mpya kwa mamburula.
 
Bora mimi Fisi Maji.

Wewe guluguja usiye na ubongo wala uti wa wa mgongo.

Huelewi kwamba hata mchakato wa kutafuta katiba tu ni vuguvugu la maendeleo.
Nyamaza unapokuwa ni wakati wako kusikiliza na kujifunza (Mithali 13: 1).
 
Muktadha.

If that is the case, then saying Magufuli was a walking carcass is pointless, because we all die in the end.
Kama umeona zile picha vizuri nipe summary yako kwa sentensi moja; Kwanini Magufuli alikuwa anawashiwa AC kwenye open air meeting?

Kama huwezi kujibu hili basi anaendelea kuwa alikuwa ni walking carcass
 
Vipaja sasa Jiwe alikua maiti inayotembea., nacheka mpaka napaliwa.
Mungu fundi nyieee..
 
Kama kutesa kwa zamu, hii zamu ya SAMIA.

Na Samai kashasema yeye na Magufuli ni kitu kile kile.

N akweli, mikutano bado marufuku, katiba mpya bado njozi, katiba mpya danadana

Kwa hiyo usifikiri kifo cha Magufuli ndiyo kinakupa wewe zamu yako kutesa.

Yule mwingine alikuwa anapiga bila mafuta, huyu anapaka mafuta tu.
Kiranga uma DNA ya Magufuli by 100%, kwa kuwa unalazimisha watu waandike unavyofikiri wewe. Get out of the narcissistic attitude.

Humu JF kuna thread nyingi zinazoongelea umuhimu wa Katiba Mpya na tunashiriki kuchangia mawazo yetu. Huu Uzi ulikuwa unawakumbusha watanzania kuwa wawe makini katika kuteua wagombea wao kwa nafasi ya urais.

Kuna taarifa kuwa hata Mwaka 2015 kulikuwa na taarifa ya TISS kuwa Magufuli alikuwa na history ya mental problems. Lakini Waziri mmoja mwandamizi wa utawala bora au mambo ya ndani alificha taarifa hiyo na haikufika Kamati Kuu ya CCM.

Huyu mtu Magufuli siyo wa kumhurumia kata kidogo kwa kuwa yeye ndiye muasisi wa "bullying", ngoja naye aipate kupitia kwa wanaomuabudu kama wewe Kiranga
 
Mkuu, na wala usiamini kamwe kwamba kufa kwa mtu ndio mwisho wa influence yake. Wanaomtukana Magufuli ni watu sophisticated and they know what they are doing.

Nguvu ya Magufuli ni pamoja na sacrifices zake kwa nchi hii na hizo ndizo zinazomfanya abaki kwenye airtime iwe kwa sisi tuliomkubali au kwa hao waliomkataa. His legacy is here yo stay!
Sacrifice ni neno tu alilokuwa analitumia kwa kujua mgogoro wa afya yake, ndiyo sababu anaponda pesa kwa kuweka Ac katika mikutano ya nje. Alikuwa anawaandaa mazwazwa kiakili ili akifa waseme sacrifice. Rais anayetukana na kukejeri raia ndo sacrifice? Hiyo ni laana iliyoongozwa na watu aliowatendea unyama. Kufariki wakati ana kila kitu, mpaka Ac barabarani ni uboya. Kweli kiongozi wa wanyonge alikuwa anawachora.
 
Mitandaoni does not count, kama mtu ni coward mtandaoni ndiyo mahala pake kupiga kelele.

Tunahitaji watu watoke mtandaoni na kufanya mambo on the ground.

Mitandaoni ni sehemu ya kumobilize watu. Kisha wataingia ground baada ya somo kueleweka.
 
Sacrifice ni neno tu alilokuwa analitumia kwa kujua mgogoro wa afya yake, ndiyo sababu anaponda pesa kwa kuweka Ac katika mikutano ya nje. Alikuwa anawaandaa mazwazwa kiakili ili akifa waseme sacrifice. Rais anayetukana na kukejeri raia ndo sacrifice? Hiyo ni laana iliyoongozwa na watu aliowatendea unyama. Kufariki wakati ana kila kitu, mpaka Ac barabarani ni uboya. Kweli kiongozi wa wanyonge alikuwa anawachora.
Hakuna chochote ulichoandika hapo kinachofuta sacrifice za Magufuli. Na kama ni kweli kwamba afya yake ilikuwa dhoofu toka awali hilo tu linatoshs kuthibitisha msukumo na passion aliyokuwa nayo juu ya maendeleo ya taifa at the expense ya afya yake. Kuna limtu fulani huko nyuma hata operation ndogo tu ya tezi dume lilikimbilia Marekani. Sipatii picha kama ndo angekuwa presidaa kipindi cha Corona.
 
Ndiyo anadunda mpaka sasa, alijari afya yake, hakuangaika kuwapakazia watu kesi. Hakujali alipotukanwa na mwendazake ilimsaidia kiafya sana, aliyekuwa anatukana ndiye aliishi kwa stress, na matokeo ya stress ndiyo yaliyomfikisha aliko. Kwa kutukana raia kwa kesi ya choo na jero.
 
Na sisi raia wa kawaida tunamchukulia huyo aliyejitoa mhanga kwa ajili ya Taifa lake kuwa wa thamani mara elfu kuliko huyo unayemwita anadunda. Nitafutie nyuzi zinazoanzishwa kumhusu anayedunda halafu linganisha na za yule asiyedunda. Kama utapata tofauti yoyote ni kwa sababu huyu asiyedunda alipambana kuhakikisha maelfu ya watanzania wanapata huduma bora za afya hapa hapa nchini badala ya kujijali binafsi. Matokeo yake anaishi kwenye mioyo ya watu kuliko hata huyo anayeishi.
 
Bora mimi Fisi Maji.

Wewe guluguja usiye na ubongo wala uti wa wa mgongo.

Huelewi kwamba hata mchakato wa kutafuta katiba tu ni vuguvugu la maendeleo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom