Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

RIP Rais wetu kipenzi. Kama kuna mkono wa mtu kwenye kifo chako, nao watakufata soon. Tulitamani sana utuongoze kwa maisha yako yote kipenzi chetu. Leo tumekosa kabisa matumaini bila uwepo wako.
 
Wapi amesema alikuwa sawa kufanya hayo???

Hivi nyie..kutokuwa sawa kwa magufuli ndiko kunakofanya watu waendelee kuwa wajinga kiasi hiki cha kuendelea kutukana marehemu??
Haya matusi yanasaidia nini sasa??
Mtu alishakufa!
Mjomba Adolf Hitler bado anasemwa kwa mabaya yake japo zaidi ya miaka 77 imepita, sembuse Magufuli mwaka mmoja tu? Nyongo na sumu watu bado wanayo sana kwa Yale waliyofanyiwa ya kubambikwa kesi, kuuliwa, kutekwa, kuporwa kura, kuachishwa kazi isivyo halali, kufedheheshwa kwenye umati, kudhulumiwa korosho, n.k. Mwaka mmoja nyongo bado nyingi.
 
RIP Rais wetu kipenzi. Kama kuna mkono wa mtu kwenye kifo chako, nao watakufata soon. Tulitamani sana utuongoze kwa maisha yako yote kipenzi chetu. Leo tumekosa kabisa matumaini bila uwepo wako.
Kajichimbie kaburi karibu naye huko Chato ili aendelee kukutawala wewe jimama26
 
Magu aliwabutua kiasi kwamba hamuwezi kumsahau na hiyo mtaenda nayo hadi 2025, 2030 na hata 2035.
Kwa hiyo kuongoza kwa kubutua ndio unavyoona wewe ni sawa? Sasa unakosema wewe kuongoza kwa kubutua ndio watu wanachokataa.
 
Egypt, Sudan, Zimbabwe nk walitawaliwa kibabe na kiongozi mmoja zaidi ya 25yrs, siku moja uoga wa muda mrefu uliisha na watu wakaingia mtaani. Tumeanza na kuhakikisha watu wengi hawajitokezi kupiga kura, ili kuwa na utawala usio na uhalali wa umma.

Kiranga na ww bana ukipanick kwa hoja zako kutokuungwa mkono mpaka unakuwa kama teenager, hiyo walking carcass ni maneno ya kawaida kwenye mijadala. Sasa naona limekuuma ndio umebaki na hilo hilo mjadala mzima. Na hayo maneno ya Zito ni sehemu ya kutema nyongo yake kutokana na utawala wa kihayawani wa Magufuli, na ameeleweka.

Hakuna anayejali waliokuwa upande wa Magufuli, bali watu wanataka walioona Magu sio, watoe support ya kukataa utawala wa kiouvu. Sasa sijui ni wapi huelewi mpaka umepanic kiasi hiki!
Tunatoka dunia mbili tofauti, hivyo hatuwezi kuelewana.

Hiyo nasty narrative unayosema ni kitu cha kawaida inakuwa counterproductive.

Ila sitegemei uelewe, utashangaa unatawaliwa miaka nenda rudi.
 
Nafuu Samia anatupiga bila kututukana kuliko huyu mungu wa Sukuma Gang ambaye alitutukana huku anatupiga vibaya. TAARIFA; Hata Kiranga ukiwa Rais utatupiga tu, huo ndiyo UAFRIKA.

Mpaka sasa hivi hujajijibu kuhusu zile Air conditioner zilikuwa na kazi gani mkutano wa nje, hivyo bado unayemuabudu anabaki kuwa walking carcass
Unafurahia huyu anakudhikiri kwa mafuta, yule mwingine alikuwa hakupaki mafuta 😀😀😀😀
 
Tunatoka dunia mbili tofauti, hivyo hatuwezi kuelewana.

Hiyo nasty narrative unayosema ni kitu cha kawaida inakuwa counterproductive.

Ila sitegemei uelewe, utashangaa unatawaliwa miaka nenda rudi.
Unajipa sana umuhimu lakini huna lolote unalojivunia zaidi ya maneno. Eti unatoka Dunia 2 tofauti, nani alikuambia kuna Dunia 2. Dunia ni moja tu.

Hata kwenye uelewa wewe ni mhanga wa propaganda za Mwendazake wakati sisi tunategemea akili yetu tu.
 
Lakini nyie wepesi wa kusahau, Lowasa alidhihakiwa na viongozi wa CCM alipogombea kuwa wananchi wasichague mgonjwa akafie Ikulu, mmesahau? Nyie mliochagua mzima, mmeona Mungu alivyowajibu? Tena Lissu Kapigwa risasi, watu wakachapa T-shirt zikitaka watu wamwombee: "Pray for Lissu", Magufuli na utawala wake wakatawanya na kukamata yeyote aliyevaa fulana ya kumwombea Lissu, Nadhani uliona Mungu alivyojibu kwa yule aliyekataza watu kumwombea Lissu! Leo mmesahau mliyoyafanya? Kweli mmesahau?
Unaposema "nyie" unamaanisha nani? Unaweza kuhakikisha mimi nimo katika hao unaowaita "nyie"?

Au unanilundika kwa makosa tu na watu ambao sina uhusiano huo unaojitungia tu?
 
Unajipa sana umuhimu lakini huna lolote unalojivunia zaidi ya maneno. Eti unatoka Dunia 2 tofauti, nani alikuambia kuna Dunia 2. Dunia ni moja tu.

Hata kwenye uelewa wewe ni mhanga wa propaganda za Mwendazake wakati sisi tunategemea akili yetu tu.
Mkuu,

Dunia mbili tofauti za kimawazo, mimi nina nuance, wewe huna.

Ndiyo maana nimekuwa namsema vibaya sana Magufuli kabla na baada ya kufa, lakini naweza kuping kumuita "a walking carcass" bila tija.

Wewe huna nuance hiyo. Huo ndio ukweli.

Ndiyo maana umeniona kirahisi tu kwamba mimi ni mtetezi wa Magufuli aliyelishwa propaganda.
 
Mjomba, lugha chafu ilianzishwa na CCM kumtukana Lowasa kuwa wananchi wasichague mgonjwa akafie Ikulu. Haya sasa, wale wazima wamejifia, leo mnang'aka Nini wakati lugha chafu mliiasisi wenyewe?
Kama mnajibu lugha chafu ya CCM, kwa lugha chafu yenu, basi hamna tofauti na hao CCM.

Na kama watu wanatafuta watu mbadala wenye tofauti ili wawaongoze, kwa nini wawachague nyie ambao hamna tofauti na CCM?
 
Mkuu,

Dunia mbili tofauti za kimawazo, mimi nina nuance, wewe huna.

Ndiyo maana nimekuwa namsema vibaya sana Magufuli kabla na baada ya kufa, lakini naweza kuping kumuita "a walking carcass" bila tija.

Wewe huna nuance hiyo. Huo ndio ukweli.

Ndiyo maana umeniona kirahisi tu kwamba mimi ni mtetezi wa Magufuli aliyelishwa propaganda.
Acha kutuzuga !! Nuance gani unayo wewe wakati moja kwa moja umechukua upande!! Hoja kubwa hapa ni kwamba Magufuli aliwatukana Watanzania kwenye majukwaa na yeye alikuwa ndiyo muasisi wa hizi kejeli. Kwa hiyo kuwaambia wanaomkejeli waache siyo sawa kabisa maana nao ndiyo zamu yao. Na kwamba eti hakuna maana kumsema aliyekufa nayo so kweli. Mbona wanapomsifia hatuambiwi usimsifie aliyekufa
 
Tunatoka dunia mbili tofauti, hivyo hatuwezi kuelewana.

Hiyo nasty narrative unayosema ni kitu cha kawaida inakuwa counterproductive.

Ila sitegemei uelewe, utashangaa unatawaliwa miaka nenda rudi.

Mkuu ni kweli kabisa, lakini hakuna nchi ambayo kila raia wa nchi hiyo amewahi kutawala. Labda huko duniani ulipo kila mtu aliwahi kutawala ili asiwe ametawaliwa tu.
 
Acha kutuzuga !! Nuance gani unayo wewe wakati moja kwa moja umechukua upande!! Hoja kubwa hapa ni kwamba Magufuli aliwatukana Watanzania kwenye majukwaa na yeye alikuwa ndiyo muasisi wa hizi kejeli. Kwa hiyo kuwaambia wanaomkejeli waache siyo sawa kabisa maana nao ndiyo zamu yao. Na kwamba eti hakuna maana kumsema aliyekufa nayo so kweli. Mbona wanapomsifia hatuambiwi usimsifie aliyekufa
Kama mnatukana mpaka maiti, hamna tofauti na huyo Magufuli mnayesema alitukana.
 
Mkuu ni kweli kabisa, lakini hakuna nchi ambayo kila raia wa nchi hiyo amewahi kutawala. Labda huko duniani ulipo kila mtu aliwahi kutawala ili asiwe ametawaliwa tu.
Ushawahi kusikia kitu kinaitwa "representative democracy"?
 
Aliwabutua sana!

Mna stress kiasi kwamba mmeshindwa kabisa kumsahau!!

Na hii itawatesa maisha yenu yote!

Kwa streas zenu uchaguzi wa 2025 utakuwa kati ya ccm & wapinzani vs wafuasi wa Magufuli!

Kisha ccm itawatumbukiza shimoni mkafie huko kabisa

Mnasifia uonevu? Yani mtu atumie urais kuumiza wengine halafu anaonekana shujaa. Hakuna mwenye stress, stress ziliisha baada na yeye kuonja mauti aliyodhani wengine ndio wanastahili kuliko yeye.
 
Ila mods, yaani nilijua tu ule uzi utawaudhi! Na aidha mtaufunga au kuunga na uzi mwengine!
Sasa umeungwa na uzi wa Kessy, kibabe yaani😂
 
Wewe, hakuna organized syndicate Wala Nini. Lugha chafu ilianzishwa na CCM kumtukana Lowasa kuwa wananchi wasichague mgonjwa akafie Ikulu, kwamba Lowassa ni maiti inayotembea, wakati huo mlifurahia na kusherehekea, leo Mungu ameshusha rungu, mmesahau lugha zenu za kifedhuli mlizoanzisha? Kwa kweli Mungu ni fundi.
Mtu yeyote mwenye akili anaweza kuelewa nilichoandika na akapata crystal clear message. Kwa ambaye hana akili lazima aandike kama ambacho umekiandika. Sasa sijui upo kwenye kundi la wenye akili ama lah
 
Back
Top Bottom