Ally Sykes na Nyaraka za Harakati za Kupigania Uhuru wa Tanganyika

Kizazi chao walichokiacha sasa wameshindwa kuendeleza jina la Sykes

Ova
Mrangi,
Jina lao bado lipo na Mashaallah wajukuu na vitukuu ni wengi.

Leo mwanangu mmoja kanipigia simu ananiambia mwanafunzi mwenzake China jina lake Thomas kampigia simu kumwambia kuwa kanisikia nikimzungumza babu yake Mkuu Mwalimu Thomas Plantan mtoto wa Chief Mohosh Shangaan wa Kwa Likunyi Inhambane, Mozambique.

Huyu mwanangu alisoma sekondari na Kleist kitukuu cha Kleist Sykes Mbuwane Arusha.

Koo hizi bado zipo lakini huu ni wakati mwingine huwezi kutegemea hawa wajukuu na vitukuu wafanye yale waliyofanya mababu zao karne ya 19.

Wao kilichobakia kwao ni kuburudika kusikia historia za wazee wao walivyopambana na ukoloni.
 
Waislam wameihujumu Africa kuliko hata mafisadi.
Very useless people kuwai kuwepo Africa.
Iweje sasa nchi zenu zote za kibantu na nyingi za kigalatia ndio masikini wakutupwa
Ila nchi za asili ya waarabu za afrika zote zina maendeleo maradufu, na wote walitawaliwa kama nyinyi manyani
 
Mzee wangu alikuwa rafiki sana na hao Sykes
Mzee wangu sahv ana 96yrs
Kuna miaka fulani zamani tulimvisit Sykes ilikuwa Zimbabwe alikuwa na nyumba yake tena ilikuwa kwenye porche area na alikuwa na nyumba UK nk
Tz waliacha miradi mingi ikiwemo Sykes travel&tours
Hizo ndizo zilikuwa za mwanzo mwanzo
Kizazi sasa walichokiacha dah
Natamani ningekuwa na uwezo ningempandishia picha humu mzee said ange enjoy zaidi

Ova
Mrangi,
Nyumba ya Ally Sykes Harare ina historia ya pekee kwani iko jirani na nyumba ya Ian Smith.

Ian Smith hakupenda kuwa jirani na Mwafrika.

Kuna kisa kizuri siku Ally Sykes na Ian Smith walipokutana uso kwa macho.
 
Naifahamu vzr,nishaiona hadi kuingia ndani
Iko ile sehemu iliyopo nyumba yake mm mwenyewe nili blow

Mrangi

Mimi nilikuwa na ufunguo wa appartment ya Bwana Ally Arusha.

Nyumba hii ilikuwa chini maofisi yamepanga na bank moja.

Juu kulikuwa na nyumba mbili moja imefungwa na nyingine walipanga UN.

Hii iliyofungwa mimi nikikaa humo kila nikienda Arusha.

Hakai mtu nyumba hii mwaka mzima lakini ina care taker na mlinzi.

Samani za nyumba nzima zimeagizwa maksusi kutoka Ulaya.

Out of this world.
Humo ndani.

Nilichokusudia mimi ni kingine.

Nimeishi na Bwana Ally kwa miaka mingi naujua uwezo wake na "standards" zake katika kila kitu.

Kuna kisa chake na Ian Smith na Wazungu wanachama wa Harare Club walioshindwa kuvumilia kuona Mwafrika ni member wa club na anawatuma wafanyakazi Wazungu wa Harare Club.
 
Iweje sasa nchi zenu zote za kibantu na nyingi za kigalatia ndio masikini wakutupwa
Ila nchi za asili ya waarabu za afrika zote zina maendeleo maradufu, na wote walitawaliwa kama nyinyi manyani
unajaribu kuprove point gani?.
Kwamba wewe Karim Maduhu uliyeslim kwa kupitia Daawah za akina mazinge unajiona kuwa upo kundi moja na Rangi moja na akina Mo salah?.
ukiondoa waarab waislam,nyie waislam weusi ni fikirio la Pili ikiwa Mtu atafikiria kuishi kwenye zilizoendelea hapa Africa.
 
Mbona nchi za waislamu weusi kama Somalia, mali, Niger, sudan Nigeria ya kaskazini, ni failed state

Swala la umaskini kwa mtu mweusi halina dini wote waislamu na wakristo waafrika ni maskini

Angalia matajiri ni waislamu ila ni wale weupe njoo kwa waislamu weusi wanaishi kwenye umaskini mkubwa
 
Ndo maana nimemwambia Sudan, Somalia, Niger, mali, nigeria ya kaskazini ni nchi za waislamu wengi mbona ni failed state
 
unajaribu kuprove point gani?.
Kwamba wewe Karim Maduhu uliyeslim kwa kupitia Daawah za akina mazinge unajiona kuwa upo kundi moja na Rangi moja na akina Mo salah?.
ukiondoa waarab waislam,nyie waislam weusi ni fikirio la Pili ikiwa Mtu atafikiria kuishi kwenye zilizoendelea hapa Africa.
Nina prove kwamba nyinyi wagalatia wapumbavu ndio mliokuwa mnausherehekea ukoloni
Na baada ya hapo nchi nyingi za kiafrica zmeendelea kuwa masikini na Tanzania mojawapo kwa kuongozwa na vilaza wa kigalatia, kama huyu mnaemwita baba yenu alipewa nchi ina uchumi sawa South Korea, leo kwa upambavu wake wa kuitukuza vatikani tunaomba msaada South Korea.
Mimi mwislamu na mweusi na nina maisha mazuri tokea mababu zangu kuwa katika biashara na nimesoma shule nzuri tu zilizojaa waislamu weupe na weusi na ni za kulipia sio kama nyinyi kukimbilia utumishi na vimishahara vya grade baada ya kumaliza shule za kata, nyinyi sasa ndio uhalisia wa mtu mweusi masikini pamoja na kuwa na elimu

Mbona nchi za waislamu weusi kama Somalia, mali, Niger, sudan Nigeria ya kaskazini, ni failed state

Swala la umaskini kwa mtu mweusi halina dini wote waislamu na wakristo waafrika ni maskini

Angalia matajiri ni waislamu ila ni wale weupe njoo kwa waislamu weusi wanaishi kwenye umaskini mkubwa
Usiingize nchi zilizo katika majanga ya vita
Nyinyi wabongo ni research case moja kubwa sana kwa kuwa na amani miaka yote lakini kwa ujinga wa kuingiza udini mlichaguana wenyewe na yule mpumbavu nyerere mkaitia nchi umasikini wa kutupwa
 
Nina prove kwamba nyinyi wagalatia wapumbavu ndio mliokuwa mnausherehekea ukoloni
Na baada ya hapo nchi nyingi za kiafrica zmeendelea kuwa masikini na Tanzania mojawapo kwa kuongozwa na vilaza wa kigalatia, kama huyu mnaemwita baba yenu alipewa nchi ina uchumi sawa South Korea, leo kwa upambavu wake wa kuitukuza vatikani tunaomba msaada South Korea.
Mimi mwislamu na mweusi na nina maisha mazuri tokea mababu zangu kuwa katika biashara na nimesoma shule nzuri tu zilizojaa waislamu weupe na weusi na ni za kulipia sio kama nyinyi kukimbilia utumishi na vimishahara vya grade baada ya kumaliza shule za kata, nyinyi sasa ndio uhalisia wa mtu mweusi masikini pamoja na kuwa na elimu

Usiingize nchi zilizo katika majanga ya vita
Nyinyi wabongo ni research case moja kubwa sana kwa kuwa na amani miaka yote lakini kwa ujinga wa kuingiza udini mlichaguana wenyewe na yule mpumbavu nyerere mkaitia nchi umasikini wa kutupwa
Hizo nchi majority ni waislamu waafrika
Mbona waislamu wa Tanzania ni maskini pia

Nenda lindi, mtwara, kosarawe, handeni, kondoa maeneo yenye waislamu wengi uone umaskini wa kutisha

Swala sio kuwaattack waislamu hapana na hata wakristo wa Tanzania majority ni maskini

Tokea tumepata uhuru Tanzania imekuwa ña marais watatu waislamu na hata wa sahivi ni muislamu ila lawama unatupia wakristo
 
Hapa ndio unaonyesha unawalenga waislamu
Kwanini uchague nchi za kiisalmu tu?
Kwani hakuna nchi za kigalatia masikini choka mbovu kama congo mbili, guniea kibao na nyingi zaidi za kigalatai
Tuangalie utawala wa mtu mmoja kwa miaka 25 aliepewa nchi yenye uchumi mkubwa afrika mashariki na kati, Tanzania ilikuwa iko juu, Kenya ilikuwa haitupiti.
Kaivuruga na kumuachia jumba bovu Mwinyi halafu hakuacha kiherehere cha kuongeaongea wakati tunajua Mwinyi alitutoa kwenye umasikini wa kutupwa wa kuvaa viraka na kual ugali wa yanga

Na kama tukuangalia umasikini mwingi uko wapi zaidi, tunaenda tafiti na data
Kuna mikoa mingapi ya wakristu ukilinganisha na mikoa uliotaja

1782493829976.png
 
View attachment 3611222
View attachment 3611221

Nimeiona picha ambayo nilipiga na Ally Sykes Muthaiga Club Nairobi mwaka wa 1989.
Miaka 37 imepita.

Ally Sykes amefariki miaka 13 iliyopita.
Bwana Ally alikuwa rafiki yangu na baba yangu lakini pia alikuwa mwalimu wangu yote kwa pamoja.

Hii picha nilipiga na camera ya bei rahisi sana mfano wa toy niliyonunua Alexandria mwaka wa 1988.
Picha hii ya 1989 nitaiweka hapa na picha hiyo hiyo baada ya matengenezo ya kisasa.

Pamoja na hayo napenda kuweka niliyoandika katika utangulizi wa kitabu cha Abdul Sykes kama shukurani zangu kwa Ally Sykes katika kunipa nyaraka zake zilizonisaidia kuandika kitabu kueleza historia ya TANU katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Kazi hii isingewezekana kama isingekuwa kwa msaada wa hali na mali nilioupata toka kwa Ally Sykes.

Ally Sykes alinipa wasaa wa kuzungumzanae kila nilipotaka, akanieleza madhila ya ukoloni pamoja na kuwa ni mtu wa shughuli nyingi.

Yeye hivi sasa anaendesha biashara yake toka ofisi yake iliyoko katikakati ya mji wa Dar es Salaam.

Aliniruhusu nisome majalada yake binafsi, barua zake, shajara na kumbukumbu nyinginezo za ukoo wa Sykes.

Ally Sykes alinifahamisha kuwa kumbukumbu hizi zilikuwa ndani ya sefu ambayo haikupatwa kufunguliwa kwa zaidi ya miaka therathini.

Nikiyapitia majalada yake nilishangazwa na utaratibu wa Ally Sykes wa kupanga kila kitu na kila kipande cha habari mahali pake hata kingekuwa kidogo namna gani.

Nikiyapitia majalada yake nilishangazwa na utaratibu wa Ally Sykes wa kupanga kila kitu na kila kipande cha habari mahali pake hata kingekuwa kidogo namna gani wakati ule wa harakati.

Ally Sykes ana barua ya mwaka 1954 iliyoandikwa kwa penseli toka kwa Zuberi Mtemvu kwenda kwake akimtaarifu juu ya mazungumzo aliyokuwanayo (Mtemvu) na Julius Nyerere kuhusu yeye na TANU; stakabadhi ya hundi ya posta toka kwa Ally Sykes kwenda kwa Japhet Kirilo wakati wa Mgogoro wa Ardhi ya Wameru; nakala ya barua isiyokuwa na tarehe kutoka TAA kwenda kwa Malkia Elizabeth iliyotiwa saini na viongozi wote wa TAA:

Rais Julius Nyerere, Makamu wa Rais Abdulwahid Sykes, Katibu Mkuu Dome Okochi Budohi, Naibu Katibu Dossa Aziz, Mweka Hazina John Rupia, Naibu Mweka Hazina Ally Sykes ikimpongeza Malkia kwa kutawazwa; barua ya mwaka 1952 toka kwa Rashid Mfaume Kawawa kutoka Bukoba kwenda kwa Ally Sykes ikimfahamisha juu ya hali ya siasa katika Kanda ya Ziwa; barua ya mwaka 1963 toka kwa Lady Judith Listowel, Kenneth Kaunda, Julius Nyerere, Kasela Bantu, Chifu Thomas Marealle ...orodha haina mwisho.

Baadaye nilipofanya utafiti kuhusu maisha ya baba yake, Kleist Sykes, nilikuja kufahamu kwamba tabia hii ilirithiwa kutoka kwa baba yake ambae alikuwa akiweka ndani ya jalada kila kipande cha karatasi kilichokuwa na habari iliyostahili kukumbukwa.

View attachment 3611224
Mzee Mohamed kwa nini Mzee Ally Sykes (Rip) hakuendelea na harakati za Kisiasa baada ya Uhuru?..
 
Waislam walishiriki kupigania uhuru kwasababu mkoroni alikuwa ni Kafir.kama Mkoroni angelikuwa ni mtu wa Dini ya Haki “Wallah”(mimi nina-practice taweed,ninaa amini katika Mungu mmoja) waislam wasingelishiriki kupigajia Uhuru.
Abdul sky aloyesapot kuondolewa mkolon Mzungu huyo huyo alighafirika kusikia mapinduzi ya zanzibar.
Abdul Sykes na Tanu walikuwa na Urafiki sana na ASP na kiwango Fulani walisaidia mapinduzi yale.
 
Mrangi,
Nyumba ya Ally Sykes Harare ina historia ya pekee kwani iko jirani na nyumba ya Ian Smith.

Ian Smith hakupenda kuwa jirani na Mwafrika.

Kuna kisa kizuri siku Ally Sykes na Ian Smith walipokutana uso kwa macho.
Hichi kisa naomba ukipata nafasi tujuze tupate hii historia muhimu.
 
View attachment 3611222
View attachment 3611221

Nimeiona picha ambayo nilipiga na Ally Sykes Muthaiga Club Nairobi mwaka wa 1989.
Miaka 37 imepita.

Ally Sykes amefariki miaka 13 iliyopita.
Bwana Ally alikuwa rafiki yangu na baba yangu lakini pia alikuwa mwalimu wangu yote kwa pamoja.

Hii picha nilipiga na camera ya bei rahisi sana mfano wa toy niliyonunua Alexandria mwaka wa 1988.
Picha hii ya 1989 nitaiweka hapa na picha hiyo hiyo baada ya matengenezo ya kisasa.

Pamoja na hayo napenda kuweka niliyoandika katika utangulizi wa kitabu cha Abdul Sykes kama shukurani zangu kwa Ally Sykes katika kunipa nyaraka zake zilizonisaidia kuandika kitabu kueleza historia ya TANU katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Kazi hii isingewezekana kama isingekuwa kwa msaada wa hali na mali nilioupata toka kwa Ally Sykes.

Ally Sykes alinipa wasaa wa kuzungumzanae kila nilipotaka, akanieleza madhila ya ukoloni pamoja na kuwa ni mtu wa shughuli nyingi.

Yeye hivi sasa anaendesha biashara yake toka ofisi yake iliyoko katikakati ya mji wa Dar es Salaam.

Aliniruhusu nisome majalada yake binafsi, barua zake, shajara na kumbukumbu nyinginezo za ukoo wa Sykes.

Ally Sykes alinifahamisha kuwa kumbukumbu hizi zilikuwa ndani ya sefu ambayo haikupatwa kufunguliwa kwa zaidi ya miaka therathini.

Nikiyapitia majalada yake nilishangazwa na utaratibu wa Ally Sykes wa kupanga kila kitu na kila kipande cha habari mahali pake hata kingekuwa kidogo namna gani.

Kazi hii isingewezekana kama isingekuwa kwa msaada wa hali na mali nilioupata toka kwa Ally Sykes.

Ally Sykes alinipa wasaa wa kuzungumzanae kila nilipotaka, akanieleza madhila ya ukoloni pamoja na kuwa ni mtu wa shughuli nyingi.

Yeye hivi sasa anaendesha biashara yake toka ofisi yake iliyoko katikakati ya mji wa Dar es Salaam.

Aliniruhusu nisome majalada yake binafsi, barua zake, shajara na kumbukumbu nyinginezo za ukoo wa Sykes.

Ally Sykes alinifahamisha kuwa kumbukumbu hizi zilikuwa ndani ya sefu ambayo haikupatwa kufunguliwa kwa zaidi ya miaka therathini.

Nikiyapitia majalada yake nilishangazwa na utaratibu wa Ally Sykes wa kupanga kila kitu na kila kipande cha habari mahali pake hata kingekuwa kidogo namna gani wakati ule wa harakati.

Ally Sykes ana barua ya mwaka 1954 iliyoandikwa kwa penseli toka kwa Zuberi Mtemvu kwenda kwake akimtaarifu juu ya mazungumzo aliyokuwanayo (Mtemvu) na Julius Nyerere kuhusu yeye na TANU; stakabadhi ya hundi ya posta toka kwa Ally Sykes kwenda kwa Japhet Kirilo wakati wa Mgogoro wa Ardhi ya Wameru; nakala ya barua isiyokuwa na tarehe kutoka TAA kwenda kwa Malkia Elizabeth iliyotiwa saini na viongozi wote wa TAA:

Rais Julius Nyerere, Makamu wa Rais Abdulwahid Sykes, Katibu Mkuu Dome Okochi Budohi, Naibu Katibu Dossa Aziz, Mweka Hazina John Rupia, Naibu Mweka Hazina Ally Sykes ikimpongeza Malkia kwa kutawazwa; barua ya mwaka 1952 toka kwa Rashid Mfaume Kawawa kutoka Bukoba kwenda kwa Ally Sykes ikimfahamisha juu ya hali ya siasa katika Kanda ya Ziwa; barua ya mwaka 1963 toka kwa Lady Judith Listowel, Kenneth Kaunda, Julius Nyerere, Kasela Bantu, Chifu Thomas Marealle ...orodha haina mwisho.

Baadaye nilipofanya utafiti kuhusu maisha ya baba yake, Kleist Sykes, nilikuja kufahamu kwamba tabia hii ilirithiwa kutoka kwa baba yake ambae alikuwa akiweka ndani ya jalada kila kipande cha karatasi kilichokuwa na habari iliyostahili kukumbukwa.

View attachment 3611224
Mzee, relax .

Uhuru gani nchi iko mikononi mwa Rostam na TIPWA TIPWA la Zimbabwe.

Onesha mapambano sasa tuone matokeo
 
Waislam walishiriki kupigania uhuru kwasababu mkoroni alikuwa ni Kafir.kama Mkoroni angelikuwa ni mtu wa Dini ya Haki “Wallah”(mimi nina-practice taweed,ninaa amini katika Mungu mmoja) waislam wasingelishiriki kupigajia Uhuru.
Abdul sky aloyesapot kuondolewa mkolon Mzungu huyo huyo alighafirika kusikia mapinduzi ya zanzibar.
Inafikirisha
 
View attachment 3611222
View attachment 3611221

Nimeiona picha ambayo nilipiga na Ally Sykes Muthaiga Club Nairobi mwaka wa 1989.
Miaka 37 imepita.

Ally Sykes amefariki miaka 13 iliyopita.
Bwana Ally alikuwa rafiki yangu na baba yangu lakini pia alikuwa mwalimu wangu yote kwa pamoja.

Hii picha nilipiga na camera ya bei rahisi sana mfano wa toy niliyonunua Alexandria mwaka wa 1988.
Picha hii ya 1989 nitaiweka hapa na picha hiyo hiyo baada ya matengenezo ya kisasa.

Pamoja na hayo napenda kuweka niliyoandika katika utangulizi wa kitabu cha Abdul Sykes kama shukurani zangu kwa Ally Sykes katika kunipa nyaraka zake zilizonisaidia kuandika kitabu kueleza historia ya TANU katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Kazi hii isingewezekana kama isingekuwa kwa msaada wa hali na mali nilioupata toka kwa Ally Sykes.

Ally Sykes alinipa wasaa wa kuzungumzanae kila nilipotaka, akanieleza madhila ya ukoloni pamoja na kuwa ni mtu wa shughuli nyingi.

Yeye hivi sasa anaendesha biashara yake toka ofisi yake iliyoko katikakati ya mji wa Dar es Salaam.

Aliniruhusu nisome majalada yake binafsi, barua zake, shajara na kumbukumbu nyinginezo za ukoo wa Sykes.

Ally Sykes alinifahamisha kuwa kumbukumbu hizi zilikuwa ndani ya sefu ambayo haikupatwa kufunguliwa kwa zaidi ya miaka therathini.

Nikiyapitia majalada yake nilishangazwa na utaratibu wa Ally Sykes wa kupanga kila kitu na kila kipande cha habari mahali pake hata kingekuwa kidogo namna gani.

Kazi hii isingewezekana kama isingekuwa kwa msaada wa hali na mali nilioupata toka kwa Ally Sykes.

Ally Sykes alinipa wasaa wa kuzungumzanae kila nilipotaka, akanieleza madhila ya ukoloni pamoja na kuwa ni mtu wa shughuli nyingi.

Yeye hivi sasa anaendesha biashara yake toka ofisi yake iliyoko katikakati ya mji wa Dar es Salaam.

Aliniruhusu nisome majalada yake binafsi, barua zake, shajara na kumbukumbu nyinginezo za ukoo wa Sykes.

Ally Sykes alinifahamisha kuwa kumbukumbu hizi zilikuwa ndani ya sefu ambayo haikupatwa kufunguliwa kwa zaidi ya miaka therathini.

Nikiyapitia majalada yake nilishangazwa na utaratibu wa Ally Sykes wa kupanga kila kitu na kila kipande cha habari mahali pake hata kingekuwa kidogo namna gani wakati ule wa harakati.

Ally Sykes ana barua ya mwaka 1954 iliyoandikwa kwa penseli toka kwa Zuberi Mtemvu kwenda kwake akimtaarifu juu ya mazungumzo aliyokuwanayo (Mtemvu) na Julius Nyerere kuhusu yeye na TANU; stakabadhi ya hundi ya posta toka kwa Ally Sykes kwenda kwa Japhet Kirilo wakati wa Mgogoro wa Ardhi ya Wameru; nakala ya barua isiyokuwa na tarehe kutoka TAA kwenda kwa Malkia Elizabeth iliyotiwa saini na viongozi wote wa TAA:

Rais Julius Nyerere, Makamu wa Rais Abdulwahid Sykes, Katibu Mkuu Dome Okochi Budohi, Naibu Katibu Dossa Aziz, Mweka Hazina John Rupia, Naibu Mweka Hazina Ally Sykes ikimpongeza Malkia kwa kutawazwa; barua ya mwaka 1952 toka kwa Rashid Mfaume Kawawa kutoka Bukoba kwenda kwa Ally Sykes ikimfahamisha juu ya hali ya siasa katika Kanda ya Ziwa; barua ya mwaka 1963 toka kwa Lady Judith Listowel, Kenneth Kaunda, Julius Nyerere, Kasela Bantu, Chifu Thomas Marealle ...orodha haina mwisho.

Baadaye nilipofanya utafiti kuhusu maisha ya baba yake, Kleist Sykes, nilikuja kufahamu kwamba tabia hii ilirithiwa kutoka kwa baba yake ambae alikuwa akiweka ndani ya jalada kila kipande cha karatasi kilichokuwa na habari iliyostahili kukumbukwa.

View attachment 3611224
Hongera Sana una Historia nzito
 
Kuna mzee mmoja mtaani aliwahi kinipa story ya hawa Sykes brothers. Namnukuu: Ujue wale vijana walipambana sana na ndio waliomtumia Mwalimu(Nyerere) maana wao hawakuwa wazungumzaji wazuri, ila, walitaka nchi ikishapata uhuru iwe ya kiislam, ndipo Mwalimu akawakataa dakika za mwisho; mwisho wa kunukuu...
HOja yako inafanana na ukweli
 
Back
Top Bottom