REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,707
- 11,777
Kununua nyumba hatukatai wala kupinga ila vile vionjo vya stories eti wakashangaa🤣🙆♂😂Real,
Nyumba ile ilinunuliwa na A.K. Sykes kutoka benki iliyoko London.
Hawakuhangaika wakajua huyu ni Mzungu.
Nyumba ipo mpaka leo.
Sina sababu ya kusema uongo.
Sisi ni watu wazima na huwezi tupanga kihivyo mzee wetu. Sisi tunaishi nje na tumeishi sana sio kutembea ni maisha yetu.
Affluent neighborhoods zote za wazungu hasa maracist, kupanga tu ni mbinde talkless ya kununua nyumba kwenye hoods za viongozi bila wana usalama kukutambua.🚮