Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,526
- 34,057
- Thread starter
-
- #21
Mrangi,Kizazi chao walichokiacha sasa wameshindwa kuendeleza jina la Sykes
Ova
Iweje sasa nchi zenu zote za kibantu na nyingi za kigalatia ndio masikini wakutupwaWaislam wameihujumu Africa kuliko hata mafisadi.
Very useless people kuwai kuwepo Africa.
Mrangi,Mzee wangu alikuwa rafiki sana na hao Sykes
Mzee wangu sahv ana 96yrs
Kuna miaka fulani zamani tulimvisit Sykes ilikuwa Zimbabwe alikuwa na nyumba yake tena ilikuwa kwenye porche area na alikuwa na nyumba UK nk
Tz waliacha miradi mingi ikiwemo Sykes travel&tours
Hizo ndizo zilikuwa za mwanzo mwanzo
Kizazi sasa walichokiacha dah
Natamani ningekuwa na uwezo ningempandishia picha humu mzee said ange enjoy zaidi

Naifahamu vzr,nishaiona hadi kuingia ndaniMrangi,
Nyumba ya Ally Sykes Harare ina historia ya pekee kwani iko jirani na nyumba ya Ian Smith.
Ian Smith hakupenda kuwa jirani na Mwafrika.
Kuna kisa kizuri siku Ally Sykes na Ian Smith walipokutana uso kwa macho.
MrangiNaifahamu vzr,nishaiona hadi kuingia ndani
Iko ile sehemu iliyopo nyumba yake mm mwenyewe nili blow
Ova
Mrangi,Naifahamu vzr,nishaiona hadi kuingia ndani
Iko ile sehemu iliyopo nyumba yake mm mwenyewe nili blow
Ova
unajaribu kuprove point gani?.Iweje sasa nchi zenu zote za kibantu na nyingi za kigalatia ndio masikini wakutupwa
Ila nchi za asili ya waarabu za afrika zote zina maendeleo maradufu, na wote walitawaliwa kama nyinyi manyani
Mbona nchi za waislamu weusi kama Somalia, mali, Niger, sudan Nigeria ya kaskazini, ni failed stateIweje sasa nchi zenu zote za kibantu na nyingi za kigalatia ndio masikini wakutupwa
Ila nchi za asili ya waarabu za afrika zote zina maendeleo maradufu, na wote walitawaliwa kama nyinyi manyani
Ndo maana nimemwambia Sudan, Somalia, Niger, mali, nigeria ya kaskazini ni nchi za waislamu wengi mbona ni failed stateunajaribu kuprove point gani?.
Kwamba wewe Karim Maduhu uliyeslim kwa kupitia Daawah za akina mazinge unajiona kuwa upo kundi moja na Rangi moja na akina Mo salah?.
ukiondoa waarab waislam,nyie waislam weusi ni fikirio la Pili ikiwa Mtu atafikiria kuishi kwenye zilizoendelea hapa Africa.
Nina prove kwamba nyinyi wagalatia wapumbavu ndio mliokuwa mnausherehekea ukoloniunajaribu kuprove point gani?.
Kwamba wewe Karim Maduhu uliyeslim kwa kupitia Daawah za akina mazinge unajiona kuwa upo kundi moja na Rangi moja na akina Mo salah?.
ukiondoa waarab waislam,nyie waislam weusi ni fikirio la Pili ikiwa Mtu atafikiria kuishi kwenye zilizoendelea hapa Africa.
Usiingize nchi zilizo katika majanga ya vitaMbona nchi za waislamu weusi kama Somalia, mali, Niger, sudan Nigeria ya kaskazini, ni failed state
Swala la umaskini kwa mtu mweusi halina dini wote waislamu na wakristo waafrika ni maskini
Angalia matajiri ni waislamu ila ni wale weupe njoo kwa waislamu weusi wanaishi kwenye umaskini mkubwa
Hizo nchi majority ni waislamu waafrikaNina prove kwamba nyinyi wagalatia wapumbavu ndio mliokuwa mnausherehekea ukoloni
Na baada ya hapo nchi nyingi za kiafrica zmeendelea kuwa masikini na Tanzania mojawapo kwa kuongozwa na vilaza wa kigalatia, kama huyu mnaemwita baba yenu alipewa nchi ina uchumi sawa South Korea, leo kwa upambavu wake wa kuitukuza vatikani tunaomba msaada South Korea.
Mimi mwislamu na mweusi na nina maisha mazuri tokea mababu zangu kuwa katika biashara na nimesoma shule nzuri tu zilizojaa waislamu weupe na weusi na ni za kulipia sio kama nyinyi kukimbilia utumishi na vimishahara vya grade baada ya kumaliza shule za kata, nyinyi sasa ndio uhalisia wa mtu mweusi masikini pamoja na kuwa na elimu
Usiingize nchi zilizo katika majanga ya vita
Nyinyi wabongo ni research case moja kubwa sana kwa kuwa na amani miaka yote lakini kwa ujinga wa kuingiza udini mlichaguana wenyewe na yule mpumbavu nyerere mkaitia nchi umasikini wa kutupwa
Hapa ndio unaonyesha unawalenga waislamuHizo nchi majority ni waislamu waafrika
Mbona waislamu wa Tanzania ni maskini pia
Nenda lindi, mtwara, kosarawe, handeni, kondoa maeneo yenye waislamu wengi uone umaskini wa kutisha
Swala sio kuwaattack waislamu hapana na hata wakristo wa Tanzania majority ni maskini
Tokea tumepata uhuru Tanzania imekuwa ña marais watatu waislamu na hata wa sahivi ni muislamu ila lawama unatupia wakristo
Mzee Mohamed kwa nini Mzee Ally Sykes (Rip) hakuendelea na harakati za Kisiasa baada ya Uhuru?..View attachment 3611222
View attachment 3611221
Nimeiona picha ambayo nilipiga na Ally Sykes Muthaiga Club Nairobi mwaka wa 1989.
Miaka 37 imepita.
Ally Sykes amefariki miaka 13 iliyopita.
Bwana Ally alikuwa rafiki yangu na baba yangu lakini pia alikuwa mwalimu wangu yote kwa pamoja.
Hii picha nilipiga na camera ya bei rahisi sana mfano wa toy niliyonunua Alexandria mwaka wa 1988.
Picha hii ya 1989 nitaiweka hapa na picha hiyo hiyo baada ya matengenezo ya kisasa.
Pamoja na hayo napenda kuweka niliyoandika katika utangulizi wa kitabu cha Abdul Sykes kama shukurani zangu kwa Ally Sykes katika kunipa nyaraka zake zilizonisaidia kuandika kitabu kueleza historia ya TANU katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Kazi hii isingewezekana kama isingekuwa kwa msaada wa hali na mali nilioupata toka kwa Ally Sykes.
Ally Sykes alinipa wasaa wa kuzungumzanae kila nilipotaka, akanieleza madhila ya ukoloni pamoja na kuwa ni mtu wa shughuli nyingi.
Yeye hivi sasa anaendesha biashara yake toka ofisi yake iliyoko katikakati ya mji wa Dar es Salaam.
Aliniruhusu nisome majalada yake binafsi, barua zake, shajara na kumbukumbu nyinginezo za ukoo wa Sykes.
Ally Sykes alinifahamisha kuwa kumbukumbu hizi zilikuwa ndani ya sefu ambayo haikupatwa kufunguliwa kwa zaidi ya miaka therathini.
Nikiyapitia majalada yake nilishangazwa na utaratibu wa Ally Sykes wa kupanga kila kitu na kila kipande cha habari mahali pake hata kingekuwa kidogo namna gani.

Nikiyapitia majalada yake nilishangazwa na utaratibu wa Ally Sykes wa kupanga kila kitu na kila kipande cha habari mahali pake hata kingekuwa kidogo namna gani wakati ule wa harakati.
Ally Sykes ana barua ya mwaka 1954 iliyoandikwa kwa penseli toka kwa Zuberi Mtemvu kwenda kwake akimtaarifu juu ya mazungumzo aliyokuwanayo (Mtemvu) na Julius Nyerere kuhusu yeye na TANU; stakabadhi ya hundi ya posta toka kwa Ally Sykes kwenda kwa Japhet Kirilo wakati wa Mgogoro wa Ardhi ya Wameru; nakala ya barua isiyokuwa na tarehe kutoka TAA kwenda kwa Malkia Elizabeth iliyotiwa saini na viongozi wote wa TAA:
Rais Julius Nyerere, Makamu wa Rais Abdulwahid Sykes, Katibu Mkuu Dome Okochi Budohi, Naibu Katibu Dossa Aziz, Mweka Hazina John Rupia, Naibu Mweka Hazina Ally Sykes ikimpongeza Malkia kwa kutawazwa; barua ya mwaka 1952 toka kwa Rashid Mfaume Kawawa kutoka Bukoba kwenda kwa Ally Sykes ikimfahamisha juu ya hali ya siasa katika Kanda ya Ziwa; barua ya mwaka 1963 toka kwa Lady Judith Listowel, Kenneth Kaunda, Julius Nyerere, Kasela Bantu, Chifu Thomas Marealle ...orodha haina mwisho.
Baadaye nilipofanya utafiti kuhusu maisha ya baba yake, Kleist Sykes, nilikuja kufahamu kwamba tabia hii ilirithiwa kutoka kwa baba yake ambae alikuwa akiweka ndani ya jalada kila kipande cha karatasi kilichokuwa na habari iliyostahili kukumbukwa.
View attachment 3611224
Abdul Sykes na Tanu walikuwa na Urafiki sana na ASP na kiwango Fulani walisaidia mapinduzi yale.Waislam walishiriki kupigania uhuru kwasababu mkoroni alikuwa ni Kafir.kama Mkoroni angelikuwa ni mtu wa Dini ya Haki “Wallah”(mimi nina-practice taweed,ninaa amini katika Mungu mmoja) waislam wasingelishiriki kupigajia Uhuru.
Abdul sky aloyesapot kuondolewa mkolon Mzungu huyo huyo alighafirika kusikia mapinduzi ya zanzibar.
Hichi kisa naomba ukipata nafasi tujuze tupate hii historia muhimu.Mrangi,
Nyumba ya Ally Sykes Harare ina historia ya pekee kwani iko jirani na nyumba ya Ian Smith.
Ian Smith hakupenda kuwa jirani na Mwafrika.
Kuna kisa kizuri siku Ally Sykes na Ian Smith walipokutana uso kwa macho.
Mzee, relax .View attachment 3611222
View attachment 3611221
Nimeiona picha ambayo nilipiga na Ally Sykes Muthaiga Club Nairobi mwaka wa 1989.
Miaka 37 imepita.
Ally Sykes amefariki miaka 13 iliyopita.
Bwana Ally alikuwa rafiki yangu na baba yangu lakini pia alikuwa mwalimu wangu yote kwa pamoja.
Hii picha nilipiga na camera ya bei rahisi sana mfano wa toy niliyonunua Alexandria mwaka wa 1988.
Picha hii ya 1989 nitaiweka hapa na picha hiyo hiyo baada ya matengenezo ya kisasa.
Pamoja na hayo napenda kuweka niliyoandika katika utangulizi wa kitabu cha Abdul Sykes kama shukurani zangu kwa Ally Sykes katika kunipa nyaraka zake zilizonisaidia kuandika kitabu kueleza historia ya TANU katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Kazi hii isingewezekana kama isingekuwa kwa msaada wa hali na mali nilioupata toka kwa Ally Sykes.
Ally Sykes alinipa wasaa wa kuzungumzanae kila nilipotaka, akanieleza madhila ya ukoloni pamoja na kuwa ni mtu wa shughuli nyingi.
Yeye hivi sasa anaendesha biashara yake toka ofisi yake iliyoko katikakati ya mji wa Dar es Salaam.
Aliniruhusu nisome majalada yake binafsi, barua zake, shajara na kumbukumbu nyinginezo za ukoo wa Sykes.
Ally Sykes alinifahamisha kuwa kumbukumbu hizi zilikuwa ndani ya sefu ambayo haikupatwa kufunguliwa kwa zaidi ya miaka therathini.
Nikiyapitia majalada yake nilishangazwa na utaratibu wa Ally Sykes wa kupanga kila kitu na kila kipande cha habari mahali pake hata kingekuwa kidogo namna gani.
Kazi hii isingewezekana kama isingekuwa kwa msaada wa hali na mali nilioupata toka kwa Ally Sykes.
Ally Sykes alinipa wasaa wa kuzungumzanae kila nilipotaka, akanieleza madhila ya ukoloni pamoja na kuwa ni mtu wa shughuli nyingi.
Yeye hivi sasa anaendesha biashara yake toka ofisi yake iliyoko katikakati ya mji wa Dar es Salaam.
Aliniruhusu nisome majalada yake binafsi, barua zake, shajara na kumbukumbu nyinginezo za ukoo wa Sykes.
Ally Sykes alinifahamisha kuwa kumbukumbu hizi zilikuwa ndani ya sefu ambayo haikupatwa kufunguliwa kwa zaidi ya miaka therathini.
Nikiyapitia majalada yake nilishangazwa na utaratibu wa Ally Sykes wa kupanga kila kitu na kila kipande cha habari mahali pake hata kingekuwa kidogo namna gani wakati ule wa harakati.
Ally Sykes ana barua ya mwaka 1954 iliyoandikwa kwa penseli toka kwa Zuberi Mtemvu kwenda kwake akimtaarifu juu ya mazungumzo aliyokuwanayo (Mtemvu) na Julius Nyerere kuhusu yeye na TANU; stakabadhi ya hundi ya posta toka kwa Ally Sykes kwenda kwa Japhet Kirilo wakati wa Mgogoro wa Ardhi ya Wameru; nakala ya barua isiyokuwa na tarehe kutoka TAA kwenda kwa Malkia Elizabeth iliyotiwa saini na viongozi wote wa TAA:
Rais Julius Nyerere, Makamu wa Rais Abdulwahid Sykes, Katibu Mkuu Dome Okochi Budohi, Naibu Katibu Dossa Aziz, Mweka Hazina John Rupia, Naibu Mweka Hazina Ally Sykes ikimpongeza Malkia kwa kutawazwa; barua ya mwaka 1952 toka kwa Rashid Mfaume Kawawa kutoka Bukoba kwenda kwa Ally Sykes ikimfahamisha juu ya hali ya siasa katika Kanda ya Ziwa; barua ya mwaka 1963 toka kwa Lady Judith Listowel, Kenneth Kaunda, Julius Nyerere, Kasela Bantu, Chifu Thomas Marealle ...orodha haina mwisho.
Baadaye nilipofanya utafiti kuhusu maisha ya baba yake, Kleist Sykes, nilikuja kufahamu kwamba tabia hii ilirithiwa kutoka kwa baba yake ambae alikuwa akiweka ndani ya jalada kila kipande cha karatasi kilichokuwa na habari iliyostahili kukumbukwa.
View attachment 3611224
InafikirishaWaislam walishiriki kupigania uhuru kwasababu mkoroni alikuwa ni Kafir.kama Mkoroni angelikuwa ni mtu wa Dini ya Haki “Wallah”(mimi nina-practice taweed,ninaa amini katika Mungu mmoja) waislam wasingelishiriki kupigajia Uhuru.
Abdul sky aloyesapot kuondolewa mkolon Mzungu huyo huyo alighafirika kusikia mapinduzi ya zanzibar.
Hongera Sana una Historia nzitoView attachment 3611222
View attachment 3611221
Nimeiona picha ambayo nilipiga na Ally Sykes Muthaiga Club Nairobi mwaka wa 1989.
Miaka 37 imepita.
Ally Sykes amefariki miaka 13 iliyopita.
Bwana Ally alikuwa rafiki yangu na baba yangu lakini pia alikuwa mwalimu wangu yote kwa pamoja.
Hii picha nilipiga na camera ya bei rahisi sana mfano wa toy niliyonunua Alexandria mwaka wa 1988.
Picha hii ya 1989 nitaiweka hapa na picha hiyo hiyo baada ya matengenezo ya kisasa.
Pamoja na hayo napenda kuweka niliyoandika katika utangulizi wa kitabu cha Abdul Sykes kama shukurani zangu kwa Ally Sykes katika kunipa nyaraka zake zilizonisaidia kuandika kitabu kueleza historia ya TANU katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Kazi hii isingewezekana kama isingekuwa kwa msaada wa hali na mali nilioupata toka kwa Ally Sykes.
Ally Sykes alinipa wasaa wa kuzungumzanae kila nilipotaka, akanieleza madhila ya ukoloni pamoja na kuwa ni mtu wa shughuli nyingi.
Yeye hivi sasa anaendesha biashara yake toka ofisi yake iliyoko katikakati ya mji wa Dar es Salaam.
Aliniruhusu nisome majalada yake binafsi, barua zake, shajara na kumbukumbu nyinginezo za ukoo wa Sykes.
Ally Sykes alinifahamisha kuwa kumbukumbu hizi zilikuwa ndani ya sefu ambayo haikupatwa kufunguliwa kwa zaidi ya miaka therathini.
Nikiyapitia majalada yake nilishangazwa na utaratibu wa Ally Sykes wa kupanga kila kitu na kila kipande cha habari mahali pake hata kingekuwa kidogo namna gani.
Kazi hii isingewezekana kama isingekuwa kwa msaada wa hali na mali nilioupata toka kwa Ally Sykes.
Ally Sykes alinipa wasaa wa kuzungumzanae kila nilipotaka, akanieleza madhila ya ukoloni pamoja na kuwa ni mtu wa shughuli nyingi.
Yeye hivi sasa anaendesha biashara yake toka ofisi yake iliyoko katikakati ya mji wa Dar es Salaam.
Aliniruhusu nisome majalada yake binafsi, barua zake, shajara na kumbukumbu nyinginezo za ukoo wa Sykes.
Ally Sykes alinifahamisha kuwa kumbukumbu hizi zilikuwa ndani ya sefu ambayo haikupatwa kufunguliwa kwa zaidi ya miaka therathini.
Nikiyapitia majalada yake nilishangazwa na utaratibu wa Ally Sykes wa kupanga kila kitu na kila kipande cha habari mahali pake hata kingekuwa kidogo namna gani wakati ule wa harakati.
Ally Sykes ana barua ya mwaka 1954 iliyoandikwa kwa penseli toka kwa Zuberi Mtemvu kwenda kwake akimtaarifu juu ya mazungumzo aliyokuwanayo (Mtemvu) na Julius Nyerere kuhusu yeye na TANU; stakabadhi ya hundi ya posta toka kwa Ally Sykes kwenda kwa Japhet Kirilo wakati wa Mgogoro wa Ardhi ya Wameru; nakala ya barua isiyokuwa na tarehe kutoka TAA kwenda kwa Malkia Elizabeth iliyotiwa saini na viongozi wote wa TAA:
Rais Julius Nyerere, Makamu wa Rais Abdulwahid Sykes, Katibu Mkuu Dome Okochi Budohi, Naibu Katibu Dossa Aziz, Mweka Hazina John Rupia, Naibu Mweka Hazina Ally Sykes ikimpongeza Malkia kwa kutawazwa; barua ya mwaka 1952 toka kwa Rashid Mfaume Kawawa kutoka Bukoba kwenda kwa Ally Sykes ikimfahamisha juu ya hali ya siasa katika Kanda ya Ziwa; barua ya mwaka 1963 toka kwa Lady Judith Listowel, Kenneth Kaunda, Julius Nyerere, Kasela Bantu, Chifu Thomas Marealle ...orodha haina mwisho.
Baadaye nilipofanya utafiti kuhusu maisha ya baba yake, Kleist Sykes, nilikuja kufahamu kwamba tabia hii ilirithiwa kutoka kwa baba yake ambae alikuwa akiweka ndani ya jalada kila kipande cha karatasi kilichokuwa na habari iliyostahili kukumbukwa.
View attachment 3611224
Hahaha we jamaaMzee, relax .
Uhuru gani nchi iko mikononi mwa Rostam na TIPWA TIPWA la Zimbabwe.
Onesha mapambano sasa tuone matokeo
HOja yako inafanana na ukweliKuna mzee mmoja mtaani aliwahi kinipa story ya hawa Sykes brothers. Namnukuu: Ujue wale vijana walipambana sana na ndio waliomtumia Mwalimu(Nyerere) maana wao hawakuwa wazungumzaji wazuri, ila, walitaka nchi ikishapata uhuru iwe ya kiislam, ndipo Mwalimu akawakataa dakika za mwisho; mwisho wa kunukuu...