Mzee,Satan,
Hilo si kweli.
Hakuna Muislamu aliyekuwa na fikra hizo.
Nakuwekea hapa kisa cha Sheikh Suleiman Takadir:
View: https://youtu.be/AMv5l5gvKAY?si=SW__wpzKrLbN4RNE
Rais wa sasa mwislamu kwanini asibadilishe hicho unachokilalamikiaHapa ndio unaonyesha unawalenga waislamu
Kwanini uchague nchi za kiisalmu tu?
Kwani hakuna nchi za kigalatia masikini choka mbovu kama congo mbili, guniea kibao na nyingi zaidi za kigalatai
Tuangalie utawala wa mtu mmoja kwa miaka 25 aliepewa nchi yenye uchumi mkubwa afrika mashariki na kati, Tanzania ilikuwa iko juu, Kenya ilikuwa haitupiti.
Kaivuruga na kumuachia jumba bovu Mwinyi halafu hakuacha kiherehere cha kuongeaongea wakati tunajua Mwinyi alitutoa kwenye umasikini wa kutupwa wa kuvaa viraka na kual ugali wa yanga
Na kama tukuangalia umasikini mwingi uko wapi zaidi, tunaenda tafiti na data
Kuna mikoa mingapi ya wakristu ukilinganisha na mikoa uliotaja
View attachment 3616478
Nachoongelea mimi ukisha vuruga mwanzoni ni ngumu sana kuwa na matokeo mazuri mwishoni, hasa ukizingatia hii nchi ya vitombi na kuzaazaa hovyo hivyo kuongeza idadi ya watu na kunako endana na kuongezeka kwa umasikini.Rais wa sasa mwislamu kwanini asibadilishe hicho unachokilalamikia
Sasa kama mwinyi aliitoa nchi kwenye umaskini sasa unalalamika nini kama kuna umaskini sababu mwinyi alishatutoa huko kama unavyosema
Kila siku mnalalamika mfumo kristo unawatenga waislamu wewe unasema waislamu wanahali nzuri hamueleweki
Magufuli alipeleka nchi uchumi wa kati wakati wa samia nchi imerudi kwenye group la nchi maskiniNachoongelea mimi ukisha vuruga mwanzoni ni ngumu sana kuwa na matokeo mazuri mwishoni, hasa ukizingatia hii nchi ya vitombi na kuzaazaa hovyo hivyo kuongeza idadi ya watu na kunako endana na kuongezeka kwa umasikini.
Ukweli usemwe, katika vipindi vya Mwinyi, Kikwete, na sasa Samia, kwa wafanya biashara na uchumi wa mtu mmoja mmoja, hali ya maisha ilikuwa na imekuwa ya kuridhisha.
Na kila wakiingia wa upande fulani, tunarudishwa kwenye umasikini tena, tumeona hivyo kwa Mkapa na Magufuli.
Tunapoengelea mfumo kristo, hivi inakuwaje kadinali anahudhuria vikao vya mawaziri na Rais, hii ilikomeshwa na Kikwete.
Na kama huamini huu mfumo kristo ulikuwepo, huu sasa ndio ushahidi ulioanzia kwa nyerere
View attachment 3616522
Uchumi wa kubumba kwa kupika data ambao hauakisi uchumi wa mwananchiMagufuli alipeleka nchi uchumi wa kati wakati wa samia nchi imerudi kwenye group la nchi maskini
Sasa unatumia nini kujenga hoja zako labda hisia
Mwinyi anaachia madaraka serikali haina fedha ilabidi mkapa aanzishe TRA mwaka 1996 ili kuongeza ufanisi kwenye kukusanya kodi Je haya unayajua
God per capita imeshukaUchumi wa kubumba kwa kupika data ambao hauakisi uchumi wa mwananchi
Kama huamini ninachosema hicho kinawezekana, Nenda kasome matatizo yaliyoipata Ugiriki kwa kudanganya danganya kuhusu uchumi wake mpaka ilibidi ukweli ulivyojulikana nchi zote za EU zijitolee kubeba mzigo wa madeni sababu almanusra Russia na China wayanunue madeni ya Ugiriki na ndio kilchowafanya EU kuamka kukinga kifua huku wakiugulia na kujiuliza huyu tulimuingizaje EU wakati nchi masikini kama za Afrika.
Leo hii Tanzania ni top 10 barani Africa kwa uchumi mkubwa, haya wakati magufuli na uchumi wa kati tulikuwa namba ngapi?
View attachment 3616527
Na kwenye TRA
Nyinyi wagalatia mna udini sana, kwahiyo mnadanganya ni mkapa ndio kaleta TRA?
Muswada wa uanzishaji wa TRA ulipitishwa bungeni kwa kifungu 339 mwaka 1995 wakati Mwinyi ndio Raisi
Huyo Mkapa kaja kukata utepe
View attachment 3616526
Hebu acha udini,Tra ni moja ya mapendekezo alipewa Nyerere kupitia Structrural Adjustment plan kama sehemu ya kuipeleka nchi kwenye ubepari kutoka kwenye ujamaa
Saps ilianza wakati wa Nyerere uchumi ulivyokuwa mgumu uko shuleni siju mnasoma nini hataHebu acha udini,
Unamuingiza nyerere kwenye jambo lilitokea miaka 10 baada ya kukimbia nchi kwa umasikini aliotuletea.
Mwinyi kachukua nchi ya kijamaa na ndio alikubali kuanza mchakato wa biashara huria na mfumo wa vyama vingi
Nyerere hana chake kwenye hili
Ila unaamini kabisa nyaraka zote zilizobumbwa pale chuo cha itikadi cha kigamboni kuhusu kupigania uhuru kulifanywa na nyerere peke yake hazikuwa biased?Ni kivipi naweza kuamini kwamba nyaraka zote za Ally zilikusanywa bila bias?
Soma hii link usiwe unaongea kama mpiga debeIla unaamini kabisa nyaraka zote zilizobumbwa pale chuo cha itikadi cha kigamboni kuhusu kupigania uhuru kulifanywa na nyerere peke yake hazikuwa biased?
Hapana, siziamini kabisa na yeyote anayedai kuamini nyaraka zozote za kisiasa 100% ni naive au ana agenda zake binafsi.Ila unaamini kabisa nyaraka zote zilizobumbwa pale chuo cha itikadi cha kigamboni kuhusu kupigania uhuru kulifanywa na nyerere peke yake hazikuwa biased?
Unachanganya madesaSoma hii link usiwe unaongea kama mpiga debe
Structural Adjustment Programs in Tanzania | UKEssays.com
Tanzanian economy and Structural Adjustment Programs(SAPs) can be traced from when Tanzania got independence in 9th December 1961 when it was under the reins of late Mwl, J K Nyerere. - only from UKEssays.com .www.ukessays.com
Ndani ya SAPS ndo kuna TRA, Tanroads, tbs, soko huria na mambo mengi ambayo Nyerere alikataa ila mwinyi na mkapa wakawa watekelezaji
Kama hautojali tuelezee kidogo kuhusu hiki kisa mzee wetuMrangi,
Nyumba ya Ally Sykes Harare ina historia ya pekee kwani iko jirani na nyumba ya Ian Smith.
Ian Smith hakupenda kuwa jirani na Mwafrika.
Kuna kisa kizuri siku Ally Sykes na Ian Smith walipokutana uso kwa macho.
Proved,Mzee Mohamed kwa nini Mzee Ally Sykes (Rip) hakuendelea na harakati za Kisiasa baada ya Uhuru?..
Mwinyi alikuta faili liko mezani tayari acha ubishi wa kitotoUnachanganya madesa
Hizi ni IMF polices zilizokuwa zikitumikia tokea enzi ya vita vya pili vya dunia
Hakuna kitu humo ni niche kwa nyerere peke yake kuzikubali na kizitekeleza mahususi kwa Tanzania
Hizo zili apply kwa nchi zote hasa kijamaa na kikomunisti kama masharti ikiwa unataka mkpo au msaada wa maendeleo kutoka IMF.
Na nyerere kwa ujinga wake alishindwa kuswallow his pride baada ya kutia kwenye vita va kipumbavu kumsaidia swahiba wake Obote.
Na aliyakataa haya masharti, kwa hiyo aliyoyafanya Mwinyi ni kwa utashi wake kukubali mabadiliko sio eti nyerere ndio alikuwa mwanzilishi
View attachment 3616556
Unajibu kama uko kijiweni, sishangai hata majibu yako mengi humu ilikuwa ni hears says za vijiweni mpaka nilivyokuweka sawaMwinyi alikuta faili liko mezani tayari acha ubishi wa kitoto
SAPS imeanza wakati wa Nyerere unasema imeanza wakati wa mwinyi huoni unadanganya waziwaziUnajibu kama uko kijiweni, sishangai hata majibu yako mengi humu ilikuwa ni hears says za vijiweni mpaka nilivyokuweka sawa
Mpwimbe,Mzee,
Kwahiyo huoni shida TZ kuwa secular (ambayo kwako najua unaiona kama mfumo kristo)
???
Na nimekuambia huku kwetu kimara kuna shida ya maji na barabara ni mbovu wote waislamu na wakristo wanapata joto ya jiwe sasa wewe endelea na ushabiki wako na fantasy zakoUnajibu kama uko kijiweni, sishangai hata majibu yako mengi humu ilikuwa ni hears says za vijiweni mpaka nilivyokuweka sawa