Ally Sykes na Nyaraka za Harakati za Kupigania Uhuru wa Tanganyika

Real,
Nyumba ile ilinunuliwa na A.K. Sykes kutoka benki iliyoko London.

Hawakuhangaika wakajua huyu ni Mzungu.

Nyumba ipo mpaka leo.
Sina sababu ya kusema uongo.
Kununua nyumba hatukatai wala kupinga ila vile vionjo vya stories eti wakashangaa🤣🙆‍♂😂

Sisi ni watu wazima na huwezi tupanga kihivyo mzee wetu. Sisi tunaishi nje na tumeishi sana sio kutembea ni maisha yetu.

Affluent neighborhoods zote za wazungu hasa maracist, kupanga tu ni mbinde talkless ya kununua nyumba kwenye hoods za viongozi bila wana usalama kukutambua.🚮
 
Real...
Tusibishane katika hili.
Halina maana sana.

Natamani nieleze historia yake na Rothschilds.

Natamani pia nieleze alivyomshtua Balozi wa Canada

Hilo moja linatosha.
La Ian Smith dogo sana.

Haya mawili la Rothschilds na Balozi wa Canada ndiyo hakika mazito.
 
Real...
Tusibishane katika hili.
Halina maana sana.

Natamani nieleze historia yake na Rothschilds.

Hili linatosha.
Pale uliongeza chumvi mzee wetu. Tunatambua mapenzi yako kwa Sykes na some imported religious beliefs ila unapotoa stories jaribu kuwa balanced hasa kwenye kadamnasi kama hapa ulio na watu wenye rika na uelewa tofati.

Kwahiyo once a property is being purchased through certain financial institutions kama hiyo uliyoitaja, wana usalama hawata scrutinize🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Real...
Sina sababu ya kusema uongo.
Lakini hilo ni dogo.

Ala Uislamu wangu unakupa shida.
Imported.
 
Hatupingi influence ya Sykes wala kumdogosha.
Tuasema, Smith alipofika kwake alikuwa anajua vyema ni nani anakutana nae.
Hakuna kiongozi wa nchi atatembea mahala or kufika bila wana usalama kufika na kuhakiki hilo eneo kwanza.
 
Hatupingi influence ya Sykes wala kumdogosha.
Tuasema, Smith alipofika kwake alikuwa anajua vyema ni nani anakutana nae.
Hakuna kiongozi wa nchi atatembea mahala or kufika bila wana usalama kufika na kuhakiki hilo eneo kwanza.
Real...
Wakati hayo yanatokea Smith hayuko kwenye kiti.

Kiti kakikalia Robert Mugabe.

Ally Sykes akazozana na Wazungu Harare Club akina Roy Welensky.

Hii club ya Wazungu watupu.
Uamuzi Ally Sykes afukuzwe uanachama.

Mugabe akapata habari Ally Sykes anafukuzwa Harare Club.

Akawaambia mkimfukuza Ally Sykes naifunga club yenu.

Mama yake Ally Sykes Bi. Mruguru bint Mussa na bibi yangu Bi. Zena bint Farijala walikuwa mashoga wakipendana sana.

Huko ndiyo ulikotoka udugu wetu.

Huko ndiko chimbuko ya haya mapenzi.

Tumezaliwa tumewakuta wazee wetu marafiki ndugu.
 
Still, to this date, all racist neighborhoods huko SouthnAfrica, Namibia kwa mtu mweusi kupanga or kununua property vetting ni lazima, same na Zimbabwe kabla ya kuporwa mashamba na kutimuliwa kwa wingi.
 
Still, to this date, all racist neighborhoods huko SouthnAfrica, Namibia kwa mtu mweusi kupanga or kununua property vetting ni lazima, same na Zimbabwe kabla ya kuporwa mashamba na kutimuliwa kwa wingi.
Real ...
Sikupingi.
Huyajui niyajuayo.
 
Huu mtanange bado unaendelea tu humu!

Ova
 
Lakini mbona wakina Sykes
Walikuwa hawana udini au ule uislammm sana
Wale walikuwa westerners zaidi walikuwa na falsafa za kibepari

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…