Ni kweli kabisa nyie kinachowasaidia ni hiyo mirungi na bange mnazotumiaWasomali ni wababe kuwashinda. Wangekuwa wanalala na wake zenu. Ila sie tunapasua vichwa vyao wanatokomea kuzimu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa nyie kinachowasaidia ni hiyo mirungi na bange mnazotumiaWasomali ni wababe kuwashinda. Wangekuwa wanalala na wake zenu. Ila sie tunapasua vichwa vyao wanatokomea kuzimu.
LDCGoogle ndio nini?
Nasema nasema lazima Kenya itakuja kupasuka vipande na kuwa nchi zaidi ya moja Nairobi kivyake na Mombasa kivyake huu utabili ni wakweli kutoka kwangu .sababu ya Kenya kupasuka inWatu wenyewe wazawa wa hapo wanawapa hifadhi alshabab kwa sababu wanaongea lugha moja na wanafanana. Wacha wakose waalimu ili washike adabu. Hatutaendelea kupoteza Wakenya ilhali wenyeji wanawaruhusu shabab kuishi miongoni mwao. Every action has an equal and opposite reaction.
Ukitazama vizuri nchi ya Kenya utagundua lazima itakuja kuwa nchi zaidi ya moja ,pwani na bara huo ndiyo ukweliHiyo ni dalili ya kushindwa kwa serikali yenu, nchi lazima ilinde raia wake katika mazingira yote, ukweli ni kwamba Kenya hamna umoja, wakazi wa pwani wanahisi kutengwa na serikali kuu, wapo tayari kuungana na mtu yeyote mwenye lengo la kuidhohofisha serikali ya Kenya. Lawama zote zimuendee mzee Jommo Kenyatta, badala ya kuanza kujenga utaifa kwanza, yeye alianza kujenga uchumi kwanza.
Wazungu watakubali Gaza aishi hapo lavingtonSi lazima iwe Kibera. Unaweza ishi Lavington pia.
Alisikika shoga mmoja aliye kimbia maisha ya kibera na kuona bora kuwa shoga ulaya kuliko kuwa mwanaume kiberaWasomali ni wababe kuwashinda. Wangekuwa wanalala na wake zenu. Ila sie tunapasua vichwa vyao wanatokomea kuzimu.
Watu wenyewe wazawa wa hapo wanawapa hifadhi alshabab kwa sababu wanaongea lugha moja na wanafanana. Wacha wakose waalimu ili washike adabu. Hatutaendelea kupoteza Wakenya ilhali wenyeji wanawaruhusu shabab kuishi miongoni mwao. Every action has an equal and opposite reaction.
Wakikataa itabidi arudi tandale akaendelee na kazi zake kw wahindi, manake uchumi wameungangania ni km nchi ni yao..
Usisahau kwamba Tanzania inaongoza katika nchi zote zilizochini ya jangwa la Sahara katika "Economic inclusiveness"na Kenya ni nchi ya mwisho, hiyo ni taarifa toka UN. Wewe hiyo ya kusema uchumi unamilikiwa na wahindi umeitoa Kibera au wapi?Wakikataa itabidi arudi tandale akaendelee na kazi zake kw wahindi, manake uchumi wameungangania ni km nchi ni yao..
Yani asilimia kubwa ya kubwa ya uchumi wa tanzania wamekamata wahindi na waarabu..
Hku akina zee la mwakani wakibaki kuwatumikia tu na kujisifu eti ni wazawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Na pia usisahau mnaongoza katika mutidimensional poverty, sasa hyo inclusiveness sijui inaenda wapi wakati mnaongoza kw idadi ya maskini EAUsisahau kwamba Tanzania inaongoza katika nchi zote zilizochini ya jangwa la Sahara katika "Economic inclusiveness"na Kenya ni nchi ya mwisho, hiyo ni taarifa toka UN. Wewe hiyo ya kusema uchumi unamilikiwa na wahindi umeitoa Kibera au wapi?
Unaposema wakenya hawawezi kuendelea kupoteza maisha kwa sababu ya kusalitiwa na wenyeji,unamaanisha kuna wenyeji na wakenya.?Watu wenyewe wazawa wa hapo wanawapa hifadhi alshabab kwa sababu wanaongea lugha moja na wanafanana. Wacha wakose waalimu ili washike adabu. Hatutaendelea kupoteza Wakenya ilhali wenyeji wanawaruhusu shabab kuishi miongoni mwao. Every action has an equal and opposite reaction.
Hahaha, kwanza ninaomba usitumie neno US, badala yake tumia neno "Mungu wa wakenya", kila kitu lazima utafute uhalali kwa kujilinganisha na Mungu wenu USA, ndio sababu wakenya wengi wanaume huolewa na wamarekani.
Pili, vipi unalinganisha ugaidi na mass shootings zinazosababishwa na matatizo ya akili au kulipiza kisasi?, katika ugaidi, marekani wamefanikiwa kudhibiti mashambulizi ya kigaidi nchini mwao kwa zaidi ya asilimia 98%, Acha kuchanganya terror attacks na mass shootings.
Jambo la msingi kuzingatia ni kwamba, bajeti kubwa au GDP kubwa haina maana yoyote kama haiwezi kutatua shida za wananchi, Tanzania kwa kutumia bajeti ndogo tunafanya mambo makubwa sana ikiwemo kuimarisha ulinzi wa nchi na raia wake, hakuna ujambazi wala mapigano kati ya makundi ya jamii na koo mbalimbali
Hahahaha, unalazimisha kuhalalisha uzembe wenu wa kushindwa kupambana na ugaidi kwa kutumia mass shooting ifanane na terrorism sio?, ili muonekane mnafanana na "Mungu wenu?".Mass shooting ni ughaidi. Domestic terrorism.
Domestic terrorism ya USA husababisha vifo mingi kwa mwaka kuliko vifo vyote vya ughaidi Kenya kutoka nchi yetu ipate uhuru.
Alafu itakumbukwa kwamba Kenya ndio 'Mungu wa watanzania'.
Mungu huwa ndiye mwenye kumlisha binadamu, kati ya Kenya na Tanzania, nchi gani inayolisha nchi ingine?, bila Tanzania wakenya mtaisha kwa njaaMass shooting ni ughaidi. Domestic terrorism.
Domestic terrorism ya USA husababisha vifo mingi kwa mwaka kuliko vifo vyote vya ughaidi Kenya kutoka nchi yetu ipate uhuru.
Alafu itakumbukwa kwamba Kenya ndio 'Mungu wa watanzania'.
Maendeleo ya Watanzania yamerudi nyuma-Ripoti UNDP hizo pumba peleka kwa Lumumba upewe zako buku saba!Usisahau kwamba Tanzania inaongoza katika nchi zote zilizochini ya jangwa la Sahara katika "Economic inclusiveness"na Kenya ni nchi ya mwisho, hiyo ni taarifa toka UN. Wewe hiyo ya kusema uchumi unamilikiwa na wahindi umeitoa Kibera au wapi?
Unatumia akili au kamasi?, unajua maana ya "Economic inclusiveness?". Doesn't matter if you move forward or backwards, inclusiveness means fair and Equitable distribution of Resources across the population. Sio huko kwenu watu elfu 9 wanamiliki 62% ya uchumi wote.Maendeleo ya Watanzania yamerudi nyuma-Ripoti UNDP hizo pumba peleka kwa Lumumba upewe zako buku saba!
"Economic inclusiveness" ya kurundika kwenye lindi la ufukara!Unatumia akili au kamasi?, unajua maana ya "Economic inclusiveness?". Doesn't matter if you move forward or backwards, inclusiveness means fair and Equitable distribution of Resources across the population. Sio huko kwenu watu elfu 9 wanamiliki 62% ya uchumi wote.
By the way, waliotoa hiyo ripoti inayoonyesha kwamba Tanzania inaongoza Afrika kusini mwa sahara ni hao hao IMF, kama ni wivu pelekea IMF sio mimi.
Sent using Jamii Forums mobile app