Alshabaab waaamuru watu wote ambao si wazawa kuondoka katika eneo lote la Kaskazini mashariki mwa Kenya

Alshabaab waaamuru watu wote ambao si wazawa kuondoka katika eneo lote la Kaskazini mashariki mwa Kenya

Wasomali ni wababe kuwashinda. Wangekuwa wanalala na wake zenu. Ila sie tunapasua vichwa vyao wanatokomea kuzimu.
Ni kweli kabisa nyie kinachowasaidia ni hiyo mirungi na bange mnazotumia
 
kwann kuleta ubabe katika ardhi usiyo na uhalali wa kuitawala??
 
Watu wenyewe wazawa wa hapo wanawapa hifadhi alshabab kwa sababu wanaongea lugha moja na wanafanana. Wacha wakose waalimu ili washike adabu. Hatutaendelea kupoteza Wakenya ilhali wenyeji wanawaruhusu shabab kuishi miongoni mwao. Every action has an equal and opposite reaction.
Nasema nasema lazima Kenya itakuja kupasuka vipande na kuwa nchi zaidi ya moja Nairobi kivyake na Mombasa kivyake huu utabili ni wakweli kutoka kwangu .sababu ya Kenya kupasuka in
1 ukabila
2 udini
3 ufisadi
4 siasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni dalili ya kushindwa kwa serikali yenu, nchi lazima ilinde raia wake katika mazingira yote, ukweli ni kwamba Kenya hamna umoja, wakazi wa pwani wanahisi kutengwa na serikali kuu, wapo tayari kuungana na mtu yeyote mwenye lengo la kuidhohofisha serikali ya Kenya. Lawama zote zimuendee mzee Jommo Kenyatta, badala ya kuanza kujenga utaifa kwanza, yeye alianza kujenga uchumi kwanza.
Ukitazama vizuri nchi ya Kenya utagundua lazima itakuja kuwa nchi zaidi ya moja ,pwani na bara huo ndiyo ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah kama usalama wa taifa wa kenya wapo active kwa hii comment hutakiwi kupata hata u chairman wa kijiji
Watu wenyewe wazawa wa hapo wanawapa hifadhi alshabab kwa sababu wanaongea lugha moja na wanafanana. Wacha wakose waalimu ili washike adabu. Hatutaendelea kupoteza Wakenya ilhali wenyeji wanawaruhusu shabab kuishi miongoni mwao. Every action has an equal and opposite reaction.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazungu watakubali Gaza aishi hapo lavington

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakikataa itabidi arudi tandale akaendelee na kazi zake kw wahindi, manake uchumi wameungangania ni km nchi ni yao..

Yani asilimia kubwa ya kubwa ya uchumi wa tanzania wamekamata wahindi na waarabu..
Hku akina zee la mwakani wakibaki kuwatumikia tu na kujisifu eti ni wazawa

Usisahau kwamba Tanzania inaongoza katika nchi zote zilizochini ya jangwa la Sahara katika "Economic inclusiveness"na Kenya ni nchi ya mwisho, hiyo ni taarifa toka UN. Wewe hiyo ya kusema uchumi unamilikiwa na wahindi umeitoa Kibera au wapi?
 
Na pia usisahau mnaongoza katika mutidimensional poverty, sasa hyo inclusiveness sijui inaenda wapi wakati mnaongoza kw idadi ya maskini EA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaskazini sasa inaenda kumegwa kutoka Kenya na All shabab,iwe ya Wasomali tu,ndio maana hata wenyeji wa maeneo Yale wanawabagua wakenya wasio wasomali.
 
Watu wenyewe wazawa wa hapo wanawapa hifadhi alshabab kwa sababu wanaongea lugha moja na wanafanana. Wacha wakose waalimu ili washike adabu. Hatutaendelea kupoteza Wakenya ilhali wenyeji wanawaruhusu shabab kuishi miongoni mwao. Every action has an equal and opposite reaction.
Unaposema wakenya hawawezi kuendelea kupoteza maisha kwa sababu ya kusalitiwa na wenyeji,unamaanisha kuna wenyeji na wakenya.?
 
Hahaha, kwanza ninaomba usitumie neno US, badala yake tumia neno "Mungu wa wakenya", kila kitu lazima utafute uhalali kwa kujilinganisha na Mungu wenu USA, ndio sababu wakenya wengi wanaume huolewa na wamarekani.
Pili, vipi unalinganisha ugaidi na mass shootings zinazosababishwa na matatizo ya akili au kulipiza kisasi?, katika ugaidi, marekani wamefanikiwa kudhibiti mashambulizi ya kigaidi nchini mwao kwa zaidi ya asilimia 98%, Acha kuchanganya terror attacks na mass shootings.

Jambo la msingi kuzingatia ni kwamba, bajeti kubwa au GDP kubwa haina maana yoyote kama haiwezi kutatua shida za wananchi, Tanzania kwa kutumia bajeti ndogo tunafanya mambo makubwa sana ikiwemo kuimarisha ulinzi wa nchi na raia wake, hakuna ujambazi wala mapigano kati ya makundi ya jamii na koo mbalimbali

Mass shooting ni ughaidi. Domestic terrorism.
Domestic terrorism ya USA husababisha vifo mingi kwa mwaka kuliko vifo vyote vya ughaidi Kenya kutoka nchi yetu ipate uhuru.

Alafu itakumbukwa kwamba Kenya ndio 'Mungu wa watanzania'.
 
Hahahaha, unalazimisha kuhalalisha uzembe wenu wa kushindwa kupambana na ugaidi kwa kutumia mass shooting ifanane na terrorism sio?, ili muonekane mnafanana na "Mungu wenu?".

Sasa onyesha kwa ushaidi, ni lini kwa mara ya mwisho USA ilishambuliwa na magaidi, yaani "terror attacks", kama utaona hizo mass shootings wanazihesabu. Marekani ni zaidi ya miaka mitatu sasa haijashuhudia shambulio lolote la kigaidi ktk ardhi yake, ndio sababu hakuna nchi wala shirika lolote la ndege lililojitokeza kuwaonya raia wake kutembelea USA pamoja na mass shootings kuendelea kutokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mass shooting ni ughaidi. Domestic terrorism.
Domestic terrorism ya USA husababisha vifo mingi kwa mwaka kuliko vifo vyote vya ughaidi Kenya kutoka nchi yetu ipate uhuru.

Alafu itakumbukwa kwamba Kenya ndio 'Mungu wa watanzania'.
Mungu huwa ndiye mwenye kumlisha binadamu, kati ya Kenya na Tanzania, nchi gani inayolisha nchi ingine?, bila Tanzania wakenya mtaisha kwa njaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maendeleo ya Watanzania yamerudi nyuma-Ripoti UNDP hizo pumba peleka kwa Lumumba upewe zako buku saba!
Unatumia akili au kamasi?, unajua maana ya "Economic inclusiveness?". Doesn't matter if you move forward or backwards, inclusiveness means fair and Equitable distribution of Resources across the population. Sio huko kwenu watu elfu 9 wanamiliki 62% ya uchumi wote.

By the way, waliotoa hiyo ripoti inayoonyesha kwamba Tanzania inaongoza Afrika kusini mwa sahara ni hao hao IMF, kama ni wivu pelekea IMF sio mimi.

"Economic inclusiveness" ya kurundika kwenye lindi la ufukara!
Does that make you proud? CCM kweli ni janga!
 
Back
Top Bottom