Am I wrong if I process divorce?

Nashukuru sana
 
Kuna wanaume vichomi mno jamani Yani huchukilia wanawake ka viummbe nusu visipo kamili na maamuzi na utashi binafsi matokeo Wana ku treat hamnazo eti kisa wao ni wanaume. Nashauri wanawake titaftee wanaume waliotuzidi kila kitu kuanzia dhambi, maturity level ili tu enjoy si kila mwanaume mvaa suruali kweli ni mwanaume aisee.
 
Kwa kifupi dada yangu umeolewa na mtu asiye sahihi, na hatakuja abadilike maana anajua wewe ni dhaifu.
Amua sasa kabla jua halijazama.
 
[emoji23][emoji23]jiwe limemkuta kakangu kumbe naye ana machungu yake loh. Ingawa huyo dada alikuwa anamprnda kuliko huyu wasasa licha ya kuoa hajamsahau
Yaan anaumia mno kwa kumkosa mrembo anayempenda na kumkubali, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo ni mpare na wapare kwa ubahili wako vizuri
Mpare wangu hayuko hivi, yaan sometimes huwa nakataa sio mpare, hana ubahili hata kidogo, na yuko real mno. Namkubali hatari.
 
Mpare wangu hayuko hivi, yaan sometimes huwa nakataa sio mpare, hana ubahili hata kidogo, na yuko real mno. Namkubali hatari.
Huwajui watani Zangu majority huwa wabahili Hadi kwa msosi mkuu. Huyo wako ni exceptional
 
Hayo mavazi yanahusiana vipi na kuhudumia familia??,kiufupi huyo mwanaume hajiamini hata A kisirani chote anamalizia kwa bibie
Kama mwanamke hakuheshimu huo moyo wa kumhudumia unatoka wapi
 
Unaweza ukawa kwenye ndoa na mabaharia wanakukula vile vile, hainaga formula hiyo
Wee ongea nadharia tu, ila walau kwenye ndoa unaliwa kwa limit, ukishakuwa freelancer you become chawote

Tuko nao humu mtaan tunawaona wanavoliwa ovyo wakishaachika, wako very desperate
 
Huwajui watani Zangu majority huwa wabahili Hadi kwa msosi mkuu. Huyo wako ni exceptional
Yes najua wapare ni bahili pro max, ila huyu wangu hapana kwa kweli, had mwenyewe sometimes huwa namkatalia sio mpare, sijui labda hajaishi sana upareni ndo sababu.
 
[emoji23][emoji23]jiwe limemkuta kakangu kumbe naye ana machungu yake loh. Ingawa huyo dada alikuwa anamprnda kuliko huyu wasasa licha ya kuoa hajamsahau
No, nimeshea tu mjue I personally went through the same situation. Ni tukio la more that 20 yrs ago, na wala sikujuta coz I decided myself to give up.

Wengi wenu humu mnamlaumu jamaa kama ndo chanzo cha mfarakano wao. So nimeshea ili mjue bidada ndo anaweza kuwa chanzo.

Hivi ktk hali ya kawaida wewe cariha inakuingia akilini kweli kwamba kwa namna bibie alivo pisi kali jamaa akae 4 months bila kumkula kweli? Is this normal?
Yan hapo uhalisia ni kwamba jamaa kaishapoteza hisia sababu ya tabia zake za kiburi, dharau na kutokumheshimu. The guy has lost confidence over her

Dada Saint Anne kajaribu kuongea uhalisia mmemzodoa hadi kaamua kukaa zake kimya
 
Mmh mliishia wapi na huyo jamaa?
 
1.Subra
Kua na subira....jipe muda wakutosha sana kabla yaku file divorce.

2.Be normal while you wait
Endelea kua natabia zakupendeza kwa kipindi chote ambacho umeamua kusubiri.

3.Allah huwalipa wenye subra
M,Mungu ametutaka tuwe na subira kwenye kila jambo tunaloliendea,likiwa life changing(yani jambo ambalo litabadil maisha yako) nivyema zaidi ukachukua muda kuamua

NOTE:
Watu wanabadilika na huenda akabadilika kipindi chakusubir,so i strongly suggest you wait
 
Ndoa ni urafiki, upendo, undugu, kuhurumiana na kusadiana. Hadi ukiona nyumba unakasirika ujue hapo kuna tatizo kubwa na uadui ndani yake.
 
Yani Mimi sipendi kero jamani za mtu mzima mwenzangu hata hamu sitakuwa nayo heri ya dildo tu, na upweke sipati na tune my mindsets na kufanya a lot of activities za kijamii na mazoezi ndo furaha yangu
Best haya mambo ya Dildo nayo ni kazi kweli kweli ila kuvumilia hayo mateso jaman ni BIG NOOOOO
raha uwe na mtu kabisa bhana akusemeshepo kiduchu ,,,hahahha ile bembeleza dildo haziwezi kamwe
Kutii kunakuja baada ya kupendwa, haya mambo yanaenda sambamba. Mkishaona mke ana elimu mnatumia hicho kigezo kuona hana utii. Muwe mnaoa wanawake ambao hawana elimu Ili msije pata shida baadae.
umenena kweli tupu
 
ha
nimecheka kwa nguvu mie, anakuuliza umekula nini wakati hata hajakupa pockect money,,hahaahahahahhaha binadamu ni kazi kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…