Ama kwa hakika maisha hayana maana kabisa

Maisha ya Africa ya kubahatisha sana.
Africa wastani wa kuishi ni miaka 64, Ulaya ni 80, China & Marekani 78, Japan 85. Watu wanakufa hovyo hovyo sana Africa, thamani ya maisha ni ndogo kuliko kote duniani.

Magonjwa, ajali, vitu feki, huduma mbovu. Africa hatuishi tuna survive kila siku unakwepa mishale.
 
Hivi mkuu wewe una akili kweli? Kwa nini hutofautishi kati ya mtu binafsi na jamii nzima ya watu? Ulishawahi kuona wapi raia wameacha kwenda kuhemea kisa mvua imenyesha?
 
Mmh, hili ni suala la uwezo wa kifedha.

Kama mtu anaweza kulipia, kwa nini umzuie?
 
Hivi mkuu wewe una akili kweli? Kwa nini hutofautishi kati ya mtu binafsi ya jamii nzima ya watu? Ulishawahi kuona wapi raia wameacha kwenda kuhemea kisa mvua imenyesha?
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
 
Dkt. Gwajima D tia neno mama
 
Magonjwa, ajali, vitu feki, huduma mbovu. Africa hatuishi tuna survive kila siku unakwepa mishale.
Nchi nyingine wakifa watu watano kwenye ajali za bus inakuwa taarifa kubwa ya kitaifa hadi BBC, CNN n.k Africa wanakufa watu 15 mara nyingi kwa mwezi au mwaka na majeruhi wa kushato laikini mara nyingi tu hata mtaa wa pili hawajui kama kuna ajali, na maisha yanaendelea tu kama kawaida, waswahili wanabaki na misemo yao tu ooh maisha ni fumbo na blah blah nyingine. Very frustrating.
 
maisha sio ya kwako. jua Yuko aliyekuleta duniani na utaondoka, cha msingi tafuta kujua kusudi lako la kuwepo duniani. wengine walikufa wakiwa wachanga kabisa, wewe upo hadi leo, kwanini? bila ya kujua kwanii upo, maisha ni hasara.
Unaleta ufia dini kwenye mambo ya fact,
Kama maisha siyo yangu ni ya nani sasa, kama nikifa nakufa mimi sio mtu mwingine. Huyo aliyenileta hapa duniani kwa nini asiniambie majukumu nitakayokuwa na yafanya hapa duniani ili nijue? Kijana wa watu kahangaika na shule miaka kadhaa ilhali aliyemleta anajua atakufa kwa bajaji na wala shule hataitumia
 
MD hakosi pa kujishikiza hapa mjin mzee,
MD hahitaji serikali tu, pvt zipo kibao sanaaa,
Huko wanakolipwa hela ya kunywa usiku mmoja kwa kivuli Cha private boss ?
Njoo mtaani ukione kizazi Cha wasomi kinavyoteseka ,amka ndotoni uione dunia mpya ya jasho na pesa .
 

Wanajazwa ujinga wa "Mungu kapenda" ili huduma mbovu ziendelee kutamalaki wakati wenyewe wakiumwa wanakimbilia India.
 
Today tukiwa tuna enda mishe mishe asbh Kuna jamaa tulimpakia mtu MZIMA.
Alikua mkimya Sana gafla Kuna bodaboda alifanya faulo..

Jamaa akaanza kuzungumza akasema NIMEWAI KUUA MTU KWENYE AJARI YA BARABARANI..

ILIKUA ANATOKA DAR WANAENDA BUKOBA NA PRIVATE CAR YEYE AKIWA DEREVA WALIPO FIKA KAHAMA NTATOLEA MFANO WA ENEO WALIPO PATIA AJAR NI KAMA HAPO MAENEO YA JITEGEMEE JKT..

yeye alikua highway speed bodaboda akiwa amebeba mishikaki akakatiza gafla ku cross barabara... Tena bodaboda ilikua imetoka kuchukua drip za uchungu kuwaisha ili mama akajifungue walipo fikishwa kituo Cha afya wakaambiwa Hawa si wametoka hapa muda si mrefu mmoja karudishwa akiwa MAITI.

Mzee yaan miundombinu yetu Bado sio rafiki pia na madereva baadhi hawazingatii Sheria za barabarani
 
Kweli k
Umeongea ukweli mtupu mkuu,na hyo ndio maana ya maisha ,yaani ishi leo,"our main business is not to see what lies dimly at distance bt to do what seemly clea in our hands," dale Carnegie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…