Ama kwa hakika maisha hayana maana kabisa

Kweli k
Umeongea ukweli mtupu mkuu,na hyo ndio maana ya maisha ,yaani ishi leo,"our main business is not to see what lies dimly at distance bt to do what seemly clea in our hands," dale Carnegie.
 
Pole sana bro. Maisha ni fumbo kubwa ambalo Wanadamu hatuwezi kulielewa kwa ukamilifu. Sulemani katika utajiri wake wote aliandika, Mhibiri 1:14 "Nimeziona kazi zote zifanywazo chini ya jua; na, tazama, mambo yote ni ubatili na kujilisha upepo." La muhimu ni kumcha Mungu na kusalimisha maisha yetu mikononi mwa Mungu.
 
kwani umeambiwa kiswahili medium hawapati ajali?
 
Sikiliza dogo! Sikiliza husia wa wazee waliopitia ujana na wakakumbana na changamoto kama hizo lakini hawakuambiwa ukweli! Ukizaliwa kwa familia ya Bahkaressa utarithi utajiri wa Bahkaressa! Ukizaliwa ukoo wa J.K. Nyerere utarithi jina na ushawishi wa kisiasa wa Nyerere! Ukizaliwa katika familia ambayo haina jina inabidi ujiongeze mababu na mabibi waliingia maagano yapi na mashetani ya mizimu na mashetani yaliyohusika tangu kutungwa mimba, kulelewa, kukuzwa, mpaka kujitambua na kupata kipato. Hayo maroho kama ni ya mashetani huwe na uhakika kuwa kama hutatambua uwepo wao watakuondoa duniani maana wanakuona una dharau! Kama ni ya Mungu katika Kristo, Mungu katika Kristo atakupa muda wa kumtafuta na kutumia maarifa uliyopata ili ujue uwepo wake! (Yakobo alifanya hivyo "Mwanzo 28: 10 - 22"). Sasa vijana wa siku hizi wakipata vijisenti wanapandisha mabega na kujiona wana akili kuliko wazee maskini walio mtaani! Sasa nawaambia nyie vijana msipojirudi mtaisoma namba! Hata uzao wa Bahkaressa inabidi wajitafute wajue ni mungu yupi baba yao aliwaweka wakfu!
 
Ha ha ha ha ha ha wawaachie madoni.mtu hana hela anajilazimisha kusomesha shule hizo ili aonekane nae yumo.maujinga kabsa jitu linajinyima hata kula likalipe ada rubish kabsa
 
"Maisha hayana maana".."maisha hayana thamani".."maisha yamejawa na tanzia.."
 
Poleni sana , kuna siku nimeuliza mbona ajali ni nyingi sana Tanzania .

Je ni tatizo ni miundombinu , vyombo au madereva?
 
na pia akasema ' when sorrow comes, not a single spy ,but in batallions'. Ndio maisha yalivyo. Matatizo yakija kwenye maisha yako, huwa yanafuatana.
 
๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ Mkuu umeamua tu kunipinga bt ndio uhalisia,wanasema ishi leo na usijistress kwa mambo yaliyopita au yajayo ambayo huyaoni.
Ni kwel kabisa ndugu yangu. Yan hapa ungeniona mwenzako ndio ninavyoishi. Yan huwa sijipi stress. Yalio ndani ya uwezo nafanya twna nafanya kweli, yalio nje uanajioa tabu ya nini? ๐Ÿ˜‚
 
Kila mtu litampata kwa wakati wake yeye ametangulia nasi tutafuata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ