Uchunguzaji wa matukio kama haya ni torture mwanzo mwisho mkuu. Angekaushaa tu ila cctv ingemuumbuaNashukuru mkuu nimekupata.....
Navyo fahamu mm jambazi/gaidi akisha fahamu umemtambua hakuachi salama ili kuondoa ushahidi...
Hatuwezi kumhukumu huyu dogo lakini angetakiwa achunguzwe na kuhojiwa....
Ndugu usikariri.Upendo una nguvu sana,huyo gaidi kamwe hangeweza kumuua huyo kijana cause kijana alimtreat kwa upendo bila kujali japo yeye gaidi alikuwa rude
Can't buy this risto!!!
AKadanganye mafala. Aliambiwa wakija ainuke ili asiuliwe. Alikuwa amekabidhiwa kitita cha pesa kabla ya utekelezaji wa huu ugaidi na mastermind behind this atrocity. Ikiwezekana, utafiti ufanywe.
He's well trained informer anajua nini cha kusema na nini asisemeJapo anafaa kuhojiwa, lakini sitegemei awe alihusika maana alivyo mjinga anahadithia hicho kisa ilhali kinaweza kumtia kwenye matatizo,
kuna mengine ya kukausha hadi usome upepo kwanza, sasa hivi usalama wa taifa wana hasira kama simba, wanazunguka kote wakitafuta wa kumtia meno.
Wapitie previous days kwa cctv kugundua kama kulikuwa na connection yoyote au sivyo
Hehehe dogo anadhani sie ni mafala.Yafaa achunguzweHow do you raise your head to look at a terrorist in such a situation? Where do you get the guts from?
And by by coincidence their eyes met? 🙄🙄🙄.
I smell a rat.
You are right, lakini pia huyo kijana anaweza kuwa na akili sana kwenye kujihami, anaweza kuwa kafikia kusema hiyo story nzima ili kuepusha swali likija kwanini walimuacha peke yake wakaua wengine wote?Japo anafaa kuhojiwa, lakini sitegemei awe alihusika maana alivyo mjinga anahadithia hicho kisa ilhali kinaweza kumtia kwenye matatizo,
kuna mengine ya kukausha hadi usome upepo kwanza, sasa hivi usalama wa taifa wana hasira kama simba, wanazunguka kote wakitafuta wa kumtia meno.
Waislamu wanathamini sana upendo, saaana nakwambia!Yani kwamba jamaa amepona kisa alikuwa anawapa huduma nzuri..? labda ila sidhani ikiwa wana uwezo wa kupiga risasi watu wengine wasio kuwa na hatia huyu wana weza mwacha., nina waza tuu.
He's well trained informer anajua nini cha kusema na nini asiseme
Sent using Jamii Forums mobile app
NOO yeye hakujua kama ni materrorist aisee.. Huwezi kumjua mtu undani wake so watreat watu vizuri hilo ndo funzo kubwaa..!Japo anafaa kuhojiwa, lakini sitegemei awe alihusika maana alivyo mjinga anahadithia hicho kisa ilhali kinaweza kumtia kwenye matatizo,
kuna mengine ya kukausha hadi usome upepo kwanza, sasa hivi usalama wa taifa wana hasira kama simba, wanazunguka kote wakitafuta wa kumtia meno.
Hujanielewa mkuu, nimemjibu yule jamaa juu pale aliyeuliza kuwa waiter ameachwa sababu ya kuwahudumia kahawa na kuwatreat kwa upendo hao magaidi, nilichomaanisha ni kwamba hao watu huwa wao kwa wao au ukiinteract nao moja kwa moja wanakuona una upendo na wana uthamini sana, ila kama uko nje ya Circle yao umekwishaUpendo gani unapoua watu ambao hawahusiani na ugomvi wako na yeyoye mnayegombana naye. Kuwa na aibu kabla ya kuandika vitu vingine.
Sasa wana uhakika gani wale wengine walio wapiga risasi hawana upendo mkuu..???
Anaekt hio kiwewe mkuu,Wacha stori za movie, huyo hana lolote katiririka bila kutumia akili maana bado yupo traumatized, informer ambaye yuko trained hawezi kusema chochote ambacho hajaulizwa, anajimix tu kwa watu na kujifanya kushanga shangaa kama wengine.
Japo anafaa kuhojiwa, lakini sitegemei awe alihusika maana alivyo mjinga anahadithia hicho kisa ilhali kinaweza kumtia kwenye matatizo,
kuna mengine ya kukausha hadi usome upepo kwanza, sasa hivi usalama wa taifa wana hasira kama simba, wanazunguka kote wakitafuta wa kumtia meno.