Ama kweli najuta, sitasahau hii tarehe 20/08/2022

Vyote vilitokea niliondoka chumbani nilihamisha vitu vyangu, nikaenda kutoa taarifa, Cha ajabu kurudi nikiwa na wahudumu kajilaza tena akili ya kutolalia mavi anayo ila akili ya kusafisha hana, anaamshwa ili atoe uchagu anazingua ni aibu sana sana
Sasa kalewa hajitambui???

Ni Gf wako wa kila siku au umeokota tu??
 
daah kwa hii lugha nikisikiaga inatia kinyaa punguza ukali wa maneno sio poa kabisa
 
Mkuu bila shaka hilo goma uliopoa ukiwa vyombo sana, ukajikuta umejiuzia Mbuzi kwenye gunia.
Pole sana.
 
Daah kwahyo umelinywesha hata kupiga hujapiga

Ungeziba pua ukapiga kubishi bishi kufidia hela yako ona sasa umeingia loss
 
Nilikimbia alivokunya mavi ya bia nikawahi kukusanya vyangu, ajabu akawa anaona kawaida tu anasema mnashangaa kunya na ujambazi je? Eti kunya kawaida salale nimejuta
Yaani wewe na kimeo chako mnatakiwa viboko matakoni na pilipili kichaa mbele ya kadamnasi ,
 
Rubbish
 
Vyote vilitokea niliondoka chumbani nilihamisha vitu vyangu, nikaenda kutoa taarifa, Cha ajabu kurudi nikiwa na wahudumu kajilaza tena akili ya kutolalia mavi anayo ila akili ya kusafisha hana, anaamshwa ili atoe uchagu anazingua ni aibu sana sana
mwongo mkubwa ww eti wamkute kanya wamuache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…