mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,965
- 131,949
Sasa kalewa hajitambui???Vyote vilitokea niliondoka chumbani nilihamisha vitu vyangu, nikaenda kutoa taarifa, Cha ajabu kurudi nikiwa na wahudumu kajilaza tena akili ya kutolalia mavi anayo ila akili ya kusafisha hana, anaamshwa ili atoe uchagu anazingua ni aibu sana sana
Ni Gf wako wa kila siku au umeokota tu??