Kumbe wapo 112milioni, duuh asee kumbe lile liinchi ni kubwa mnooo.....hii kuigawa sio ndio italeta noma zaidi?? Mana jamaa watakua wanabutua sasa badala ya kupiga....DRC ni failed state,igawanywe tu itoe inch ndogo ndogo zinazoweza kujisimamia.
Acha war propaganda unadanganya watu , APC sio land cruiser au vitz iunguzwe kirahisi hivyo na watu wasitoke, kawadanganye wasiojuaWewe unaota Ndoto za mchana, Kigali hauijui hata kidogo. hao M23 wenyewe Kishekedi na Majeshi yake yooote, Akisaidiwa na Jeshi la Burundi, Akisaidiwa na Kundi zima la Wazalendo ambalo ni mkusanyiko wa makundi ya wapiganaji yapatayo 120, Ongezea kikosi kutoka SA, Ongezea Kikosi kutoka Malawi, Ongezea Kikosi kutoka TZ na Jeshi zima la Monusco hao wote wameshindwa hata kuchukua mita 100 za M23 halafu eti wataenda Kigali, you dont know what you are saying.
Kwa taarifa yako sasa, vijana wenu wanateketezwa kila kukicha, jana tu APC mbili za TZ zimeunguzwa na waliokuwemo ndani hakutoa mtu. Sasa kama M23 inawatoa kamasi ndio waende Kigali!! Hakuna kitu kama hicho.
Mwana ni noma ukitoka huko wanajikuta wa Comandoo,Mipepe ya jkt😁😁
Humzidi DRC matumizi kwenye silaha,akiweka watu elfu 3 mpakani,elfu 5 katikati ya Rwanda hamtakaa hapo,mtakimbilia Tanzania tuwafuge Kama ng'ombeWameshindwa nini miaka yote hiyo kutwa kulalama,vita ni mbinu na silaha bora pamoja na fedha,sio wingi wa population au ukubwa wa nchi.
Kwa majeshi ya SADC yakiamua yanafika.Umeandika kiushabiki sana unadhani kwenda Kigali ni kama kunywa chai kwa mama lishe?
Unafananisha uwezo wa mataifa ya Ulaya na Rwanda ambayo madaktari wake hupokea mafunzo Muhimbili University??[emoji1787][emoji1787] usijidanganye na ukubwa wa kijiografia kijana angalia nchi za ulaya nyingi zina eneo dogo kijiografia lakini uchumi wao tunapokea misaada kila siku kutoka kwao.
Mbona unaropoka sana na umeongea mambo ya kishabiki YASIO NA UKWELI HATA KIDOGO!?Wewe unaota Ndoto za mchana, Kigali hauijui hata kidogo. hao M23 wenyewe Kishekedi na Majeshi yake yooote, Akisaidiwa na Jeshi la Burundi, Akisaidiwa na Kundi zima la Wazalendo ambalo ni mkusanyiko wa makundi ya wapiganaji yapatayo 120, Ongezea kikosi kutoka SA, Ongezea Kikosi kutoka Malawi, Ongezea Kikosi kutoka TZ na Jeshi zima la Monusco hao wote wameshindwa hata kuchukua mita 100 za M23 halafu eti wataenda Kigali, you dont know what you are saying.
Kwa taarifa yako sasa, vijana wenu wanateketezwa kila kukicha, jana tu APC mbili za TZ zimeunguzwa na waliokuwemo ndani hakutoa mtu. Sasa kama M23 inawatoa kamasi ndio waende Kigali!! Hakuna kitu kama hicho.
Nakumbuka miaka ya nyuma nikiwa MEast kuna wakati Bahrain na Qatar walitaka kuzichapa nao ukubwa wa nchi zao Qatar ni 4,468 Sq mi na Bahrain ni 268sq mileRwanda ni sawa na wilaya ya sikonge mkoani tabora,wahuni wakiamua kukichafua,ni mwendo wa 60km tu kufika ikulu,Rwanda imekaa vibaya sana
Ulikua Manama au Doha mkuu 🤣🤣🤣Nakumbuka miaka ya nyuma nikiwa MEast kuna wakati Bahrain na Qatar walitaka kuzichapa nao ukubwa wa nchi zao Qatar ni 4,468 Sq mi na Bahrain ni 268sq mile
Sasa kaka yao mkubwa akawaita na kuwaambia mkiendeleza huu ujinga nchi zenu mbili ntaziweka chini ya mamlaka yangu
Yaani ubabe ubabe na wao wakatulia kimya
Sasa haka Kapaka hatuwezi kumwambia tulia wewe
Hafar Al BatinUlikua Manama au Doha mkuu 🤣🤣🤣
Mkuu.....vp ulikua kwenye mfumo wa kafara.......mambo ya kunyanganyana mpaka paspoti.Hafar Al Batin
Njoo mzike Mzee ruksa hukuNipo kivu mda huu 🤣🤣
Watusi ni akili kubwaDah Rwanda inachukiwa sana.... Nadhani sababu ni raisi wake!!!
Ifike point uongozi uache kuwaponza raia wake,
USHUHUDA:
niliwahi msikia mama wa rafiki yangu akimpa ushauri mwanae wa kiume kwamba "kwenye maisha yako usijeoa mtusi"
nilivunga sijasikia lakini ile kitu huwa inanisumbua Sana mpk leo........ Viongozi wasituchonganishe jaman, ifike point mambo yao wasihusishwe raia wasio na hatia
Mkuu yesu alisema acha wafu wazike wafu wenzao....!!Njoo mzike Mzee ruksa huku
Mbona mm sina akili kubwa?????Watusi ni akili kubwa
Humzidi DRC matumizi kwenye silaha,akiweka watu elfu 3 mpakani,elfu 5 katikati ya Rwanda hamtakaa hapo,mtakimbilia Tanzania tuwafuge Kama ng'ombe
Ooh pleaseMkuu.....vp ulikua kwenye mfumo wa kafara.......mambo ya kunyanganyana mpaka paspoti.
Maana waarabu wa Hafar,Manama na Doha ndio zao...
Nawaonea huruma sana wapakstan na wanepal
Mbona mm sina akili kubwa?????
Tatizo mnatusifia sana kupitiliza....!!!!
Na sie tuna mapungufu kibao
Unasaka diamaa .hahahaha..au unakusanya coltan ?Mkuu yesu alisema acha wafu wazike wafu wenzao....!!
Mm nipo na wakurungwa huku tunasaka ugali 🤣🤣🤣
RIP MZEE ALLY