Amani imetoweka moyoni mwangu, Co Worker wa kiume na mke wangu wapo karibu sana, nichukue uamuzi gani?

Itakuwa akifika home anaweka kindege (flight mode) hahaaaa
 
Lengo la kutaka kujua ni lipi? Kwamba utaachana na mkeo ukigundua anacheat au unataka kumrudisha kwenye mstari??

1. Kama hauna mpango wa kuachana nae, basi hakuna haja ya kuendelea kumchunguza, mwambie kwamba hupendi ukaribu uliopo kati yake na huyo co-worker. Maana ni samaki mkunje, angali mbichi.

2. Ila kama unampango wa kuachana nae ukigundua anacheat, basi mpige chini mapema tu. Maana ukweli ni kwamba Kila mtu anasiri zake, pengine hata wewe unazo. Hivyo ukimchunguza, unaweza gundua na mengine ambayo hukuyadhania.

3. Njia zote hapo juu zitakupa stress, njia rahisi ni kutulia uache Kila kitu kiende naturally. Mapenzi ni kama maiti baharini, haiwezi kujificha kwa muda mrefu. Itaibuka tu. Kama kuna kitu kibaya anafanya, mpe muda, kitakuwa hadharani.
 
Ukute najibu ila namjibu baba angu, ina mana leo nina akil ya kumshauri baba kuhusu mama, nisamehe.

Ila kwa jambo lako, inaonekana humuamin mama ndo mana ukaweka beki amlinde, pili ukaribu wa huyo mate wake umeharibu hisia zako na umetaman uhukumu kwa hisia za kuhis usicho na uhakika nacho, tatu we ni baba unatutisha sisi wanao, kama maamuz huongozwa na hisia.

Be a man, fanya unachoona ni sahihi.
 
Hajasema kamtongoza kasema wanaongozana au umesoma story nyingine bro ?

Mshauri kiume asiwe mtu wa kuhukumu kwa hisia kama mwanamke.

Kama ana ushahidi afanye anachoona ni sahihi.
 
Na wewe anzisha ukaribu na mke wa jamaa, mtafute kwa gharama yeyote. Thanks me later
 
Ushauri wa Bure
USIMCHUNGUZE MTU AMBAYE HUWEZI KUMUACHA..!!
 
Ushahidi hakuna huenda ni wasiwasi wako tu kama vipi ongea naye kwa kina.
 
Ukisimama nchale, ukikaa nchale 🀣🀣🀣
 
Funga kamba piga shoka moja kichwani.. oh sorry utanyongwa
 
Kuna mwamba mmoja humu JF liandika juzi kuwa wake zenu ndio wake zake ofisini na kwamba Kuna matusi Mengi sana yanaendelea ikiwemo cha fasta,kushikana Tako,matiti na kutiana vidole Hadi watu wanalowaaa.Huyo manzi Yako kashaliwa sana,kama sio ofisini humo humo basi kwenye gari,piga moyo konde kausha kiume,maana ukilogwa kumwambia ndio umempoteza
 
Hata, ukimwambia haisaidii bro! Mtoto wa, kike,hachungwi, akiamua kutoa tunda, hutajua!
Vile vile, unaweza, kukuta hakuna kinachoendelea, ni, urafiki tu, na, utani, mwingi(Ila, huo, utani, hawezi, kufanya mbele yqko) huku, makazini,wake za, watu wanakumbatiwa, wanatamkiwa, maneno sexy vibaya sana
 
Jambo ukishaliwaza sana sana linakuwa limeshavuka asilimia 51 za kuwa ni kweli.

Unajua hata wavumbuzi hutumia hiyo mbinu.

Kuna mke wa mtu aliwahi kumwekea masharti mchepuko wake kuwa usinitafute mpaka Mimi nimekutafutia.

Wasiwasi wako usiupuuze Kwa sababu wanandoa Huwa wanabond kiroho, kama uko kiroho sana hata wakati anakusaliti unaweza kuuhisi huo wakati, vile vitendo vinafanyika.
 
Unapooa jua kabisa kuwa utaliwa tu.....pili acha kumfuatilia kabisa mkeo...tatu pole sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…