1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Ampe mimba,Hapo ndo wanawake wenye m
michepuko wanapataka, wakupe mimba na huyo jamaa uilee na mtoto unapewa.
Wakati ana mimba watagegeda hadi ikue.
Narudia ampe mimba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ampe mimba,Hapo ndo wanawake wenye m
michepuko wanapataka, wakupe mimba na huyo jamaa uilee na mtoto unapewa.
Wakati ana mimba watagegeda hadi ikue.
Lengo la kutaka kujua ni lipi? Kwamba utaachana na mkeo ukigundua anacheat au unataka kumrudisha kwenye mstari??Co-worker ni mtu mnaefanya nae kazi
Ni kwamba nina informer/ mpelelezi ambae ni rafiki yangu wanafanya kazi sehemu moja na wife.
Recently kuna jamaa kaletwa hapo kutoka mkoa mwengine na wamekuwa close sana na mke wangu, details nilizopata ni walisoma chuo kimoja mke wangu akiwa mwaka wa kwanza na huyo mwengine akiwa wa tatu.
tukiwa nyumbani sijawai kuona yupo bizi anachat na huyo jamaa ama simu zinaita anazokata ama kuongelea nje, nadhani bila mpelelezi wangu nisingejua chochote.
Huko kazini wamekuwa team hupenda kuongozana wao wawili kufatilia ishu za benki, manunuzi, kufatilia wateja wa shirikika, kwenda lunch, n.k. huwa wanatumia gari ya jamaa. hili niliwahi kulihakikisha mwenyewe mara mbili.
Kuna siku nilichukua simu yake kimya kimya nikasechi namba ya huyo jamaa niliyopewa na informer, Huwezi amini mara ya mwisho kwenye meseji za kawaida na whatsaoo lakini nilitahamaki chats zao ni chache sana na chats za mwisho zina wiki na ni mambo ya kikazi tu, nikasechi sechi jina la huyo cowrker na message zingine hata alizosevu majina ya ndugu ila sikuambulia kitu, Napata mashaka zaidi maana haiwezekani mtu uwe nae karibu msiwasiliane, Nahisi mke wangu ana simu ya pili ama kanizidi ujanja wa teknolojia kuficha mawasiliano maana anajua naijua password yake,
Najua fika kwa jinsi tulivyo wanaume hapo kuna mambo ya ziada yanaendelea.
Niwe mkimya niendelee kukusanya data nipate ushahidi huku nachohisi kikiendelea kikishamiri ? Nimwambie mke wangu kwamba akae mbali na huyo co worker ? Nimwachishe kazi ? Niende kum confront huyo mwenzake ? Nikubaliane na hali nikaushe ? Niachane na mke ? Niwashirikishe ndugu wa mke wanisaidie,,,,,,,,,,,,,,
NICHUKUE UAMUZI GANI WENYE HEKIMA NA BUSARA?
Ukute najibu ila namjibu baba angu, ina mana leo nina akil ya kumshauri baba kuhusu mama, nisamehe.Co-worker ni mtu mnaefanya nae kazi

Hajasema kamtongoza kasema wanaongozana au umesoma story nyingine bro ?Suluhisho ni kuachana na mwanamke kama una ushahidi wa wazi wa usaliti.
Mwanaume ama huyo co worker huna sababu ya kugombana nae kwa sababu hajambaka mke wako, amemtongoza na mkeo akakubali.
Ukikorofishana na huyo, atakuja co worker mwingine atamtafuna.
Deal with the source.
Isingekuwa hii statement ningejihisi ni mimi!!details nilizopata ni walisoma chuo kimoja mke wangu akiwa mwaka wa kwanza na huyo mwengine akiwa wa tatu
Na wewe anzisha ukaribu na mke wa jamaa, mtafute kwa gharama yeyote. Thanks me laterCo-worker ni mtu mnaefanya nae kazi
Ni kwamba nina informer/ mpelelezi ambae ni rafiki yangu wanafanya kazi sehemu moja na wife.
Recently kuna jamaa kaletwa hapo kutoka mkoa mwengine na wamekuwa close sana na mke wangu, details nilizopata ni walisoma chuo kimoja mke wangu akiwa mwaka wa kwanza na huyo mwengine akiwa wa tatu.
tukiwa nyumbani sijawai kuona yupo bizi anachat na huyo jamaa ama simu zinaita anazokata ama kuongelea nje, nadhani bila mpelelezi wangu nisingejua chochote.
Huko kazini wamekuwa team hupenda kuongozana wao wawili kufatilia ishu za benki, manunuzi, kufatilia wateja wa shirikika, kwenda lunch, n.k. huwa wanatumia gari ya jamaa. hili niliwahi kulihakikisha mwenyewe mara mbili.
Kuna siku nilichukua simu yake kimya kimya nikasechi namba ya huyo jamaa niliyopewa na informer, Huwezi amini mara ya mwisho kwenye meseji za kawaida na whatsaoo lakini nilitahamaki chats zao ni chache sana na chats za mwisho zina wiki na ni mambo ya kikazi tu, nikasechi sechi jina la huyo cowrker na message zingine hata alizosevu majina ya ndugu ila sikuambulia kitu, Napata mashaka zaidi maana haiwezekani mtu uwe nae karibu msiwasiliane, Nahisi mke wangu ana simu ya pili ama kanizidi ujanja wa teknolojia kuficha mawasiliano maana anajua naijua password yake,
Najua fika kwa jinsi tulivyo wanaume hapo kuna mambo ya ziada yanaendelea.
Niwe mkimya niendelee kukusanya data nipate ushahidi huku nachohisi kikiendelea kikishamiri ? Nimwambie mke wangu kwamba akae mbali na huyo co worker ? Nimwachishe kazi ? Niende kum confront huyo mwenzake ? Nikubaliane na hali nikaushe ? Niachane na mke ? Niwashirikishe ndugu wa mke wanisaidie,,,,,,,,,,,,,,
NICHUKUE UAMUZI GANI WENYE HEKIMA NA BUSARA?
Pole sanaMapenzi yanawaumiza sana, mm nlishanyanyua mikono juu mapenzi siyawezi aisee
Hii nayo ina ugumu wakeNa wewe anzisha ukaribu na mke wa jamaa, mtafute kwa gharama yeyote. Thanks me later
Ushauri wa BureCo-worker ni mtu mnaefanya nae kazi
Ni kwamba nina informer/ mpelelezi ambae ni rafiki yangu wanafanya kazi sehemu moja na wife.
Recently kuna jamaa kaletwa hapo kutoka mkoa mwengine na wamekuwa close sana na mke wangu, details nilizopata ni walisoma chuo kimoja mke wangu akiwa mwaka wa kwanza na huyo mwengine akiwa wa tatu.
tukiwa nyumbani sijawai kuona yupo bizi anachat na huyo jamaa ama simu zinaita anazokata ama kuongelea nje, nadhani bila mpelelezi wangu nisingejua chochote.
Huko kazini wamekuwa team hupenda kuongozana wao wawili kufatilia ishu za benki, manunuzi, kufatilia wateja wa shirikika, kwenda lunch, n.k. huwa wanatumia gari ya jamaa. hili niliwahi kulihakikisha mwenyewe mara mbili.
Kuna siku nilichukua simu yake kimya kimya nikasechi namba ya huyo jamaa niliyopewa na informer, Huwezi amini mara ya mwisho kwenye meseji za kawaida na whatsaoo lakini nilitahamaki chats zao ni chache sana na chats za mwisho zina wiki na ni mambo ya kikazi tu, nikasechi sechi jina la huyo cowrker na message zingine hata alizosevu majina ya ndugu ila sikuambulia kitu, Napata mashaka zaidi maana haiwezekani mtu uwe nae karibu msiwasiliane, Nahisi mke wangu ana simu ya pili ama kanizidi ujanja wa teknolojia kuficha mawasiliano maana anajua naijua password yake,
Najua fika kwa jinsi tulivyo wanaume hapo kuna mambo ya ziada yanaendelea.
Niwe mkimya niendelee kukusanya data nipate ushahidi huku nachohisi kikiendelea kikishamiri ? Nimwambie mke wangu kwamba akae mbali na huyo co worker ? Nimwachishe kazi ? Niende kum confront huyo mwenzake ? Nikubaliane na hali nikaushe ? Niachane na mke ? Niwashirikishe ndugu wa mke wanisaidie,,,,,,,,,,,,,,
NICHUKUE UAMUZI GANI WENYE HEKIMA NA BUSARA?
Hata, ukimwambia haisaidii bro! Mtoto wa, kike,hachungwi, akiamua kutoa tunda, hutajua!Co-worker ni mtu mnaefanya nae kazi