Amani imetoweka moyoni mwangu, Co Worker wa kiume na mke wangu wapo karibu sana, nichukue uamuzi gani?

Amani imetoweka moyoni mwangu, Co Worker wa kiume na mke wangu wapo karibu sana, nichukue uamuzi gani?

Chill tu mzee ukusanye ushahidi, kwa mahusiano ya sasa unapaswa kumfuma mtu live ili unapofanya maamuzi ya kuachana nae usisite site bali ufanye kweli... Nje na hapo huyo mkeo, huyo jamaa na watu wote watakuona mkurupukaji mwenye wivu na gubu kali... Na ili upate ushahidi huo unapaswa ku-act normal kama hujui chochote hadi utimize lengo.
 
mkumbushe mke wako jinsi unavyompenda
mkumbushe madhara ya usaliti
mkumbushe gharama mlizotumia kuwa pamoja
mkumbushe athari ya kutengana kwenu
usijisahau sana ndoa inahitaji utayari
ukienda front ni ishara ya udhaifu
huyo mpelelezi msitishe kazi yakupeleleza as soon as possible


furahia maisha tunaishi mara moja tu
 
Chill tu mzee ukusanye ushahidi, kwa mahusiano ya sasa unapaswa kumfuma mtu live ili unapofanya maamuzi ya kuachana nae usisite site bali ufanye kweli... Nje na hapo huyo mkeo, huyo jamaa na watu wote watakuona mkurupukaji mwenye wivu na gubu kali... Na ili upate ushahidi huo unapaswa ku-act normal kama hujui chochote hadi utimize lengo.
Umemaliza kila kitu
 
Najaribu kufikiria,

umefika ofisi mpya na unakutana na mtu unaejuana nae

Utamzoea nani faster zaidi yake??...

Najiuliza scenerio ya pili, umekutana ofisi moja na ex au shem wako kwa jamaa yako wa university, utamkalia kimya

Mwisho wa siku kama mkeo hajiheshimu kama mke wa mtu, utamlinda kwa huyo jamaa lakini kuna mtu mwingine atampata.

Haijalishi una maumivu gani ila chanzo huwa sio anaechepuka nae ila yeye aliyeamua kuchepuka huku akijua fika upo katika maisha yake
 
Ongea nae, mwambie unajua ukaribu wake na cowoker, mwambie aache coz its not healthy kwa ndoa yenu.

Siku nyingine usipende kufatilia ya kazini kwa wife, huko maofisini yapo mambo mengi sana, mengine ni ta kusikitisha sana.
 
Co-worker ni mtu mnaefanya nae kazi

Ni kwamba nina informer/ mpelelezi ambae ni rafiki yangu wanafanya kazi sehemu moja na wife.

Recently kuna jamaa kaletwa hapo kutoka mkoa mwengine na wamekuwa close sana na mke wangu, details nilizopata ni walisoma chuo kimoja mke wangu akiwa mwaka wa kwanza na huyo mwengine akiwa wa tatu.

tukiwa nyyumbani sijawai kuona yupo bizi anachat na huyo jamaa ama simu zinaita anazokata ama kuongelea nje, nadhani bila mpelelezi wangu nisingejua chochote.

Huko kazini wamekuwa team hupenda kuongozana wao wawili kufatilia ishu za benki, manunuzi, kufatilia wateja wa shirikika, kwenda lunch, n.k. huwa wanatumia gari ya jamaa. hili niliwahi kulihakikisha mwenyewe mara mbili.

Najua fika kwa jinsi tulivyo wanaume hapo kuna mambo ya ziada yanaendelea.

Niwe mkimya niendelee kukusanya data nipate ushahidi huku nachohisi kikiendelea kikishamiri ? Nimwambie mke wangu kwamba akae mbali na huyo co worker ? Nimwachishe kazi ? Niende kum confront huyo mwenzake ? Nikubaliane na hali nikaushe ? Niachane na mke ? Niwashirikishe ndugu wa mke wanisaidie,,,,,,,,,,,,,,

NICHUKUE UAMUZI GANI WENYE HEKIMA NA BUSARA?
Why unamfatilia mke wako it means haumuamini toka mwanzo?
Why unamuamini huyo rafiki unauhakika ana hidden agenda?
Mm nakushauri kaa na mke wako mwambie unampenda na unawivu upendi awe na urafiki wa karibu na wanaume wengine since hauna ushahidi anafanya kitu kibaya
 
Kama hujazaa nae mtwange talaka ili uishi maisha huru,kama umezaa nae,chunguza kwanza,ukipata ushahidi kamili mtwange talaka,

Kingine wewe unaonekana humuamini kabisa Mkeo na ndio maana ukamuwekea informer,na huyo informer wako hana akili,unawezaje kumchunguza mke wa mtu kisha unapeleka habari kwa mumewe? Huna kazi za kufanya?
 
Chill tu mzee ukusanye ushahidi, kwa mahusiano ya sasa unapaswa kumfuma mtu live ili unapofanya maamuzi ya kuachana nae usisite site bali ufanye kweli... Nje na hapo huyo mkeo, huyo jamaa na watu wote watakuona mkurupukaji mwenye wivu na gubu kali... Na ili upate ushahidi huo unapaswa ku-act normal kama hujui chochote hadi utimize lengo.
Ushauri Bora huu
 
Jambo la msingi unatakiwa upate uhakika asilimia mia moja,unatakiwa kumpandikiza mtu atakeyejenga urafiki na huyo unayemhisi,ufahamu anapoishi na interesti zake kwanza theni mtengenezee mtu wa kumchimba.
 
uncle bright, hebu kaa chini kwanza na informer wako mtengeneze mtego...

ukishanasa ndio uje kwenye conclusion.

Otherwise nakushauri huyo co worker anapaswa aitwe pembeni kikubwa zaidi apewe ONYO KALI sana kisha azibwe mdomo.

Thats it thats all.
 
Lakini pia unatakiwa kama unaweza unaomba udhuru kazini kwako angalau wiki mbili na muage mke wako kuwa unasafiri kwenda mkoa mwingine na ikiwezekana nenda kabisa upige na picha umtumie Ili kumjengea uaminifu upo mbali.lakini katika hizo wiki mbili hakikisha huyo chawa wako anatake note na kuwa makini kwenye kumfuatilia kama Kuna ruhusa yoyote itaombwa na hao watu wawili.pia hakikisha maeneo ya home una camera ya Siri au mtu atakayekuwa ananote muda wa kutoka na kuingia Kwa mke wako.kama mke wako hara ratiba maalumu ya kurudi nyumbani basi wewe jua moja Kwa moja kwamba mwamba anabanjua mzigo.Jambo jingine unatakiwa kufahamu je tokea huyo jamaa amekuja hapo ofisini Kwa mke wako ,je Kuna mabadiliko makubwa unayaona Kwa mke wako kwenye mambo yake ya Kila siku? Je anawahi sana kwenda kazini au anachelewa kurudi?Kuna mabadiliko ya ratiba?je amepunguza kukupa unyumba au anakujibu ilimradi?Kuna mabadiliko kwenye matumizi au namna ya uvaaji wake tofauti na mwanzo.jambo jingine chukua simu ya mkeo nenda kwenye black list ,angalia kama Kuna namba zipo black listed,then zinote.jambo jingine siku ya kurudi utarudi Kwa Siri kwenye hiyo safari yako ,ila mkeo utampanga kuwa utarudi siku nne mbeleni .ukirudi ghafla target kubwa ni simu ya mke wako.pindi ulisafiri ni lazima Kwa namna yoyote kama anamichepuko atawasiliana nao hiyo ni given mkuu.
 
Back
Top Bottom