Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemaliza kila kituChill tu mzee ukusanye ushahidi, kwa mahusiano ya sasa unapaswa kumfuma mtu live ili unapofanya maamuzi ya kuachana nae usisite site bali ufanye kweli... Nje na hapo huyo mkeo, huyo jamaa na watu wote watakuona mkurupukaji mwenye wivu na gubu kali... Na ili upate ushahidi huo unapaswa ku-act normal kama hujui chochote hadi utimize lengo.
Yah, Uzuri mwanamke akitokaga nje anashindwaga kujizuia pakikolea kwahiyo kama we mvumilivu na pia una kachero wako mmoja anakusaidia kukupa infos nakuambia unafuma vizuri tena akiwa anapigwa katerero😁Umemaliza kila kitu
Ukiona manyoya maanaake kashaliwa...huwa wanatumia gari ya jamaa. hili niliwahi kulihakikisha mwenyewe mara mbili.
Why unamfatilia mke wako it means haumuamini toka mwanzo?Co-worker ni mtu mnaefanya nae kazi
Ni kwamba nina informer/ mpelelezi ambae ni rafiki yangu wanafanya kazi sehemu moja na wife.
Recently kuna jamaa kaletwa hapo kutoka mkoa mwengine na wamekuwa close sana na mke wangu, details nilizopata ni walisoma chuo kimoja mke wangu akiwa mwaka wa kwanza na huyo mwengine akiwa wa tatu.
tukiwa nyyumbani sijawai kuona yupo bizi anachat na huyo jamaa ama simu zinaita anazokata ama kuongelea nje, nadhani bila mpelelezi wangu nisingejua chochote.
Huko kazini wamekuwa team hupenda kuongozana wao wawili kufatilia ishu za benki, manunuzi, kufatilia wateja wa shirikika, kwenda lunch, n.k. huwa wanatumia gari ya jamaa. hili niliwahi kulihakikisha mwenyewe mara mbili.
Najua fika kwa jinsi tulivyo wanaume hapo kuna mambo ya ziada yanaendelea.
Niwe mkimya niendelee kukusanya data nipate ushahidi huku nachohisi kikiendelea kikishamiri ? Nimwambie mke wangu kwamba akae mbali na huyo co worker ? Nimwachishe kazi ? Niende kum confront huyo mwenzake ? Nikubaliane na hali nikaushe ? Niachane na mke ? Niwashirikishe ndugu wa mke wanisaidie,,,,,,,,,,,,,,
NICHUKUE UAMUZI GANI WENYE HEKIMA NA BUSARA?
Ushauri Bora huuChill tu mzee ukusanye ushahidi, kwa mahusiano ya sasa unapaswa kumfuma mtu live ili unapofanya maamuzi ya kuachana nae usisite site bali ufanye kweli... Nje na hapo huyo mkeo, huyo jamaa na watu wote watakuona mkurupukaji mwenye wivu na gubu kali... Na ili upate ushahidi huo unapaswa ku-act normal kama hujui chochote hadi utimize lengo.
Kamchunguza bata, sasa kumla peke yake hawezi 😆Kampa maksi zote hizo alafu anataka kujua afanye "maamuzi" gani.🙄
Nyooooohehehe ni kazi tu hakula la ziada relax
Hii nayo pointMpe mimba tu...
Pia uwe na kawaida ya kumsurprise mkeo nyakati za lunch...