Mama anapaswa kuamua. Kama anafata sera za baba basi afate kila kitu. Asiruhusu kukosolewa, abinye vyombo vya habari, afukuzefukuze, atishe watu, abinye Democrasia, watu wapotee.
Lkn hivihivi hatofika anapopataka
Au
Awaambie washauri dira yake, wamshauri afanye nini kufikia sio kuiacha. (Democracy, maslahi kwa watumishi, bei bora za mazao, bei nzuri ya pembejeo, haki)[/QUOTE]
Mama afuate sera za baba? unatamani sana kubinywa uhuru wa habari eeee? Je huu upuuzi ungeuandika na kujiona salaama kama yangekua yanatendeka hayo?
Kama unapenda kupotea potea wewe.
Hayo unayo yatamani baba aliyaweza , lakini hayakumsaidia. vyombo vya habari vilifungiwa kwa muda usiyo julikana , watu wakatumbuliwa wengine bila hatia , Lejea yule mama kagera alie takiwa kutaja pesa za road fund, kwa kukarili kama watoto wadogo wanavyo karili table.
Wakupotea wakapotea , hata mkaguzi mkuu wafamilia akaitwa kuhojiwa na bwana saboofer.
Je hii ilisaidia familia?