FATHER OF HISTORY
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 915
- 638
Halafu kwanza mbona Hasemi Jinsi kidato Cha sita walivyopiga Pepa mwaka huu? Aache dharau bhanaaMimi sio mwalimu ila swala la kuwananga na kuwasema vibaya walimu linaniboa
Kuna mwana kapiga one o-level Tena mwaka mgumu ule 2012 na six PCM kapiga one ila ni mwalimu sasa inakuwaje unawadharau hawa watu
Kwanini watu wajinga kupenda kujumuisha ili kundi mbona mimi naenda sana vijijini na hata mjini niliposoma nimerudi juzi kati walimu 90% walionifundisha wamejenga na familia zao zipo vizuri wengine Wana vigari vya kupiga misele town