Ambao hawakumtaka kwenye chama chake huenda walimjua vizuri kuliko sisi

Mama anapaswa kuamua. Kama anafata sera za baba basi afate kila kitu. Asiruhusu kukosolewa, abinye vyombo vya habari, afukuzefukuze, atishe watu, abinye Democrasia, watu wapotee.
Lkn hivihivi hatofika anapopataka

Au

Awaambie washauri dira yake, wamshauri afanye nini kufikia sio kuiacha. (Democracy, maslahi kwa watumishi, bei bora za mazao, bei nzuri ya pembejeo, haki)[/QUOTE]

Mama afuate sera za baba? unatamani sana kubinywa uhuru wa habari eeee? Je huu upuuzi ungeuandika na kujiona salaama kama yangekua yanatendeka hayo?
Kama unapenda kupotea potea wewe.

Hayo unayo yatamani baba aliyaweza , lakini hayakumsaidia. vyombo vya habari vilifungiwa kwa muda usiyo julikana , watu wakatumbuliwa wengine bila hatia , Lejea yule mama kagera alie takiwa kutaja pesa za road fund, kwa kukarili kama watoto wadogo wanavyo karili table.

Wakupotea wakapotea , hata mkaguzi mkuu wafamilia akaitwa kuhojiwa na bwana saboofer.

Je hii ilisaidia familia?
 
Waambie kabisa awamu hii kila mtu atakula jasho lake..

Hakuna kumfanya mkulima ngazi ya mtu hakuna.
 
Kwa yeyote anaye jiona bora, na kumudharau mwalimu , jua Bado anakaujinga flani karibaki Tena kakubwa TU.

Bila hao walimu hakuna wataalam wa afya , bila wao hatuwezi pata wandishi, bila hao walimu , hatuwezi pata wataalam wa kilimo, kiujumla hata wanasiasa bora hawatakuepo.

Sector yeyote inategemea kupata wataalam waliofundishwa nawalim.

Sasa shangaa hao wanao wabedha na kuwadharau.
 
Sawa mbona mkapa na Kikwete waliwezaje kujaza pesa mtaani na miradi mikubwa kujengwa na wa kuiba wakaiba tu.

Kama mtumishi hapati maslahi bora ata ujiajili ela mtaani inakuwa chache sana
Hizo ni Hadithi kama Hadithi nyingine. Pesa haijawahi kujaa mtaani.

Kwa kiasi Kikwete alikuja na mpango wa kaya kujitosheleza kwa Cha kula .

Kaya masikini zilipata ruzuku ya pembejeo, hii ilichangia kuongeza uzalishaji wa mazao.

Na kupitia NFRA serikali iliweza Kununua mahindi na kujenga ushindani wabei hasa ya mahindi.
 
Hama Nchi, sisi tunataka Rais ambae anaheshimu haki za binadamu na ambae hapendi kumwaga damu , Samia ndio Rais Hadi 2030
 
Kwani kuna mtumishi wa mshahara yeyote amekuja kuomba ugali kwako...?

Wanafanya kazi kwa mikataba ya kulipia ujuzi wao. Hivyo ni haki ya wafanyakazi kudai haki yao ya malipo baada ya kufanya kazi..

By the way, hata uwe na hako " ka - business", hivi ni nani atakuja kununua hiyo huduma au bidhaa zako iwapo wafanyakazi hawana hela...?

Ungekuwa na akili sana kama ukiungana na wafanyakazi kupata mishahara bora kwa sbb ni kwa njia hiyo serikali hutoa pesa na kisha pesa hizo kusambaa mitaani hata kuwafikia ninyi kina Mangi na Wapemba wenye vujiduka vya kuuza sukari na sabuni...
 
Hama Nchi, sisi tunataka Rais ambae anaheshimu haki za binadamu na ambae hapendi kumwaga damu , Samia ndio Rais Hadi 2030
Una uhakika atafika 2030!!???
Umeona "diary" ya Muumba kuhusu Samia!!???
 
Wanaowananga walimu wote ni watu wapumbavu kwa elimu zao.
 
Hio watu kupotea atapotea mamako kwanza
 
Sababu za kutomtaka ni hizi

1) Ni Mzanzibari
2) Ni Muislam
3) Ni Jinsia Yake
 
Mnalalamika nini na madaraja kawapandisha miaka mitano hapa mmekaa pakavu pelekeni unafiki huko
 
Kusema kweli walimu wapewe hata teaching allowance
Japo laki 3 kwa mwezi wapooze machungu
 
= zikidhihirisha.

Porojo zote Kiswahili, lugha ya Taifa Tanzania, kinakupiga chenga.

Wewe ni Mtanzania kweli au fataani mmoja uliyetokea Rwanda Urundi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…