Ambao hawakumuona Mwl. Nyerere, wamemuona Dkt. Magufuli

Nyerere huwezikumlingg



Huwezi kumlinganisha Nyerere na shetani, mwizi, muuaji, mbinafsi na katili Magufuli. Huenda huwajui wote wawili
mafisadi, wauza ngada, vyeti feki povu litaendelea kuwatoka daima mkilisikia jina la JPM
 
CHADEMA wakiona jina la Jiwe tumbo la kuhara linawashika wanakimbilia kupambana na Uzi.
Na aliwaweza kutoka kuwa na wabunge lukuki mpaka mmoja🤣🤣🤣
Utamuogopaje mtu alieoza tayari?

Ukianza kuogopa mfu alieoza,inabidi uende kupima akili.

Ukiona kila anaepingana na Magu ni CDM,nenda kapime akili.
 
ukiona mtu unamfanyia propaganda ya kumchafua alafu anaendelea kupendwa jishtukie, laiti propaganda ingekua inasaidia nadhani magufuli ndo angekua binadam anaechukiwa zaidi tanzania maana kampeni kubwa ya kumchafua ilofanywa na mafisadi, wauza ngada,wakwepa kodi, vyeti feki mpaka sasa imeangukia pua vibaya mno.
 
Awali ya yote huwezi kulinganisha kichaa na mtu timamu.

Ivyo walitofautiana saaana,Nyerere alikuwa ni binadamu na Magufuli alikuwa ni shetani.

The ugly/beast and the beautiful are different.

ACHA KUMDHALILISHA NYERERE !!


Wewe mwenyewe shetani
 

Magufuli alikuwa shujaaa

Ameyatimiza matakwa ya utumishi
 
1. Nyerere hakuwa muuaji,
2. Nyerere hakuweka ndugu zake
3. Nyrere hakuwa katili
4. Nyerere hakumpiga Lisu risasi 32

inatosha
 
Magufuli alikuwa shujaaa

Ameyatimiza matakwa ya utumishi
magufuli ni zaidi ya shujaa, kwa siasa za afrika ukiweza kuwakabili mabeberu na ukawashinda we ni zaidi ya shujaa, nyerere aliwakabili bt walipombana sana akaamua akang'atuka ili kulinda heshima yake.
 
1. Nyerere hakuwa muuaji,
2. Nyerere hakuweka ndugu zake
3. Nyrere hakuwa katili
4. Nyerere hakumpiga Lisu risasi 32

inatosha
kama huzijui siasa za tanzania ni bora ukakaa kimya kuliko kujiaibisha namna hii
 
Hakuna anayefanya kampeni ya kumchafua, sema alivitumia vyombo vyote vya habari nchini kujinadi kwa gharama kubwa huku akiviazibu vile vilivyojaribu kusema ukweli.
Magufuli ni shetani kabisa
 
Wewe ni polisi div IV
 
magufuli ni zaidi ya shujaa, kwa siasa za afrika ukiweza kuwakabili mabeberu na ukawashinda we ni zaidi ya shujaa, nyerere aliwakabili bt walipombana sana akaamua akang'atuka ili kulinda heshima yake.
Magufuli ni next to Lucifer. That's it.
 
Wewe ukiwa malaika ni kweli lakini wewe ukiwa shetani yeye ni opposite yake...He has a different spirit from yours.....Ufisadi haulipi just a while tutafika tu!
Kila muuaji hana uzima ndani yake, Magufuli alikuwa muuaji, yuko jehanum
 
Hapo anafananishwa malaika na shetani.
 
Hakuna anayefanya kampeni ya kumchafua, sema alivitumia vyombo vyote vya habari nchini kujinadi kwa gharama kubwa huku akiviazibu vile vilivyojaribu kusema ukweli.
Magufuli ni shetani kabisa
mshindwe kuwa mashetani nyie wauza unga, wauza raslimali za taifa hovyo alafu alieyadhibiti hayo ndo awe shetani? endeleeni kujifariji.
 
Reactions: Ame
Mzee mzima ungetengeneza timu yako kwanza ya kukusaidia dhidi ya hizi hoja. Sasa naona unashindwa hata uanzie wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…