Ambao mna marafiki huwa mnawapataje?

Marafiki hawatafutwi, huwa mnajikuta tu mshakua marafiki baada ya kuzoeana pengine mkiwa kazini au mkiwa mnakutana sehem za inada au bar au popote tu
 
Hayo maisha ndo nayaishi mimi alafu hata miaka 25 sijafikisha daaaah niko Alon mpka Najishangaa [emoji23][emoji23]
 
Urafiki unatokea tu, mnakutana wawili damu zinakubaliana, urafiki unanoga kwa kadri mwenzio anavyokutendea, haijalishi awe na kitu asiwe nacho, ila ile kujaliana na kuthaminiana ndio nguzo kuu za urafiki.
 
Tatizo wa kukutana nao bar wanakuaga watongozaji tu....mi umri wa kutongozwa ushapita
Kutongozana si kawaida tu Eve.. unamkataa unamfanya mshkaji na unamaanisha ushkaji. Wanaume marafiki wazuri sana hasa ukiwekana nao mipaka baada ya kutongozana. Siku kadhaa zilizopita rafiki zangu wa kiume walinifanyia jambo kwenye birthday hadi rafiki zangu wa kike wakaniuliza inakuaje wakaka wanaweza tumia pesa zao juu yangu bila kuwa na agenda ya kunitaka.

Urafiki na wakaka: Akishakutongoza ukamkataa muweke karibu na marafiki zako wengine wa kike atapata mmoja tu atamtongoza. Ukijua hilo muunge mkono. Usimletee staki nataka. Akipiga story za demu alomuona akampenda msapoti, akileta magf zake watreat vizuri (kuna wanawake washamba wanapendaga kucompete na magf wa washkaji zao). Kila wanapokaa watakuita na utakua mshkaji wao daima



Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Ukiona shule zote umesoma kuanzia chekechea hadi vyuo hujawahi kuwa na rafiki wa maana endelevu awe mwanafunzi au mwalimu ,kanisani na misikitini ukawa huna pia rafiki endelevu wa maana ulimpata huko ,uende seminar bado huna,mtaani unakoishi huna rafiki jirani wa maana sababu hujali kuwa part ya society mtaani , au kazini huna au kwenye biashara huna business friends wa maana ujue wewe kwenye hii dunia hufai kuishi

Hata kuoana watu wa maana huwapati bar ni area respectable
 

Umegonga mistari imesimama. Kwa hiyo Rafiki ndio maana mkanisokomezea na kunipamba mniachie mwali mazima? Nikashangaa upendo Gani huu Leo napelekwa getini naachiwa mwali😂

Of course nilitaka nimtafute niombe radhi kumkataa angeona nimempotezea kumbe sikutaka mambo mengi, nikaibua mengine kwanini sikuchukua namba siku Ile na Nini, nikasema isiwe shida. Nilikua nakujulia Hali tu. Hatafutwi Tena.

Na huu uzee heshima muhimu mtaani, purukushani tumewaachia mzabzab na Extrovert , Bado damu inachemka.

Kwa Sasa tunajumuika na wahenga wenzetu na watumishi kama Heaven Sent
 
Yaani mtu unakuta hana waliocheza nao wakiwa wadogo kijijini au mtaani hana rafiki wa maana hata mmoja haiwezekani.

Mtoto asome mfano shule za kulipia ambako watoto wa vigogo husoma kuanzia wa private sector, Serikalilini,mahakamani na bungeni nk halafu akose rafiki wa maana endelevu huyo bwege
 
Hahahahaaaa... hivi mwali hukumcheck tena?? Yule sio mshkaji wangu mimi mwenyewe nilimkuta tu tukaclick.
Sema alikupenda bwana. Una jina na muonekano wa ex wake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…