Ambao tunakesha leo - karibu hapa tuzogoe ☺️

1 nilikuwa na vutiwa na nyeupe, ila nilivyofahamu rangi ya ngozi haiongezi wala kupunguza chochote si kipaombele tena kwangu.

2 niliwahi kulia baada ya kuumizwa , kwa sasa siwezi kulia eti kwa sababu mtu anatafuta furaha yake nje ya mimi niumie, huo ni ubinafsi .

3 akili ya mwanadamu imeundwa kujifunza na kujaribu kubuni na kuunda .
Mimi kuna miundo natamani sana kuiunda financial ndio tatizo, Idea ipo.
 
Muite mlewe halafu mengine yatajiongeza yenyewe..!! 😹😹

Sema kaka yako huyo ujue.. bora angekuwa binamu ukoo tofauti..!!
Nachokaa ni kaka angu kabisa huyu, ubaya sasa yeye hatumii kilevi na mie situmii pia.

😂😂😂
 
Wampe hata vumbi nguvu zikikata 😹😹
Dr mwaka sifa tu.
Si umeona ss hivi queen alivyodamsh anapelekewa dyudyu zima zima bila kupunjwa 😹
Tena na quick Rocka, 😂😂😂😂
Jua kali imeanzisha na Mapenzii, Aloooh.
 
Hawana namna, haka kakiungo ketu kanavyokuwaga na mizuka halafu kasipate dyudyu na unaliona hapo, ni ngumu sana.

Amependeza mwenyewe, najua lazima amejichukulia kakijana ka alfu mbili kanamsugua haswa haswaa!
Queen yupo na chalii Quick Rocka, au Frank kwenye Jua kalii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…