Amber Lulu apigwa na mpenzi wake na kujeruhiwa vibaya

Huyo jamaa aliyempiga akamatwe. Yeye anajua kaoa malaya kwanini ashindwe kumvumilia?... Pale Nairobi katikati ya mji kuna jumba refu la ghorofa lina gesti chafu balaa.. kunguni wa kumwaga. Nilikuwa sijui nikaona kwa bei hii rahisi leo nimebahatika kwasababu ilikuwa usiku sana nimefika.

Kitendo cha kuzima tu taa wale kunguni walianza majukumu yao ya kila siku. Nikamwita mhudumu na kumuuliza ndo inakuwaje? Yule mhudumu kwa sauti tulivu ya upole akanijibu "ndugu yangu hii gesti yetu ndo inasifika kwa uchafu Nairobi nzima, hata ukitupeleka Nairobi Council watakushangaa sana wewe... hata mimi nimesikitika kwasababu kiukweli hufananii kulala hapa, nakushauri utafute gesti nyingine safi hapa jirani"...

Namshauri jamaa atafute mwanamke mwingine.
 
Kwamba kunguni wakaanza majukumu yao ya kila siku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi bado alikuwa anaishi na yule mtoto wa Mama wa Kinondoni? Yule dogo wasingewezana hata siku moja ana usela mavi mwingi sana halafu anamtegemea mama yake kwa kila kitu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…